Ntafanya elimu ya Tanzania iheshimiwe dunia nzima, yaani mtu akiwa na cheti kutoka Tanzania ataheshimiwa

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,124
Reaction score
6,141
Mtoto anayemaliza elimu ya shule ya msingi atakua na uwezo ufuatao;-
  1. Uwezo wa kujieleza kwa kujiamini kwa kutumia kingereza na kiswahili
  2. Atakuwa na msingi imara wa kuongea kingereza,
  3. Kutumia computer na kufungua vitu vidogo vidogo kama email, (Tanzania kuna group kubwa la watu hawajui hata kufungua email ni aibu kwakweli)
  4. kuandaa word, na PowerPoint

Mwanafunzi aliyemaliza form four atakuwa na uwezo ufuatao;-
  1. Kujua kuongea kichina
  2. Kutumia excel katika advanced level
  3. Kujua graphics
  4. Kujua programming language zisizopungua nane
  5. Kujua kutengeneza website, na mobile apps
  6. Kutrain Artificial intelligence models na machine learning models
  7. Kujua udereva wa magari yote mpaka forklift, caterpillar, kwa ajili magari ya kisasa (mwaka huu madereva kutoka Tanzania walishindwa interview kule qatar hilo swala halitokuwepo) udereva ni somo tokea form one mpaka form four
Tanzania bado udereva una-umuhimu sababu bado ni ngumu kuwa na self driving car kwa sababu sehemu kubwa ya nchi ni squatter
Ni kitafanyika niiiwa Rais wa Tanzania
  1. Nchi nzima itapimwa
  2. Tuta-train AI models kwa kupitia master planning models ya nchi nzima baada ya hapo itakuwa ni rahisi kutumia self driving car
 
Kwahiyo utatumia njia gani ili kuhakikisha haya yote yanawezekana?
 
Threads zako ni nzuri na zina mashiko, bahati mbaya umewasilisha muda ambao watu wanajua kila kitu,hivyo huna cha kuwaambia na ndiyo maana wengi watakupuuza.

Lakini ungepost ,umeachwa,unasumbuliwq na mapenzi na vichekesho kadhaa, lazima ungepata reply nyingi
 
Una mawazo mazuri! Inawezekana hata waliopo madarakani walikuwa na mawazo mazuri hivi hivi lakini wakakengeuka baada ya kulamba asali!

Ili uweze kufanikisha haya, inabidi uwe kama Mh. hayati John Pombe Magufuli! Uwe mkali na usimamie unachoamini, za kuambiwa changanya na za kwako vinginevyo watakuyumbisha na kukutoa nje ya reli!!

Tunakuombea.
 
Threads zako ni nzuri na zina mashiko, bahati mbaya umewasilisha muda ambao watu wanajua kila kitu,hivyo huna cha kuwaambia na ndiyo maana wengi watakupuuza.

Lakini ungepost ,umeachwa,unasumbuliwq na mapenzi na vichekesho kadhaa, lazima ungepata reply nyingi
Wanajua kila kitu sasa mbona hayo mambo hayafundishwi shuleni mfano programming, basic computer skills, graphics n.k

Na pia ni rahis kuambiwa na mtu tunajua kila kitu ilihali ni nchi maskini sana
 
Viongoz wazingatie hili swala
Technology inakuwa kwa kasi
Na sisi tupo nyuma

Kama Tanzania tu kwenye upande wa Elimu kwenye Technology ingejitahid
Tungefika mbali sana

Shida masystem ya kikoloni bado
Yapo

Mfano mm najifunza VFX Editing
Nimeanza nikiwa 14yrs bila kufundishwa

Sasa mtu akiwezeshwa apate elimu inayomfaa atafanikiwa zaidi
 
Juzi kuna madereva kutoka Tanzania wameshindwa mtihani qatar sababu magari waliyoitiwa yana technology ya kisasa ambayo madereva wetu hawayajui
 
hapo inabidi Kunabaadhi ya masomo yafutwe kabisa mfano uraia,kiswahili,haiba na michezo namengine ambayo nimeyasahau

watoto wajifunze hisabati, sayansi,baiolojia, joglafia na lugha zakigeni zenye umuhimu

ukifanyahivyo utaweza kuendana na dunia yasasa pia utaweza kuwafundisha vitu ulivyo ainisha hapo juu

somo nililolisahau lifutwe ni historia halina maana yoyote
 
Historia ni somo la muhimu sana lazima watu wajue walipotoka
 
1751187520010.jpg
 
hapo inabidi Kunabaadhi ya masomo yafutwe kabisa mfano uraia,kiswahili,haiba na michezo namengine ambayo nimeyasahau

watoto wajifunze hisabati, sayansi,baiolojia, joglafia na lugha zakigeni zenye umuhimu

ukifanyahivyo utaweza kuendana na dunia yasasa pia utaweza kuwafundisha vitu ulivyo ainisha hapo juu

somo nililolisahau lifutwe ni historia halina maana yoyote
Utafutaje history wakati Kila kinachosomwa ni history?
 
Hiki kikaratasi nimekiona hapa JF, kinafikirisha sana kuhusu hatima ya ELIMU yetu! Shule zinazoonekana hapa zote nazfahamu hasa utendani wake, acha niishie hapa....

20250617_124722.jpg
 
Back
Top Bottom