Ndagafijo mlumba
Member
- Oct 12, 2016
- 14
- 3
Hilo ni boom la nyukilia kutoka urusi vita 7 ya dunia.
Athari ya viroba kwa uvccm ni kubwa sanaBado mzima nimemuona amepita hapa posta anaenda Ikulu.
View attachment 418038
Watu wamesimama juu yake
View attachment 418039
Wanainchi wanamchunguza
View attachment 418043
Mwili wake huu
View attachment 418045
Watu wakiwa juu ya samaki
Samaki huyu ameonekana Pwani ya Kilwa na watu wengi wamemiminika kumshangaa.
Ni mkubwa sana kiasi cha watu wenhi kupanda juu yake.
Wataalam wa Samaki watujuze ni aina gani ya Samaki na kwanini amepatikana Pwani ya Kilwa na ni salama kiasi gani kwa wanadamu.
Umeona hata serkali yako imetoa tamko lolote? Ataishia kupandwa hivyo,na watu kupiga selfie,baadae ataoza wakipanda watakuwa wanazama ndio mwisho wa habarAngetafutiwa namna ya kuhifadhiwa kwa ajili ya utalii, kuna yule mjusi mkubwa aliyechukuliwa na wajerumani kama sijakosea toka hukohuko Kilwa anawatajirisha wageni sisi tunaambulia hadithi
Nyama inaliwa, hakuna watu waliojaribu kuipika?Perege
Kutokana na uharibifu baharini hayo ndo madhara yake
Samaki wamekula mabaki ya hamira baharini, na sasa .....!!!!
Hii habari ilitakuwa kuwa na backup source kubwa kama ni kweli!!
anyway, nyangumi ni mkubwa kuliko huyo na anaweza akaonekana pwani nyingi tu akitaka!!
NORMAL!!
Mkuu hizo amira zimetoka wapi huko baharini sasa? au kuna wapika mandaziPerege
Kutokana na uharibifu baharini hayo ndo madhara yake
Samaki wamekula mabaki ya hamira baharini, na sasa .....!!!!
Hii habari ilitakuwa kuwa na backup source kubwa kama ni kweli!!
anyway, nyangumi ni mkubwa kuliko huyo na anaweza akaonekana pwani nyingi tu akitaka!!
NORMAL!!
Utamtega vipi mkuu?Nyama inaliwa, hakuna watu waliojaribu kuipika?
Mkuu hawa jamaa wa hicho chama wenyewe ni waumini wa primitive accumulation. Yaani kila kitu wanakusanya tu. Sasa tazama huyo samaki, hawana hakika na kilichomuua, pia sidhani kama wana hakika kama huyo samaki/ kiumbe kama huwa analiwa.Haha eti CCM Jamani, siasa imehamia mpaka humu basi huyo samaki atakuwa ni UKUTA siyo?
wabongo wanakura vitu vya ajabu, watu wanakura pweza,ngisi,kambakochi,kaa,mbwa na paka, washindwe mboga tamu kabisa iyo!Toa ushauri hapo wanampelekaje? Amethibitishwa kuwa ni salama? Je analiwa?Angalia hizo picha!!