Nyakua Nyakitita: Mhadhiri DIT anayeokota makopo barabarani

Nasikitika kuona habari kama hii, Lakini nadhani hata kukaa kwake Urusi kipindi chote hicho huenda alijiingiza katika Ulevi wa kupindukia na kutumia madawa ya kulevya kwa wingi ambayo kwa pamoja yalimfanya apoteze network na mwishowe kuchizika kabisa.
 
................wewe lazima utakuwa mgalatia tu ! ndo wenye stori za uzushi, yaani Suleiman aliandika kitabu akiwa chizi ! aiseeh !

kwenye RED,acheni kumeza kila kitu..take time kuwaza pia,Pasco amekua mturuki tena?..haya bana.

Galatia was an area in the highlands of central Anatolia in modern Turkey
 
PASCO hiyo paragraph ya mwisho nimekupata sana!! It is sad kuwa hata huyo baba kama ana entreprises huyu kijana wa nje hataweza simamia maana ni mtu wa starehe na vituo mjini tu!! Kila kitu kimemshinda sasa, kuanzia familia, kazi, siasa n.k.
Usiwe na wasiwasi, atasimama tuu!, hizo fujo na pilika pilika za kujionyesha, he is only pretending, ili "fulani" aone, ila kiukweli ukiondoa hayo mauza muza, jamaa ni mtu poa sana!.
 
Galatia katika Biblia imetumika kama watu au mji !!?

i like your reasoning..see the below...unapata hata mda wa kupitia pitia makala na history kabla ya kupost??hata kama ni mji au watu kwa nini umemwita Pasco mgalatia na wakati mimi naamini pasco ni mbantu?mbaguzi wewe...Galatia was a roman province and its inhabitants were Galatians period.

The Epistle to the Galatians, often shortened to Galatians, is the ninth book of the New Testament. It is a letter from Paul of Tarsus[SUP][/SUP] to a number of communities in the Roman province of Galatia in central Anatolia in modern Turkey.
 
.............hii ni bahari na kina chake ni kirefu, hivyo ukiingia uwe na hakika ya kujua,kuogelea ! naona maoni na mawazo katika jambo hilo ndo yanayokuongoza. Suleiman ni yule yule, kwanza. jiulize. Bible. ni kitabu. cha Nabii nani ? yeye Suleiman alikuwa nma kiitabu kinaitwa. Wimbo bora !

Bible. ni kitabu. cha Nabii nani ? Naenda nikueleweshe kuwa Biblia ina vitabu 66 achilia mbali vile vya DEUTEROKANONI ambavyo BIBLIA toleo kwa KANISA KATOLIKI imeviweka vimeandikwa na Manabii wengi Authorship of the Bible - Wikipedia, the free encyclopedia
Kwa mfano Nabii Musa:- (Msomi, Mchungaji,Kiongozi na Nabii) mwaka 1473 KWK(aliandika akiwa Nyikani nyanda za Moabu) yeye aliandika Mwanzo, kutoka, mambo ya walawi, Ayubu, Hesabu, kumbukumbu la Torati, na Baadhi ya zaburi km90 na 91
na Sulemani :-(anatambulika km Msomi, Mjenzi na Mtu wa Hekima) mwaka 1000 KWK aliandika akiwa Yerusalemu baadhi ya Methali, Wimbo ulio Bora, Mhubiri, na Zaburi 127
Kwa faida ya wote hivi vitabu baadhi ya mafunjo ya ngozi zenye maandishi yaliyoandikwa kihebrania yamehifadhiwa katika maktaba km Cambridge, Manchester, UK pia huko Cairo Misri, Jerusalem Israel
Kwahiyo hapo ndio tofauti na Qurani ambayo yenyewe ilishushwa toka ...................
Biblia haikushushwa ila vitabu vyake vilikusanywa (soma 2Wafalme 22:8-20 kilichoandikwa na Nabii Yeremia 580KWK aya hiyo inasema Kitabu cha sheria /Torati kilipatikana katika nyumba ya Mwenyezi MUNGU)

