Nyangumi aonekana Pwani ya Kilwa

Nyangumi aonekana Pwani ya Kilwa

Huenda "ESCROW" ameibuka tena
Mwananchi-cartoon-171114.jpg
 
View attachment 418038
Watu wamesimama juu yake

View attachment 418039
Wanainchi wanamchunguza

View attachment 418043
Mwili wake huu

View attachment 418045
Watu wakiwa juu ya samaki

Samaki huyu ameonekana Pwani ya Kilwa na watu wengi wamemiminika kumshangaa.

Ni mkubwa sana kiasi cha watu wenhi kupanda juu yake.

Wataalam wa Samaki watujuze ni aina gani ya Samaki na kwanini amepatikana Pwani ya Kilwa na ni salama kiasi gani kwa wanadamu.
Huyu atakua ndio Rais Wa Samaki wote duniani dooh amefariki aisee
 
Maajabu,ila mimi nilichoka tu kuhusu samaki mtu,duniana ina mambo mengi sana ya ajabu
 
Kama amekufa kwa sumu itakuwa amemeza contena zima
 
Kama amekufa kwa sumu itakuwa amemeza contena zima
umenikumbusha ile story enzi za akina sindbad baharia jinsi samaki mkubwa alivyomeza merikebu nzima jamaa wachache walifanikiwa kutoka wakafikia kisiwa fulani na wakaishi miaka na miaka huku wakipungukiwa mahitaji wanarudi kwenye meli iliyokuwa tumboni mwa nyangumi kuchukua vyakula vilivyokuwa mle melini
 
Anaitwa kongowe kwa tanga ameshawahi kupatikana ufukwe wa kigombe na kipumbwi.
Ni samaki mkubwa sana ukisimama upande mmoja huwezi kumuona mwenzio upande wa pili, anaishi kina kirefu anapokufa ndo huelea kutolewa nchi kavu.

Wavuvi hawampendi samaki huyu hasa wanapotega nyavu zao huyu akipita anategua mitego na kuzivuruga nyavu hivyo kupoteza nyavu na samaki waliowapata kwenye mtego.

Watu huwa wanakata nyama ya samaki huyu kutengenezea mafuta wanasema ni dawa(kienyeji) ingawa kisheria ni mali ya serikali
anawea pindua hata meli huyu dah
 
Back
Top Bottom