Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
...............Soma Qur'an inavyozungumzia kizazi chake Suleiman kisha hao wote Allah SWT anasema kawafanya watu "wema" kisha linganisha na upuuzi ulioandika hapo juu !!
".................Na tukamtunukia (Ibrahim) Is'haq (Issack) na Yaakub (Jacob). Kila mmoja wao tulimuongoa . Na Nuhu (Noah) tulimuongoa kabla. Na katika kizazi chake tulimuongoa Daud na Suleiman na Ayyub, na Yussuf na Mussa na Haruun. Na hivi ndivyo tunaowalipa wafanyao wema.
Na Zakaria na Yahya (Yohana Mbatizaji) na Issah (Yesu) na Ilyas (Eliyah). Wote walikuwa miongoni mwa watu wema.
Na Ismael, na Al Yasaa, na Yunus na Lut'. Na wote tuliwafadhilisha juu ya walimwengu wote.
Na kutokana na baba zao, vizazi vyao na ndugu zao. Na tukawateuwa na ttukawaongoa kwenye njia iliyo nyooka.
Qur'an 6: 84-87
Mkuu Ally Kombo, hivi nimesema Suleiman hakuwa mtu mwema?, nimekuambia Suleiman aliishia kumuasi Mungu na kuabudu miungu wengine!.
Hata hao manabii wema uliowataja, kuna vitendo sio vya wema walivifanya, ndio maana nikakuuliza, yule aliyeoa mke umri sawasawa na mama yake wa kumzaa, hilo nalo jema?, mtu huyo huyo aliyeoa mwanamke wa umri wa mama yake, akaja kukaoa kabinti ka miaka 9!, na kuanza kukaingilia kalipo timu umri wa miaka 12!, nikakuuliza hilo nalo jema?.
Mfalme Daudi, alimtamani mke wa jemedari wake Uria, akamtuma vitani na kutoa amri auliwe, ili mfalme aje kufariji mkewe kwa kifo cha kishujaa cha mumewe vitani, na ili kumuenzi jemedari yule, ndipo mfalme Daudi, akajitwalia huyo mwanamke na kumfanya ndiye mkewe na ndiye aliyemzalia Suleiman, hilo nalo jema?.
Nabii Lutu baada ya mkewe kugeuka jiwe la jumvi alipoitazama Sodoma na Gomora, Lutu alinyweshwa pombe na wale mabinti zake wawil na akawalala mabinti zake wote wawili zamu kwa zamu, tena wote wawili walikuwa ni ma bikra, na sio tuu ni baba yao wa kuwazaa aliwatoa bikra zao, bali pia akawajaza mimba wote wawili, hii ni incest, hilo nalo jema?.
Nimekuambia Suleiman, alioa wake 800 na masuriya 200 na bado akazini na Queen of Sheba aliyembadili imani, hilo nalo jema?.
Waislamu na Wakristu, wote tunafuata sheria moja ya Musa, nyinyi mmeng'ang'ana na ile original "ukiua kwa upanga, utauwawa kwa upanga", sisi tumefuata maboresho ya Yesu, "akupigaye shavu la kulia, mgeuzie na la kushoto", nani kati yetu anafanya jambo jema?!.
P.