Nabii nikija kwenye neno hili linajieleza vizuri katika kitabu cha Kumbukumbu la Torati (Sheria) 18:14-22) ambapo katika mstari huo wa 22 kasisitiza kabisa km kajiita nabii bila ya yeye Mwenyezi Mungu nanyi msitishwe (msilitambue) jina hilo
Katika Biblia hakuna sehemu inayozungumzia Nabii aliyelala pangoni akaja kukabwa mbavu (fuatilia IQRA) na baada ya kutoka hao akaja kuwaambia watu mm nimeambiwa ni Nabii. Hiyo ndio tofauti kati ya Kumbukumbu la Torati ya kwenye Biblia na Qurani
Pasco ametumia hekima sana kutokukujibu au kutumia neno Mpumbafu kwani ubishani wa Mtumishi wa MUNGU umeelezewa katika Isaya 42:2 Hatalia wala hatapiga kelele, wala hatapaaza sauti yake barabarani Mwanzi uliochubuka hautauvunja, utambi ufukao moshi hatauzima ataleta haki kwa waaminifu. yeye hatafifia ............. watu wa mbali wanamngojea mwongozo wake

Kwa hiyo Ally Kombo umesema na nukuu .............hii ni bahari na kina chake ni kirefu, hivyo ukiingia uwe na hakika ya kujua,kuogelea jaribu
kuperuzi ia katika hii elimu dunia hivi vitu vipo msivikatae vikubalini km mnavyoamini kuwa Nabii Issa atarudi tena Duniani na kubadili Dini na kuoa na ndio utakuwa mwisho wa Dunia wanadamu wote kuchukuliwa kwa ajili ya Hukumu
Hivyo ni kitabu gani chwa kweli na ni nani aliye Copy na ku paste (anayedanganya ni mwenye Original au mwenye copy)

Mtoa mada samahani huyo Mhadhiri Nyakua Nyakitita anayeokota makopo na kuchora barabarani mleteni Mirembe Dodoma atapona kwani ugonjwa wake utajulikana tu km ni kwa ajili ya pombe au kampeni itajulikana na atapona
 
Last edited by a moderator:

.........aaaah umejaza ukwaju kibao ! Swali dogo tu ! Biblia ni Kitabu cha Nabii nani ? Unahangaiiika.
Injil iliteremshwa, Zaburi iliyeremshwa, Tourat iliteremshwa haloikadhalika Qur'an !
Ni nani mjuzi wa elimu Dunia hii ?
Manabii wanafanya kazi ya nani. ?
 
Last edited by a moderator:
Nchi hii imeharibiwa kwa mengi sana
atafutiwe huduma ya maombi au kupelekwa wataalam
pole yake sana
 
huyu [h=2]Nyakua Nyakitita yupo hapo DIT tangia miaka ya 2000 na kama familia na marafiki wameshaangaika ila hali inazidi kubaki hivyo hivyo tu[/h]
 
Usiwe na wasiwasi, atasimama tuu!, hizo fujo na pilika pilika za kujionyesha, he is only pretending, ili "fulani" aone, ila kiukweli ukiondoa hayo mauza muza, jamaa ni mtu poa sana!.

Pasco, umenichekesha Jamaa alivyo upstairs hakuna kitu. Mbona NI mtu wa network sana?
 
.........aaaah umejaza ukwaju kibao ! Swali dogo tu ! Biblia ni Kitabu cha Nabii nani ? Unahangaiiika.
Injil iliteremshwa, Zaburi iliyeremshwa, Tourat iliteremshwa haloikadhalika Qur'an !
Ni nani mjuzi wa elimu Dunia hii ?
Manabii wanafanya kazi ya nani. ?

Bible sio kitabu cha nabii mmoja,ndo maana umemsema Musa,suleiman,Daud,Yeremia,na wengine wengi....sio kama Quran mnasema ni kitabu cha nabii S.W.A..Sasa sijui uharo aliouandika ukwaju.

