Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM.
Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria na katiba za nchi sijui kama anaelewa.
kuanzania sasa mwiguru na wengine wote CCM mshakatazwa kama...
bei
ccm
chama
katambi
kati
kuku
kuongeza
kupanda
kupanda bei
kutumia
maana
mkuu
mpaka
mwenge
nayo
ng'ombe
nguruwe
nyamanyamaya ng'ombe
swala
ufugaji
ufugaji wa kuku
wako
waziri
waziri katambi
Pamoja na kuwa nimekula nyama aina nyingi. Kuanzia kuku, nguruwe, samaki, mbuzi, bata, panya, nyama pori n.k ila hakuna nyama ambayo inaweza kumpita ng'ombe kwa kutokinaisha.
Unaweza kuila kila siku na maisha yakaendelea. Ila nyama nyingine huwa ni mtihani sana kuila kila siku....
Tumpe...
Hajafanya lolote jimboni.
Siku alipoibuka kaja na ng'ombe 500. Achinje wamchague.
Ng'ombe mmoja kumnunua na kumsafirisha na kumchinja na kumpika na vinywaji na kuandaa tukio kadirio la chini laki 8.
Laki nane X 500 = 400 milioni
Umepata wapi hela hiyo ya kuchoma siku moja, akajibu...
Ndugu zangu hili liwafikie maafisa mifugo kote nchini Yale masindano wanayotumia kuwachoma ng'ombe ni hatari sana kwa afya ya binadamu nimeshuhudia ng'ombe wanachomwa sindano mnadani saa chache kabla ya kwenda kuchinjwa !
Na pia zinachomwa shindano zinapokaribia kusafirishwa na mlaji anaipata...
Wazo: BUCHA La NyamaCapital: 4MBidhaa: Nyama ya Ng'ombeKwanza, Biashara hii ni Fursa nzuri sana ikiwa tu itaendeshwa kwa Ufanisi na kwa kutumia vifaa vya kisasa, kwasabb NYAMA inalika kila kona ya nchi. Nataka nikupe mchanganuo mzima kuanzia Mtaji hadi FAIDA inavyopatikana.
GHARAMA:
1. Frame...
Habari Wakuu?
Leo nimeenda buchani jijini la dasalamaa. Nikakuta bei ya nyama kilo moja ni elfu 12.
Je, huko kwenu ni kiasi gani?
Ikumbukwe Tanzania ni nchi ya 3 kuwa na ng'ombe wengi Africa.
Christmas itakuwaje?
Mama ana ......................
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.