View attachment 418038
Watu wamesimama juu yake
View attachment 418039
Wanainchi wanamchunguza
View attachment 418043
Mwili wake huu
View attachment 418045
Watu wakiwa juu ya samaki
Samaki huyu ameonekana Pwani ya Kilwa na watu wengi wamemiminika kumshangaa.
Ni mkubwa sana kiasi cha watu wenhi kupanda juu yake.
Wataalam wa Samaki watujuze ni aina gani ya Samaki na kwanini amepatikana Pwani ya Kilwa na ni salama kiasi gani kwa wanadamu.
OK thanks kwa mwanga huo na taarifa ya Tanga.kwa lugha ya malkia anaitwa nani huyu Kongowe
Huyu ni nyangumi,huenda kongowe ni kwa lugha ya ta. Lakini kiswahili ni nyangumi.
Wako si chini ya aina 4,kwa haraka kuna killer whale,blue whale na sperm whale. Huyu ni sperm whale.
Though bado kuna makundi kama ma tatu ya sperm whale.