Bible. ni kitabu. cha Nabii nani ? Naenda nikueleweshe kuwa Biblia ina vitabu 66 achilia mbali vile vya DEUTEROKANONI ambavyo BIBLIA toleo kwa KANISA KATOLIKI imeviweka vimeandikwa na Manabii wengi Authorship of the Bible - Wikipedia, the free encyclopedia
Kwa mfano Nabii Musa:- (Msomi, Mchungaji,Kiongozi na Nabii) mwaka 1473 KWK(aliandika akiwa Nyikani nyanda za Moabu) yeye aliandika Mwanzo, kutoka, mambo ya walawi, Ayubu, Hesabu, kumbukumbu la Torati, na Baadhi ya zaburi km90 na 91
na Sulemani :-(anatambulika km Msomi, Mjenzi na Mtu wa Hekima) mwaka 1000 KWK aliandika akiwa Yerusalemu baadhi ya Methali, Wimbo ulio Bora, Mhubiri, na Zaburi 127
Kwa faida ya wote hivi vitabu baadhi ya mafunjo ya ngozi zenye maandishi yaliyoandikwa kihebrania yamehifadhiwa katika maktaba km Cambridge, Manchester, UK pia huko Cairo Misri, Jerusalem Israel
 
Hii habari imenifanya nijihi vibaya mmno coz nilipozaliwa nilikua najiamini sana kwenye masomo yangu pamoja na kuto kwenda shule hata mwezi nikiingia dalasani namba yangu ni 2 au 3 mpaka namaliza lasaba...ila nilikua sijui nini kipo kichwani kwangu nikachaguriwa mzumbe......wazazi wakanipeleka green acreas huko nikasoma ila sijielewi hata kidogo na tabia hiyo ya kutoingia darasani nikafukuzwa shule na kuhamia shule flani maeneo ya mwenge sipendi kuitaja coz familia inaweza kuisoma hii kitu.
Kipindi chote cha secondary yani 1&4 nimefanikiwa kuandika miradi ya vijana 12 iliyo mnufaisha mmlikiwa shule mr.bujugo pamoja na mmbunge wangu wa wangu jimboni kwetu pia nina kipaji kikubwa sana cha ufinyanzi na sanaa za picha.
Naamini kilicho niponza ni kuama masomo ya sayansi na kwenda masomo ya sanaa kwani nilipata 'A' masomo yote ya sayansi kasoro hisabati toka hapo muelekeo wa maisha yangu yakapotea ndoto za kuwa muhandisi kama baba yangu zilipotea sijui nini kimetokea kwenye maisha yangu kwani mpaka dream zangu zimepotea kabisa sijijui sijielewi kabisa......
Tanzania hiihii nina miradi na wengi tanzania nilio waandilkia nimiladi hapa tanzania ya vijana ya serikali...ila sina maisha marefu coz nina siri kubwa moyoni mwangu...niataifunua siku moja hapa hapa jf nawapenda na mnazidi kunifariji na stress hizi nawaahidi kitabu cha maisha yangu kipo njiani kabla sijachanganyikiwa na mimi
 
Mkuu Kingsimba, kwanza pole!, hebu soma tena kwa makini ulichoposti hapa, ukijiona kiko nornal, ujijue wewe ndiyo tayari!. You seriously need help!, wewe ni suicide type, ila ukiamua, usisage chupa, usijinyonge au kujioverdose kwa madawa, utakufa kwa mateso na uchungu mkubwa kabla roho haijaacha mwili, nakushauri, siku utakapoamua imetosha, kanunue tuu vidonge vya usingizi, valium, piga vidoge vyako, ukilala, ndio umelala jumla!. Kwanini uendelee kuteseka hapa duniani, wakati kuna peponi?, tatizo ni moja tuu, wote wanao jiua, huwa wanakwenda "motoni" na huko watateseka milele!.

NB. Kwa msioijua saikolojia ya suicide type, naombeni mtanisamehe kwa kumsaidia huyu mwenzetu kujiua kwa urahisi, painless death, tatizo ni kule atakakokwenda baada ya kujiua!.
 
Bible sio kitabu cha nabii mmoja,ndo maana umemsema Musa,suleiman,Daud,Yeremia,na wengine wengi....sio kama Quran mnasema ni kitabu cha nabii S.W.A..Sasa sijui uharo aliouandika ukwaju.

