Nukuu Ya Leo....

Preta nimependa saana ujumbe wako... Ila mimi ni moja ya watu ambao naamini katika living the moment HASA katika mahusiano ambayo future yake kila mmoja hudhania jinsi itavyokuwa as opposed kujua ukweli kuwa itakuwaje (yaani kama for the better or worse).

Alafu ukiwa katika mahusiano yenye amani na mapenzi thabiti ile nuru ya furaha yako mara nyingi inapenya kwa wengine... Unaweza usiseme lolote but unaonekana mtu ambae una amani na furaha kwa kiasi kikubwa. Na sababu mara nyingi hatima ya mapenzi ni kuzoeana na kuwa hali ya kawaida saa ingine hata kuachana; ni heri kubanana na ile hali na furaha uisikiapo mwanzoni... Ila sio to the extent iwe matangazo... Lol.
 
Jamani kwani ikiwa matangazo inakera nini? Si ni wao au mie ndo kichwa kiazi sielewi? Kama tangazo lakukera lisome kimya kimya kisha pita zako au??
Acheni ndege wa anga wafurahie kuruka kwao wakingali na mabawa bwana, ......ukikipata kitumie, ukikikosa kijutie ilmradi huvunji sheria na amani ya watu wengine!

Sasa wasipotangaza, siku wakiachana wambeya sie tutapata wapi ya kuonyeshea meno? khaa!
 
I honestly like it when I see people in love...

sipendi kusikiliza mastori ya watu wanalalamika tuuuu.

Ila in real life wengi huhisi kukwazika wakiona watu wana show malove dove.

Labda wanatamani wangekuwa wao kwenye hizo position. Lol.

Yes mapenzi huchuja...hiyo haimkatazi mtu ku enjoy it while it lasts...


 
Umeona eeh.

Tena mimi ushauri wangu kwa new couples ni kufanya kufuru kwa kuwa hujuhi ya kesho...at least uwe na cha kuwasimulia wajukuu..."kwa kweli enzi zangu nilipendwa' Lol.

Baba na mama yangu wameachana lakini kila mmoja akisimulia enzi zao (na wanapenda kweli kututambia. Lol) anakuwa na tabasamu paana...they were real in love na walikuwa wana show it openly...


 

Hapo sasa,
Unless Preta awe ametumia tafsida hapa au awe na agenda ya siri maana mie sielewi tatizo li wapi. Muda wenyewe wa kuishi mfupi, asipofurahia leo atafurahi lini?? na mahusiano yenyewe haya ya kizazi hiki!!
 
haileti mantiki kuharibu mahusiano ya mwingine maana hata wakiachana furaha yao haimamii kwangu.

Lakini hicho huwa kipo kwa baadhi ya wadada wachache, sijui kama kuna wanamme wa aina hiyo pia.

 

Inaweza kuwa nukuu ya mwezi hapa JF. Ni hivi hivi tu au kuna kitu2?????
 

Nakubaliana na wewe mia kwa mia.. Halafu hawakawii kutoa -ve comments yaani wanajifanyisha au kujionyesha kumbe moyoni mwao kinawatachi.
Kama mtu una nafasi ya kupenda na kupendwa itumie ipasavyo. Love is in the air, live your life na furahia vilivyo!!!
 
Ni kweli Preta..Habari hizo za kupiga kelele ni za kina dayamondi na wema ili watokelezee kwa magazeti ya udakuz.Mature person hawezi fanya hivo
 
Loh hapa pako na kitu.............Mamaa Preta hebu funguka mpenzi.
But kipenda roho dada, acha atambie wakati kwa sababu anao uhakika nao kwa sasa, we subiria tu ukisikia kimya jua kafikwa!! Au ndo mambo ya debe tupu?

Hahahahaha mmnanifurahisha hasa debe tupu weka dengu...... Preta vipi rafiki kuna mtu anapita na ile koin spika ya kutangazia dawa ya panya anajitapa nini kitaa?? akizi we chukua PA na mchiriku...Mr Rocky atakupa sapport
 
mbwa ana hadhi na faida zaidi
 
Du wewe noma unapajua Yaeda Chini, ni pm nikuelekeze mpaka Yesh kesh Mungu wa mono na mpaka namba 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…