Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,578
na NSSF hakuna wakristo kwa sababu hawajasoma
Safi sana mkuu umemjibu vizuri
na NSSF hakuna wakristo kwa sababu hawajasoma
Wakati Dr Charles Kimei Mkurugenzi wa Benki ya CRDB anatoa maagizo kwa Mameneja wake wote wa Mikoa kuwa watoe Sadaka Kanisani (fungu la 10) kutokana na faida ambayo Benki imepata, mbona hatuhoji wizi huu wa sehemu ya fedha za Umma (kwa sababu Serikali ina hisa 40% CRDB) zinazopelekwa Kanisani?
Taasisi ya umma kuwa na kashfa kama hiyo si sahihi. Ni lazima tutofautishe. Taasisi ikibeba maudhui ya dini flani na ikaajiri watu wa dini hiyo kwa mujibu wa taratibu zao kama world vision si tatizo. Tatizo hapa ni NSSF inashutumiwa kuweka udini ni taasisi ya umma si ya wakristu wala waislam.
CRDB Muendelezo
14. Izengo D Soka. Director of Internal Audit. Mkristo
15. John Baptist Rugambo. Director of Corporate Affairs. Mkristo
16. Alex Ngusaru. Director of Treasury. Mkristo
17. James Mabula Director of Risk & Compliance. Mkristo
18. Bruce Mwile. General Manager Burundi. Mkristo
Wanaolalamika kuhusu nssf ni washenzi tu ambao wana hasira kumuona mtu kafunga hijabu hamna kingine
SHIRIKA LA BIMA (NIC)
1. Mkurugenzi Mtendaji. Justine Mwandu. Mgalatia
2. Mkurugenzi-Bima za Maisha. Rose Lawa. Mgalatia
3. Mkurugenzi wa Fedha na Utawala. Anne Mbughuni. Mgalatia
4. Mkurugenzi wa Bima za Mali na Ajali. Kura Kalema. Mgalatia
5. Mkurugenzi wa Masoko. Henry Machoke. Mgalatia
N:B
Wakristo ndio wanaorudisha maendeleo ya hii nchi nyuma, kwenye Taasisi ama Shirika ama Wizara akiwekwa Muislamu parformance zao huwa za hali za juu.
Wadau,
Kama tunavyofahamu Tanzania ni nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini fulani japokuwa wanaoutuongoza wana dini. Kwangu mimi naona ni jambo jema endapo hatutaangalia dini zetu ili tupate au kutoa huduma mbalimbali za kijamii. Ni hivi majuzi mfuko wa jamii ya watanzania wote NSSF imetangaza nafasi lukuki za kazi lakini zimo tuhuma ambazo zinatolewa na watu wanaodai ni wafanyakazi na wenginesio wafanyakazi kuwa NSSF kuna udini eti kama hauna 'sigda' haupati kazi au kama wewe si Abubakari au Hamisi haupati kazi. Tuhuma hizi ni mbaya na kubwa kwa mfuko unaoitwa wa jamii. Eti ili wakuajiri si kwamba umefaulu interview bali kwa majina na dini yako. Ni jambo linalohitaji ufafanuzi na ushahidi wa kutosha aidha kukubali au kukataa kuwa kuna udini au hakuna maana litaleta mpasuko kwa taifa. Moto wa dini ni rahisi kuuanzisha na kuuchochea lakini ni ngumu kuumaliza. Kesho tutaskia na PPF kuna 'UDINI' Keshokutwa tutaskia mahakamani kuna udini na mwisho itakuwa ni jeshi na ikulu kuna udini huku mamlaka zikiwa kimya.
Mishenzi hii kazi yao wizi
mbona husemi kinachotokea kila december kwenye maofisi ya umma yanapogeuzwa makanisa kwa mapambo ya kikafiri
Huo ni uoga kwa kuwa Wakubwa ni Waislaam?
Amma kwa hakika Waislaam wanatisha, akiwepo mmoja basi huonekana wako 1000.
Hizo ndiyo barka za Uislaam.
NSSF
1. Mkurugenzi Mkuu. Ramadhani Dau. Muislamu
2. Mkurugenzi wa Fedha. Ludovic Mrosso. Mkristo
3. Mkurugenzi wa shughuli. Cresentius Magori. Mkristo
4. Mkurugenzi wa Kompyuta. I. Halfani. Muislamu
5. Mkurugenzi wa Utumishi. Bi Chiku Matessa. Muislamu
6. Mkurugenzi wa uwekezaji. Yacoub Kidula. Muislamu
7. Mkurugenzi wa Ndani. Pauline Mtunda. Mkristo
8. Meneja wa uhusiano. Bi Eunice chiume. Mkristo
9. Mkuu wa usalama. Ramadhani Nasibu. Muislamu
10. Meneja kitengo maalum. Davis Senkoro. Mkristo
11. Mkuu wa Idara ya Sheria. Chedrick Komba. Mkristo
12. Mkuu wa Tathmini ya Mfuko. Sadi Shemliwa. Muislamu
N:B
Mkitaka niwawekee na Mifupo mingine ya Hifadhi ya jamii tulinganishe muone jinsi Wagalatia wanavyowabania vijana wa kiislamu.
Wakiristo ni wezi wakubwa na hawana aibu wala hofu ya Mungu ndio maana wanagawa hela ya wizi mpaka kwa Askofu !
Wakukoma ni nyie wenye roho ya kwanini
MWISHO WA KUWEKA VILEMBA NI 2O15
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
1 Mkurugenzi Mtendaji Merina Njelekela Mkristo
2 Mkurugenzi wa Huduma za Matibabu Prof. Andrew Swai Mkristo
3 Mkurugenzi wa Huduma za Upasuaji Dr Rosina Lipyoga Mkristo
4 Mkurugenzi wa Huduma za Kliniki DrPraxeda Ogweyo Mkristo
5 Mkurugenzi wa Manesi Sister Agnes Mtawa Mkristo
6 Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi Gaudence Aksante Mkristo
7 Mkuu wa Ugavi Pindani Nyalile Mkristo
8 Mkurugenzi wa Utumishi na Mipango Makwaia Makani Mkristo
9 Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Hesabu Constantin Kalipen Mkristo
10 Mkuu wa Idara ya Uhusiano Aminiel Buberwa Mkristo
wakukoma ni nyie wenye roho ya kwanini
Bado miezi 10, udini nchi hii utokomezwe milele. Narudia tena, miezi 10 imebaki. Wadini wote mtajibeba.
LABDA MUANZE KUJILIPUA KAMA KAWAIDA YENUHata huyo "bwana" wenu yesu akirudi VILEMBA kama kawaida