Bible. ni kitabu. cha Nabii nani ? Naenda nikueleweshe kuwa Biblia ina vitabu 66 achilia mbali vile vya DEUTEROKANONI ambavyo BIBLIA toleo kwa KANISA KATOLIKI imeviweka vimeandikwa na Manabii wengi Authorship of the Bible - Wikipedia, the free encyclopedia
Kwa mfano Nabii Musa:- (Msomi, Mchungaji,Kiongozi na Nabii) mwaka 1473 KWK(aliandika akiwa Nyikani nyanda za Moabu) yeye aliandika Mwanzo, kutoka, mambo ya walawi, Ayubu, Hesabu, kumbukumbu la Torati, na Baadhi ya zaburi km90 na 91
na Sulemani :-(anatambulika km Msomi, Mjenzi na Mtu wa Hekima) mwaka 1000 KWK aliandika akiwa Yerusalemu baadhi ya Methali, Wimbo ulio Bora, Mhubiri, na Zaburi 127
Kwa faida ya wote hivi vitabu baadhi ya mafunjo ya ngozi zenye maandishi yaliyoandikwa kihebrania yamehifadhiwa katika maktaba km Cambridge, Manchester, UK pia huko Cairo Misri, Jerusalem Israel

.......ndani ya Qur'an kuna Vitabu vitatu vinatajwa, Zaburi, Tourat na Injil ! Ndani ya Biblia inatajwa Injil na Biblia yenyewe haitajwi popote ! Na Paulo pia anajua Injili ni ya nani (Yesu) na Mitume ndo pekee wenye Vitabu. Kama Biblia ni Kitabu cha Mwenyezi Mungu, hivyo nani ni Nabii wa hicho Kitabu ? Angali tunavyojenga hoja !
 
Mkuu, Pasco ni chiboko. Asipoangalia atamfanya Ally Kombo ajilipue kwa bomu akidhania huko peponi atapewa wanawake mabikira saba wa kumstarehesha wa ngono..

Ndani ya pepo umejua kuna wanawake tu ?! Mgalatia ni kama punda aliyebeba vitabu, haviwezi kumuelimisha ! Kama pepo ipo na kuna maisha, hivyo watakao ishi ni wanaume na wanawake ! Na kuishi ni mke na mume. Kama unakanusha, yaani huamini haya, bila shaka wewe ni "Kafiri" na walikuwepo wengi kabla yako, na waliwapinga Mitume ! Kwa hiyo wewe ni takataka tu!
 
Mkuu Ali Kombo, wewe ni "fanatic" tofauti na vichaa ni kutookota makopo!. Kitu usichokijua kuhusu hawa ma "fanatics" wanayafanya hayo yote in the name of God/Allah kwa kujiaminisha ndio wanampigania Mungu/Mola wao, but very unfortunately wanamtumikia shetani bila kujijua na mwisho wao ni motoni, kwenye jehanum ya milele!.
 
Ndani ya pepo umejua kuna wanawake tu ?! Mgalatia ni kama punda aliyebeba vitabu, haviwezi kumuelimisha ! Kama pepo ipo na kuna maisha, hivyo watakao ishi ni wanaume na wanawake ! Na kuishi ni mke na mume. Kama unakanusha, yaani huamini haya, bila shaka wewe ni "Kafiri" na walikuwepo wengi kabla yako, na waliwapinga Mitume ! Kwa hiyo wewe ni takataka tu!

Ndiyo maana huwa siwaamini kabisa kwa vile yale ambayo yamewashinda wao kutokana na udhaifu wao wameyahalalisha kuwa ni miongozo ya Mwenyezi Mungu. Kwa hiyo kule peponi kuna maisha ya kuoa na kuachana na kuoa vibinti vya miaka sita na kuanza kuvichokonoa vikiwa na umri wa miaka tisa. Kuna kuoa wanawake wazuri kama malaika na kulala nao tu. Ndiyo maana wajinga wanajifunga mabomu na kujilipua wakiamini watayapata haya peponi.
Wakati mwingine ni vizuri kufikri kama wewe binafsi ili kuona kama yaweza kuwa kweli. Kuamini jambo bila kutumia akili ni makuruhu lakini bora zaidi kuwa na hakika ya yale unayoyaamini kwa akili yako pia. Neno la Mungu katika biblia linasema "Mpende Mungu wako wa moyo wako na kwa akili zako" na siyo kukalia masikio tu.
 
Back
Top Bottom