Nyama ya Ng'ombe ndio nyama bora duniani, haina mpinzani

Nyama ya Ng'ombe ndio nyama bora duniani, haina mpinzani

Pampula uko vizuri.
Shindiii Shindiii pampula tena?
20260418_180424.jpg
 
Pamoja na kuwa nimekula nyama aina nyingi. Kuanzia kuku, nguruwe, samaki, mbuzi, bata, panya, nyama pori n.k ila hakuna nyama ambayo inaweza kumpita ng'ombe kwa kutokinaisha.

Unaweza kuila kila siku na maisha yakaendelea. Ila nyama nyingine huwa ni mtihani sana kuila kila siku....

Tumpe NG'OMBE SALUTE KWA KUWA KITOWEO BORA DUNIANI
Hii nyama haishuki soko. Na inaitwa 'NYAMA' bila hata kumalizia kuiita 'NYAMA YA NG'OMBE'. Ila nyama nyingine lazima uitaje Kwa umahususi. E.g NYAMA YA MBUZI, NYAMA YA KONDOO etc.
 
Back
Top Bottom