NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Status
Not open for further replies.
haah haah magufuli endelea na hawa wanaoatoa kazi kiudini
Safi sana naona umejisalimisha kwa Magufuli niliwambia jamaa wengi mtamtosa Lowassa angalia sasa wewe hata mwezi bado umechoka kuzungusha mikono.

Teh teh teh
 
Je dr john anapigania pato la kanisa au la taifa maana kuna MoU

Kwani like fungu la kanisa linaenda kanisani au lanunua dawa????

Kwanini mnahoji ya nssf tu wakati ya ppf+++others, crdb, necta ++ .... Hamhoji????
Jamani ?!!!!

Au dr dau hapeleki fungu kanisani???

Najua dr john anatekeleza ya pengo. Hiyo hotuba ya bungeni ilipta kwa pengo sasa ngoja tutapike kila kitu.
Tumwache afanye kazi
Kama kunamadudu majipu tumbua ila usifanye kwa lengo la kunufaisha kanisa.
Fanya kwa ajili ya watanzania

Tupopamoja tujenge Taifa la haki sio la kudhulumiana.

C u usalama
 
Udini upon kila idara tz
Tusiuogope watu wafanye kazi na iwepo fair play
Tusiwabane wengine eti kwa vile hawapeleki fungu kanisani.

Naongea na mfuga mbwa.
 
bm 07:52 Today
Je dr john anapigania pato la kanisa au la taifa maana kuna MoU

Kwani like fungu la kanisa linaenda kanisani au lanunua dawa????

Kwanini mnahoji ya nssf tu wakati ya ppf+++others, crdb, necta ++ .... Hamhoji????
Jamani ?!!!!

Au dr dau hapeleki fungu kanisani???

Najua dr john anatekeleza ya pengo. Hiyo hotuba ya bungeni ilipta kwa pengo sasa ngoja tutapike kila kitu.
Tumwache afanye kazi
Kama kunamadudu majipu tumbua ila usifanye kwa lengo la kunufaisha kanisa.
Fanya kwa ajili ya watanzania

Tupopamoja tujenge Taifa la haki sio la kudhulumiana.

C u usalama

Acheni udini
 
Majibu ni

TUFANYE KAZI KWA JUHUDI NA MAARIFA

HAPA KAZI TU
MAJUNGU NOOO
UPENDELEO NOOO
FUNGU KANISANI NOOO
 
Leo mpaka kieleweke

Mpaka wanikamate kama kweli wanafanya kazi

Udini udini tuuuuuu
Kisa

Eti fungu haliendi kanisani
 
Wewe bigurube,okwi boban sunzu vichwa vyenu vina matatizo kwa kuendekeza udini na ubaguzi ndio maana mlimpinga dk .magufuli sababu ya udini wenu kwa kuwa tu maaskofu na wachungaji walikuwa ukawa! mbona hamzungumzii udini wa crdb bank ambako mpaka faida ya benki inatumika kwenda kutoa sadaka kwenye vigango vya makanisa yenu?je kuna udini zaidi ya huo? Mbona huzungumzii udini wenu uliopo ndani ya serikali na taasisi zake kuning'iniza picha za bikira maria na kuweka nyimbo za kwaya kwenye maofisi kana kwamba mpo madhabahuni?mbona huzungumzii idadi ndogo ya waislam kwenye wizara takriban zote hususani hazina?mbona tra mmejazana nyinyi wa dini fulani ? Udsm je? jeshini je au huko nako kuna hitaji wasomi sana kwenye kushika mitutu maana lazima uwe na madigirii matatu ili uwe mjeda? Au kwakuwa nyie mmesoma sana ndio maana mpo wengi ndani ya majeshi yetu? Mbona huzungumzii udini katika kuiba fedha za umma na kuziingiza katika benki ya kanisa mkombozi?udini wa necta unafikiri tumeusahau wa kuwafelisha watu wa dini nyingine kusudi? Acheni uchochezi,majungu na wivu wa kike! Nyinyi ni mfano wa watu mnaohujumu nchii hii ambao muda mwingi mnaonekana mpo mitandaoni kufanya uchochezi wa kisiasa na kidini? Sisi tuliomchagua magafuli ambao wengi wetu ni waislam tunaamini muda si mrefu wachochezi kama nyinyi mtashughulikiwa tu!
 
