Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,295
Mwisho wa siku dau atnang'oka tuu naomba mje ku quote hii comment yangu na lile ghorofa atasema tu pesa kaitoa wapi!
Kwanini atoke ka ana qualification za kuongoza NSSF au dini yake ndo itahusika. Hivi vitu ndo vitamfanya magu aonekani mdini. Mtu ka anafanya vema apewe nafasi sio kigezo kiwe udini