NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Status
Not open for further replies.
Hawana qualification hao waislam?

Kwenye hizo taasis zingine mlikojaa waimba kwaya mbona waislam hawalalamiki?

Na Prime Minister Muislam na Makamu wa Rais Muislam.

Kama Mlidhani Magufuli ni zuzu kama nyinyi imekula kwenu mwaka huu.

Kiboko yeni ni Magufuli....Ameanza na yule wa deen yetu pale TRA
 
Wadau,
Kama tunavyofahamu Tanzania ni nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini fulani japokuwa wanaoutuongoza wana dini.

Kwangu mimi naona ni jambo jema endapo hatutaangalia dini zetu ili tupate au kutoa huduma mbalimbali za kijamii. Ni hivi majuzi mfuko wa jamii ya watanzania wote NSSF imetangaza nafasi lukuki za kazi lakini zimo tuhuma ambazo zinatolewa na watu wanaodai ni wafanyakazi na wenginesio wafanyakazi kuwa NSSF kuna udini eti kama hauna 'sigda' haupati kazi au kama wewe si Abubakari au Hamisi haupati kazi.

Tuhuma hizi ni mbaya na kubwa kwa mfuko unaoitwa wa jamii. Eti ili wakuajiri si kwamba umefaulu interview bali kwa majina na dini yako. Ni jambo linalohitaji ufafanuzi na ushahidi wa kutosha aidha kukubali au kukataa kuwa kuna udini au hakuna maana litaleta mpasuko kwa taifa.

Moto wa dini ni rahisi kuuanzisha na kuuchochea lakini ni ngumu kuumaliza. Kesho tutaskia na PPF kuna 'UDINI' Keshokutwa tutaskia mahakamani kuna udini na mwisho itakuwa ni jeshi na ikulu kuna udini huku mamlaka zikiwa kimya.

Mambo mengine ni bora kutafakari kwanza kabla ya kuyaandika maana yaweza kuleta madhara kuliko hali halisi mbona inadaiwa pia tra kama huna asili ya kaskazini kazi hakuna
 
Na Mimi niliwahi kusikia Khs tuhuma hizi. Nasikia Kuna siku mkuu wao alitoa ahadi ya ajira 100 mahali pa ibada (aliyenipa taarifa hizi alidai Kuna ndg yake aliunganishwa na ustaadhi wa mahala hapo). Watu wanaajiliwa interview ni geresha. Pia nilisikia hata upangiwaji vituo vya kazi unaangalia sana Dini.
 
kiboko yeni ni magufuli....ameanza na yule wa deen yetu pale tra

kama rished mohammed bade kaondolewa kazini sio kwa uzembe kazini
na ionekane kuwa makontena ni geresha tu na kumbe tatizo ni dini yake
basi ntaamini mkatoliki huyu hafai bora tungempigia mlutheri kipenzi cha waja aso bagua

ila wadau nadhani haya maswala ya imani haya yasitumike sana katika mijadala yetu italeta mpasuko sana
 
kumbe maguguli anafukuza waislamu tu,loh kumbe ni mkakati anaofanya huyu mkatoliki mdini.
 
Nasikitika kuona watu mnajadili udini, haifai hata kidogo. Mimi sidhani kama Tanzania na wananchi wake wamefikia mahali pakuweza kugawa ajira na nyadhifa katika mashirika ya umma kwa misingi ya dini.
Dini si kigezo na hata mkisema pasu kwa pasu bado si sahihi dini isiamue iwapo mtu ananafasi au hana nafasi bali vigezo vingine kama elimu na uzoefu baaas.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Ngoja udini ujadiliwe
Mmezidi
MTU akifanya kazi vizuri mnasema ana udini. Akifuga ndevu anaudini nikweli sasa awe mpagani???

Tunachogitaji dhuluma isitendeke. Haki sawa kwa wrote.

Udini upo Tanzania why?? Bse kila MTU ana dini take. Sasa ni IPI inafaa hilo in swali lingine

Hapa tunataka haki itendeke na sio upendeleo.

Hapa kazi tu. Upendeleooo noooo
Mwacheni dr dau ahudumie jamii na ndio maana anaongoza kudeliver vizuri.
Acheni maneno ya kuturudisha nyuma.
 
