NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Status
Not open for further replies.
Na hii hapa ya PPF

Management of the fund comprises of the Director General who is the Chief Executive Officer and eight directors as follows:

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
1_dg.jpg

William Erio - Director General
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
1_dpi.jpg

Mr. Steven Alfred
Director of Planning and
Investments
[/TD]
[TD]
1_dis.jpg

Mr. Robert Mtendamema
Director of Information
Systems
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
1_df.jpg

Mr. Martin Mmari
Director of Finance
[/TD]
[TD]
1_dls.jpg

Ms. Vupe Ligate
Director of Legal Services
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
1_dia.jpg

Mr. Hosea Kashimba
Director of Internal
Audit
[/TD]
[TD]
1_dhcma.jpg

Mr. Julius K Mganga
Director of Human Capital
Management & Administration
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
1_do.jpg

Ms. Assumpta Maina Mallya
Director of Operations
[/TD]
[TD]
1_drm.jpg

Ms. Uphoo Swai
Director of Risk Management

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
sasa Kama wamekidhi vigezo na nyie hamkidhi vigezo tufanyeje?!
 
Ndiyo maana Dr.Magufuli kapiga marufuku mapambo ya Xmas ofisi za serikali, ofisi zote wizara mmezigeuza kama vigango vya kanisa.

mkuu mbn povu linakutoka .... baba yenu JK kaondoka mtaisoma namba 🙂
 
Ni kweli hili liangaliwe kimakini na ikiwezekana ku angalia hao wafanyakaz wanapatikana vp, maana udini/ukabila katika shirika usipokemewa unaweza sambaa katika tasis nyingine na hivo kuligawa taifa, sio vibaya mwislam kufanya kaz nssf bali swali kubwa ameipata kaz hiyo kwa haki, au ni kuna watu wanataka kucatch up kwa at expenses others.
 
Mh Rais naomba nilete yangu malalamiko maana najua hili utalisikia,katika huu utawala ni wakuwasikiliza wanyonge sisi watumishi wa NSSF tunabaguliwa sana hasa wale ambao si waislam wengi wamefukuzwa kazi kwa sababu za udini tunaomba ofisi yako uingilie kati hili tatizo NSSF nishirika la umma lakini utadhani ni shirika la BAKWATA hii inatia simanzi katika hili taifa lisilo kuwa na udini!.Mungu Ibariki Tanzania Mungu Mbariki Rais Magufuli kwani yupo katika mapambano makali yanayohitaji maombi ya taifa.

Wewe Gwajima nini,?!
 
Mkuu kwakuwa serikali ina idara za usalama watajua ni nini tunaongelea kama unajitoa fahamu kutojua tunacho ongelea maana hata kama ujui kusoma basi picha uoni???basi kwakuwa kasema kila mtumishi wa serikali ataeleza mali zake kazipataje tusubiri hata gorofa la mkurugenzi ataulizwa pia hapa kazi tu! Maana interview wanaulizwa majina ya kiislam leo unajifanya ujui???

Acha upumbavu Mkuu. Idara ya Usalama haiko kufanya kazi kipuuzi Kama unavyofikiria wewe. Sijaona sehemu au kipengele chochote katika hoja yako kwamba Taifa liko hatarini kwa tuhuma ulizotoa. Kuulizwa majina ya Kiislamu kunahusu nini na UDINI !? Mbona kwenye fomu nyingi za ajira au shule,vyuo n.k kuna kipengele kinahitajika kujaza Dini yako!? Ukiamua kuwa pumbavu kuwa pumbavu mwerevu kuliko kuwa pumbavu ndondocha.
 
Kuna Siku Nilieleza Humu Huo Udhaifu Wa NSSF Hasa Kwa Kiongozi Wake Mkuu Kwa Tabia Yake Ya Kuendekeza UDINI Nikaeleweka Vibaya Sasa Leo Mkuu Huyu Amelileta Hivyo Bishieni Na Hili Tena. Dau ACHA UDINI Unawakwaza Watu Mno Hapo Hivi HUJISHTUKII Tu?

Ramadhani Dau yuko kwenye target subiri triger ikiminywa utaona anavyosambaratishwa, hata alivyokuwa NECTA ujinga wake ni huohuo
 
mkuu mbn povu linakutoka .... baba yenu JK kaondoka mtaisoma namba 🙂

Kweli nyie watu mnaroho mbaya sana na asilimia kubwa thinking yenu ipo hivi, no wonder hivi ndivyo mnafundishwa na viongozi wenu?! hii inaakisi yale mnayopandikizwa kwenye mioyo yenu.
 
Mh Rais naomba nilete yangu malalamiko maana najua hili utalisikia,katika huu utawala ni wakuwasikiliza wanyonge sisi watumishi wa NSSF tunabaguliwa sana hasa wale ambao si waislam wengi wamefukuzwa kazi kwa sababu za udini tunaomba ofisi yako uingilie kati hili tatizo NSSF nishirika la umma lakini utadhani ni shirika la BAKWATA hii inatia simanzi katika hili taifa lisilo kuwa na udini!.Mungu Ibariki Tanzania Mungu Mbariki Rais Magufuli kwani yupo katika mapambano makali yanayohitaji maombi ya taifa.

Usianzishe vita ambayo hujajipanga ! Hizi mara huwakimbiza watu na moderator wanatupa mataulo ulingoni fact zikianza kushushwa humu. Kuna idara nyingine za serikali ni parokia kabisaa na nyingine ni vigango. Wakiletwa akina Tamesa, CRDB and the like. utanuna ! Yule Kimeo wa CRDB anagawa mpaka pesa za benki kanisani mbali ya ajira. Mohamed Said Mahmood Mti Mkavu expastor njooni na ile list. faizafox
 
Last edited by a moderator:
Naona wana kwaya watupu wagalatia hapa hawawezi kusema chochote wao kazi kupambana na Dr. Dau tu.

Hapo umekosea mgalatia-mkristo akishika Taasisi yeyote kuanzia Urais habagui kama alivyo Mpalestina -Muislam na mbaya zaidi kila siku muislam ni mtu wa kulalamika tu anaonewa hata kama hana sifa ya kushika ngazi anayoilalamikia na akiishika atahakikisha anawapiga vita aliowakuta ili mradi wawe ni makafiri kwa mujibu wa ujinga wake. Nakumbuka Mwinyi alivyokuwa Rais watu walivunja mabucha ya nguruwe kwa kudhani atawaunga mkono mzee yule akawatosa na slogani yake ya "RUKSA" Kaja Mkwere watu wamechinja binadamu mwenzao kisa eti hastahili kuchinja mnyama naye hakuwaunga mkono wamo jela mpaka leo wanasota tu. yaani mhhh ni Taabu tu Mungu tuhurumie kuishi na hawa ndugu zetu.
 
Ramadhani Dau yuko kwenye target subiri triger ikiminywa utaona anavyosambaratishwa, hata alivyokuwa NECTA ujinga wake ni huohuo

juzi juzi alipo kuwa dodoma siku ya ufunguzi wa bunge la 11,niliona akihojiwa live kwenye TV.

hakika jamaa udini umemshika,maana kimuonekano alikuwa too rough.minywele na midevu kama mganga wa kienyeji.huwezi amini kama aliyekuwa anahojiwa ni mkurugenzi wa shirika kubwa la umma tz.
 
Hapo umekosea mgalatia-mkristo akishika Taasisi yeyote kuanzia Urais habagui kama alivyo Mpalestina -Muislam na mbaya zaidi kila siku muislam ni mtu wa kulalamika tu anaonewa hata kama hana sifa ya kushika ngazi anayoilalamikia na akiishika atahakikisha anawapiga vita aliowakuta ili mradi wawe ni makafiri kwa mujibu wa ujinga wake. Nakumbuka Mwinyi alivyokuwa Rais watu walivunja mabucha ya nguruwe kwa kudhani atawaunga mkono mzee yule akawatosa na slogani yake ya "RUKSA" Kaja Mkwere watu wamechinja binadamu mwenzao kisa eti hastahili kuchinja mnyama naye hakuwaunga mkono wamo jela mpaka leo wanasota tu. yaani mhhh ni Taabu tu Mungu tuhurumie kuishi na hawa ndugu zetu.

Wagalatia roho mbaya inawatesa ! ........ mkiona ishara ya haki mnaweweseka !
Sakata la kuchinja mmelianzisha wenyewe na likawashinda ! kikowapi leo !? mbona manakula nyama msiochinja wenyewe !
 
Sema kinachofanyika ni kuwa, waislamu wengi enzi zile walikalia madrasa, hivyo wakajikuta sehemu nyingi hawawezi kuajiliwa kwa sababu ya elimu, kiasi kwamba waliotangulia kusoma sasa wakipata nafasi wanajaribu kuwajaza kwenye nafasi ili kufidia gap. Tofauti na kipindi cha wakristo, waliaajili kwa kiwango cha sifa, bila kuangalia dini. Ingawa hao waislamu unakuta wana sifa, sema ndiyo bias inakuwepo. Mfano Asad aliajili hao waislamu wa muonekano pale udsm, watu walisema kuwa ni mdini, ila sasa hao jamaa wanazo sifa sasa utafanyeje? Nadhani ifikie pahala pawe tu na usawa ktk ajira, yaani uwekwe mfumo ambao hauangalii jina wala sura.
 
juzi juzi alipo kuwa dodoma siku ya ufunguzi wa bunge la 11,niliona akihojiwa live kwenye TV.

hakika jamaa udini umemshika,maana kimuonekano alikuwa too rough.minywele na midevu kama mganga wa kienyeji.huwezi amini kama aliyekuwa anahojiwa ni mkurugenzi wa shirika kubwa la umma tz.

Mpaka ukimuangalia roho inakuuma ! wakati Uislaam ni wake !
 
Sema kinachofanyika ni kuwa, waislamu wengi enzi zile walikalia madrasa, hivyo wakajikuta sehemu nyingi hawawezi kuajiliwa kwa sababu ya elimu, kiasi kwamba waliotangulia kusoma sasa wakipata nafasi wanajaribu kuwajaza kwenye nafasi ili kufidia gap. Tofauti na kipindi cha wakristo, waliaajili kwa kiwango cha sifa, bila kuangalia dini. Ingawa hao waislamu unakuta wana sifa, sema ndiyo bias inakuwepo. Mfano Asad aliajili hao waislamu wa muonekano pale udsm, watu walisema kuwa ni mdini, ila sasa hao jamaa wanazo sifa sasa utafanyeje? Nadhani ifikie pahala pawe tu na usawa ktk ajira, yaani uwekwe mfumo ambao hauangalii jina wala sura.

Kila Kigango cha NECTA ndio kilikuwa kinatukata, leo tumekibaini. hukuona Ndalichako alivyotoka mbio !? ....... Kitaeleweka tu !
 
Mimi nachinja na haji muislamu aseme nyokonyoko kwenye mnyama wangu, hataki akafie mbele huko
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom