aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,045
- 1,659
historia inasema binadamu wakwanza alikuwa sokwe unaamini hilo?Hiyo umesema wewe ila dunia nzima inajivunia historia na huo ndo utajiri wenyewe
historia inasema binadamu wakwanza alikuwa sokwe unaamini hilo?Hiyo umesema wewe ila dunia nzima inajivunia historia na huo ndo utajiri wenyewe
Swala sio kuamini au kutokuamini bila historia wewe usingejua Tanzania ilikuwa inaitwa Tanganyikahistoria inasema binadamu wakwanza alikuwa sokwe unaamini hilo?
Historia ni zaidi ya binadamu wa kwanza mkuu... Kila unachosoma shuleni ni history kwa maana tayari kilishafanyika then wanakukaririsha wewe katika mtindo ule ule, kwahiyo hakuna pahala unapoweza kukwepa history katika sector hiyo ya elimu.somo la historia halina maana.
binadamu wakwanza alikuwa nani?
Dah hii aibu sasaJuzi kuna madereva kutoka Tanzania wameshindwa mtihani qatar sababu magari waliyoitiwa yana technology ya kisasa ambayo madereva wetu hawayajui
Hata Mathematics ni historia mfano differential, algebra, na mengineo ni historia kwa sababu ni mambo watu waliofanya zamani sanaHistoria ni zaidi ya binadamu wa kwanza mkuu... Kila unachosoma shuleni ni history kwa maana tayari kilishafanyika then wanakukaririsha wewe katika mtindo ule ule, kwahiyo hakuna pahala unapoweza kukwepa history katika sector hiyo ya elimu.
Somo pekee ambalo halipo involved sana na engo hiyo ni mathematics lakini pia programming zaidi zaidi utafundishwa syntax zitakazo kusaidia kwenda kujenga logic wewe mwenyewe na ndio maana wasomi wengi wanapata shida kwenye hayo masomo kwa maana wamezoea kukariri na kuyatoa kama yalivyo.
Uwekezaji hadi sasa unafanyika ila nadhani shida ya elimu ya Tz haiko hapo kwenye uwekezaji, kwa maana shida ingekua ni uwekezaji Hawa ambao wamepata bahati ya kwenda shule wangekua Bora sana kwenye vile walivyosomea ila trust me 90% ya wahitimu wa chuo kikuu hawako vizuri kwenye taaluma zao.Kupitia uwekezaji
At least hayo huwa yanatoka kwenye historia kwasababu utafundishwa concept ila swali halitakuja kama ulivyofundishwa so utatakiwa ujenge logic zako binafsi ili uweze kutegua.Hata Mathematics ni historia mfano differential, algebra, na mengineo ni historia kwa sababu ni mambo watu waliofanya zamani sana
Hakuna uwekezaji kwenye elimu ya msingi shule hazina walimu wa kutosha, hazina maabara zenye vifaa, baadhi wanafunzi wanakaa chini, nyingi wanafunzi hawali shuleni, baadhi ya madarasa ni magofu yote haya ni kukosekana na uwekezajiUwekezaji hadi sasa unafanyika ila nadhani shida ya elimu ya Tz haiko hapo kwenye uwekezaji, kwa maana shida ingekua ni uwekezaji Hawa ambao wamepata bahati ya kwenda shule wangekua Bora sana kwenye vile walivyosomea ila trust me 90% ya wahitimu wa chuo kikuu hawako vizuri kwenye taaluma zao.
Nadhani elimu haipaswi kuwa ya aina moja kwa maana kuna elimu nyingi sana watu wanaweza kuwa nazo ukiachana na hiyo ya taaluma iliyozoeleka.Hakuna uwekezaji kwenye elimu ya msingi shule hazina walimu wa kutosha, hazina maabara zenye vifaa, baadhi wanafunzi wanakaa chini, nyingi wanafunzi hawali shuleni, baadhi ya madarasa ni magofu yote haya ni kukosekana na uwekezaji
Wanafunzi wa vyuo vikuu hawako vizuri sababu ya msingi mbovu wa elimu ya msingi na secondary
Ukienda nchi zote zilizoendelea huwezi kuta wanafunzi wakaa chini, mara hakuna mwalimu wa physics kama ilivyo kwa shule nyingi za serikali, darasa linawanafunzi wengi kupita kawaida n.kNadhani elimu haipaswi kuwa ya aina moja kwa maana kuna elimu nyingi sana watu wanaweza kuwa nazo ukiachana na hiyo ya taaluma iliyozoeleka.
Ufanywaji wa elimu kuwa ya aina moja na kuifanya iwe ya lazima ndio chanzo cha kupata end product mbovu.
Watu wengi hukimbilia kwenye eneo hilo kwasababu ya unafuu wa maisha ya kwamba wameaminishwa ukisoma utakua na maisha mazuri so anachoamua kufanya ni kukariri kwa lengo la kujibia mtihani balada ya kuelewa ili ije kumsaidia hapo baadae.
Thou sababu zako ni za msingi ila am sure hata huo uboreshwaji ukifanyika bado tutaendelea kupata wasomi wa vyeti tu na si wasome wenye kuyaelewa maeneo yao kwa uzuri.
Elimu inahitaji utayari wa mtu binafsi.
Ni sawa ila pia nchi za wenzetu elimu haina njia moja kama ambavyo ipo hapa kwetu.Ukienda nchi zote zilizoendelea huwezi kuta wanafunzi wakaa chini, mara hakuna mwalimu wa physics kama ilivyo kwa shule nyingi za serikali, darasa linawanafunzi wengi kupita kawaida n.k
Miundombinu ya kusomea lazima iwe mizuri