Yule mkuu wa NSSF ndio mdini kupitia maelezo. Acha tu ajira, miradi yote ya ujenzi ma consultant ni kina Mlingo na kampuni zao ambao ni ndugu na ni watu wa Ijumaa. Nikweli ili uajiliwe udini unaangaliwa na ili upate tender mambo ni yale yale
 
Kama MTU hafanyi vizuri aondolewe.
Lakini
Isije ikawa kwavile kanisa linakosa fungi ndio sababu ya kumuondoa!

Dr john take care
 
Na hii hapa ya PPF

Management of the fund comprises of the Director General who is the Chief Executive Officer and eight directors as follows:

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
1_dg.jpg

William Erio - Director General
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
1_dpi.jpg

Mr. Steven Alfred
Director of Planning and
Investments
[/TD]
[TD]
1_dis.jpg

Mr. Robert Mtendamema
Director of Information
Systems
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
1_df.jpg

Mr. Martin Mmari
Director of Finance
[/TD]
[TD]
1_dls.jpg

Ms. Vupe Ligate
Director of Legal Services
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
1_dia.jpg

Mr. Hosea Kashimba
Director of Internal
Audit
[/TD]
[TD]
1_dhcma.jpg

Mr. Julius K Mganga
Director of Human Capital
Management & Administration
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
1_do.jpg

Ms. Assumpta Maina Mallya
Director of Operations
[/TD]
[TD]
1_drm.jpg

Ms. Uphoo Swai
Director of Risk Management

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mkuu inatosha hawa jamaa wana chuki mbaya sana.
 
"Huyu Ramadhani Dau wa NSSF lazima tumwandame kazidi na uislam maana hata Clecentius Magoli ni Muislam (aibu yetu).

Hatuna shida na Wiliam Erio maana yeye kajaza WAKRISTO WATUPU, hajachanganya kama Dau.

PPF hatuna Mkurugenzi muislam hata mmoja- hili hatulioni ila Dau ndio mdini (Wakurugenzi 9 wakristo na SIFURI ni Waislam)

PPF kati ya mameneja 20, wawili tu ndio waislam, mmoja makao makuu na mmoja ni wa kanda, bado tunaona Dau ni dini

Hii ina maana, PPF katika viongozi wakuu 29, 27 wakristo na 2 waislam. PPF tulikuwa na Mkurugenzi muislam, tukamtimua kisiasa kwa kuunganisha Idara mbili"

Hivi tujiulize mafisadi wakubwa walioitia nchi hii takatifu hasara kubwa ni dini gani? Mgonja ni Muislam? Daniel Yona ni Muislam? Mzee Mtei ni Muislam? Jibu unalo mwenyewe!

Leta orodha ya mafisadi wakubwa hapa tuone nani ni Muislam na nani siyo Muislam! Mukijibu hili ninayo list ya mafisadi wakubwa ambao hata mmoja hakuna Muislam. We need facts not blaa blaa hapa.

habariyamujini alipost hivi 12/5/2014
 
Last edited by a moderator:
Mbona hata wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wengi ni waislam kwani kuna shida?
Udini upo tz ila bado tunaheshimiana
 
Kiboko yeni ni Magufuli....Ameanza na yule wa deen yetu pale TRA

Wewe tumia akili.

Huyo Rished Bade wa Tra amesimamishwa kazi sababu ya uislam wake au sababu ya huo ubadhirifu?

Na Magufuli sisi hawez kuwa kiboko yetu.

Magufuli waislam weeengi tumempigia kura kwa kuwa Tuna iman nae na ametuonesha kuwa yeye ni mtenda haki.

Kutuletea Prime Minister Muislam tu hiyo ni indication Tosha kuwa yeye ni mtu wa kuweka uzalendo mbele na siyo udini.

Nchi Hii siyo mali ya kanisa ni mali yetu soote.
 
Safi sana The big show, Mr Ritz wapeni facts wachawi hao tumeshawazoea kwa uchochezi na ubaguzi wakidhani nchii hii ni yao peke yao! Zaidi wanataka kujipendekeza kwa magu wakati wao ndio waliomnyima kura kwenye uchaguzi! Ref #maaskofu wenu kama alivyonukuliwa babu slaa! Tunawaambia hii vita mnayotaka kupigana ya udini na ubaguzi kamwe hamtowaweza waislam wa zama hizi kwani wamesoma na wanajitambua na zaidi wanajua hila zenu na chuki zenu kwao!mna roho mbaya sana wengi wenu hususani mtoa post!
 
Hacheni ftina au kuongea msicho kijua..siku nyingine oongeeni kwa ushahidi sio uzushi na maneno ya vijiwe vya kahawa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom