Ntakukumbuka daima Sharobaro!

Chimbuvu haya maneno yako sio matupu hata kidogo...ni maneno mazito yenye ujumbe wa kweli....chitchat imepoteza mtu muhimu sana!
RIP Sharo

Kumbuka nimeshirikiana nae.
Hvyo tupiamo shukrani na kwangu pia.
 
Last edited by a moderator:
Kifo kipo na ndio njia pekee ya kuondoka ulimwenguni.

Eeh Moyo wangu hima,
Enenda mbinguni,
Ulimwenguni humu,
Hapana cha raha,

Chorus;
Mchungaji wetu Yesu
Achungapo kondoo
Ni kwenye raha kuu
Enenda mbinguni.
 
hahaha...jamaa katutoka dah huko Muheza(Bondeni) sijui kunani maana nasikia ajali imetokea mahali peupeee....

Amegongana uso kwa uso na siafu waliokuwa kwenye msafara,kuelekea makwao.
 
Nendeni kule jukwaa la Picha, Amavubi kaweka picha yake baada ya kupata ajali na kufariki.
Aisee inatisha,yahtaji moyo kuangalia.
R.I.P Mkeity

Huu 'ustaarabu' wa mtu kutundika picha za maiti wa watu siupendi. Fikiri angekua mwanao, mdogo wako au mtu wako wa karibu kwa namna yoyote, nani angependa aanikwe akiwa hivyo alivyoumia?
 
Last edited by a moderator:
Huu 'ustaarabu' wa mtu kutundika picha za maiti wa watu siupendi. Fikiri angekua mwanao, mdogo wako au mtu wako wa karibu kwa namna yoyote, nani angependa aanikwe akiwa hivyo alivyoumia?

Yaani acha tu.
 
Kumbeee...
Atantambua huyo mwanamke.

Wewe mwanamke rijali kweli Madame B! Utagombania marehemu? Kumbuka ule wimbo wa WATAKA KUNIUA BURE HUYO SI WAKO..WALA SI WANGU.. haya punguza hasira za kumgombea marehemu eeh.
 
Last edited by a moderator:
Poleni wadau kwa msiba,,, R.I.P Sharobaro...
Hivi huyu Jamaa ndiye mwanzilishi wa hili neno Sharobaro?
 

Ulikuwaga wapi siku zote? au ndo kama tu wasifu wa marehemu ambao huwa ni wa sifa nzuri mara zote?!
Huenda tungemwanzishia mada hapo kabla ya kumsifia, ww ungekua wakwanza kumpondea.
 
ulikuwaga wapi siku zote? Au ndo kama tu wasifu wa marehemu ambao huwa ni wa sifa nzuri mara zote?!
Huenda tungemwanzishia mada hapo kabla ya kumsifia, ww ungekua wakwanza kumpondea.

stop critisizng KakaJambazi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…