Nyangumi aonekana Pwani ya Kilwa

Nyangumi aonekana Pwani ya Kilwa

View attachment 418038
Watu wamesimama juu yake

View attachment 418039
Wanainchi wanamchunguza

View attachment 418043
Mwili wake huu

View attachment 418045
Watu wakiwa juu ya samaki

Samaki huyu ameonekana Pwani ya Kilwa na watu wengi wamemiminika kumshangaa.

Ni mkubwa sana kiasi cha watu wenhi kupanda juu yake.

Wataalam wa Samaki watujuze ni aina gani ya Samaki na kwanini amepatikana Pwani ya Kilwa na ni salama kiasi gani kwa wanadamu.

Ila CCM walafi jamani. Ona hapo na kofia lake anakata nyama. Yaani hawa jamaa tamaa yao mbaya sana
 
Huyu ni nyangumi,huenda kongowe ni kwa lugha ya ta. Lakini kiswahili ni nyangumi.

Wako si chini ya aina 4,kwa haraka kuna killer whale,blue whale na sperm whale. Huyu ni sperm whale.
Though bado kuna makundi kama ma tatu ya sperm whale.

Duh, haha majina unaweza kuogopa kumla aisee. Au ndio wale wanaofikisha 1 ton in single ejaculation.
 
Huyu sio whale shark.whale shark ni jamii ya samaki. Ni mdogo kumlinganisha na nyangumi.

Huyu ni sperm whale.hayupo katika kundi la samaki
Mimi sijaelewa Whale Shark ndio nini ? (Kwa Kiswahili)
 
Tatizo lenyewe ukitaja tu nyangumi,unakuwa kama tayari ushafunga mjadala.

yule sio nyangumi ni samaki aina ya "changu".

shida yangu nataka mjadala uendelee.
.
 
Dirk_Claesen_-_Sperm_Whale.jpg

huyu ni sperm whale, uki check wanafanana sana na huyo wa kilwa
 
Jamani sisi wavuvi wazoefu Huyo ni aina ya nyangumi maarufu kama "nyangumi shahawa".
Yap nimemfuatilia kwa taarifa za wataalam ndo aitwa sperm whale.

Ana uzito mpaka kufikia tani 45

Anashika mimba anayobeba kwa miezi 14 mpaka 16

Anazaa mtoto na kunyonyesha kwa miezi 19 mpaka 42.

Anaishi mpaka miaka 70
 
MTU mmoja akazusha story kuwa mafuta yake yanaongeza nguvu za nanihii naona Jf itahamia kilwa,na hata hivyo wanavyosema ngozi yake ngumu haikatiki hata kwa shoka mpaka hayo maji yalirudi nyangumi hiyo atabaki kwenye selfie za watu.
 
Back
Top Bottom