Wewe kadoda11 udini unakusumbua sana angalie usije changanyikiwa mbulula wewe! Jina lako na tabia zako zinaendana na inaonekana akili yako pia imedoda kama jina lako lilivyo.Kufuga ndevu ndio uanaume kwa taarifa yako na kama huamini muulize mama yako au dada yako atakusaidia kukujuza.Kukwangua kidevu chote ni udhaifu mkubwa sana kwa mwanaume kwasababu muonekano huo ni wa kike! Au humuoni jembe magufuli na udevu wake? Ndio maana halembilembi katika kazi na ndio maana yeye na dkt dau ni majembe ndani ya nchi hii hakuna mfano wao! Kama mbishi muulize mzee Ben anayajua hayo majembe vizuri lakini ukiona ngumu kale malimao maana huenda una dalili za nanalihii kwa kumchukia mwanaume mwenzio bila sababu!
 
Wataelewa Tu
Kama Vipi kwa mtutu

U can fool people sometimes
But
U can't fool people all ze time
 
Wamepiga kimya

Ngoja sindano daawah iwaingie
 
Naona ukawa mnatapatapa na bado alichowafanyia zee la Msoga hamtasahau dadeki zenu mlijua nchi yenu pekee?
 
Nastaajabu sana kuona uzi kama huu unaendelea kuwepo kwa takribani mwaka sasa huku ukiwa hauna manufaa

yoyote kwa taifa zaidi ya kuchochea hasira kwa waislamu. Mtu aliye makini hathubutu kusema kuwa NSSF kuna udini

ati Ramadhani Dau anapendelea waislamu zaidi kuliko dini nyingine jambo ambalo ni uongo wa mchana jua kali.

Angalieni mashirika mengine ya umma muone balaa huko! ni ukristo mtupu...Tafadhali Mods futeni huu uzi unanipa

hasira na maumivu sana kuona upotoshaji mkubwa kama huu. Naamini si mimi peke yangu wapo wengi tu wasiopenda

kusikia huu upotoshaji.
 
Sidhani kama ni kweli. Tatizo la dini yetu ya uislamu ni kusisitiza umuhimu wa dini na kuona elimu dunia ni ujinga. Kitu ambacho ni tofauti na mataifa kama pakistan, iran ambao kuna wasomi nguli kinoma, sijui uislam wa Tz nani aliuenzi, maana kuna rafiki yangu anaishi kinondoni mpaka wazee walimchukia mtaani kisa kaenda form six, na huyo jamaa leo ni lawyer mzuri tu, je angewasikiliza hao wazee angekuwaje?? Kikubwa tukubali uislamu siku za mwanzo bongo ulikuwa hauweki mkazo shule. Sasa uelewa mdogo juu ya uelewa mdogo ni pale mtu anapoanza kuilamu serikali kana kwamba serikali ina dini.

Wacha kuoandika upumbavu mjinga wewe ! ....... huyo Dau na wenziwe wanao shambuliwa humu wao ni Maimamu huko NSSF !? .... Mudawote wewe ni Mnafiki Mkubwa ! :crazy:
 
Last edited by a moderator:
Mwisho wa siku dau atnang'oka tuu naomba mje ku quote hii comment yangu na lile ghorofa atasema tu pesa kaitoa wapi!
 
Wakati wa uchaguzi ni CCM na UKAWA. Uchaguzi ukiisha tunarudi kwenye hoja yetu ya udini. Ukiangalia ni watu walewale. Hivi hakuna issues za kujadili....?
 
Hii kitu nlishawahi iskia tena aliniambia meenyewe bosi wa Nssf mkoa wa kati hapo

Wacha unafiki wewe! ati hii kitu nilishawahi kuisikia... je baada ya kusikia uliamani au...pambaff...Mimi nashauri

ufanyike utafiti kujua idadi ya waislamu na wakristo hapo NSSF, muone kama hamtaumbuka.
 
Nastaajabu sana kuona uzi kama huu unaendelea kuwepo kwa takribani mwaka sasa huku ukiwa hauna manufaa

yoyote kwa taifa zaidi ya kuchochea hasira kwa waislamu. Mtu aliye makini hathubutu kusema kuwa NSSF kuna udini

ati Ramadhani Dau anapendelea waislamu zaidi kuliko dini nyingine jambo ambalo ni uongo wa mchana jua kali.

Angalieni mashirika mengine ya umma muone balaa huko! ni ukristo mtupu...Tafadhali Mods futeni huu uzi unanipa

hasira na maumivu sana kuona upotoshaji mkubwa kama huu. Naamini si mimi peke yangu wapo wengi tu wasiopenda

kusikia huu upotoshaji.
Mkuu ukiona hivyo basi kuna maslahi kwenye huu uzi maana kila uzi ukianzishwa unaunganishwa na huu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom