mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,038
Ramadhani Dau yuko kwenye target subiri triger ikiminywa utaona anavyosambaratishwa, hata alivyokuwa NECTA ujinga wake ni huohuo
Hivi Dr Dau aliwahi kuwa NECTA?!!
Ramadhani Dau yuko kwenye target subiri triger ikiminywa utaona anavyosambaratishwa, hata alivyokuwa NECTA ujinga wake ni huohuo
Sidhani kama ni kweli. Tatizo la dini yetu ya uislamu ni kusisitiza umuhimu wa dini na kuona elimu dunia ni ujinga. Kitu ambacho ni tofauti na mataifa kama pakistan, iran ambao kuna wasomi nguli kinoma, sijui uislam wa Tz nani aliuenzi, maana kuna rafiki yangu anaishi kinondoni mpaka wazee walimchukia mtaani kisa kaenda form six, na huyo jamaa leo ni lawyer mzuri tu, je angewasikiliza hao wazee angekuwaje?? Kikubwa tukubali uislamu siku za mwanzo bongo ulikuwa hauweki mkazo shule. Sasa uelewa mdogo juu ya uelewa mdogo ni pale mtu anapoanza kuilamu serikali kana kwamba serikali ina dini.Kila Kigango cha NECTA ndio kilikuwa kinatukata, leo tumekibaini. hukuona Ndalichako alivyotoka mbio !? ....... Kitaeleweka tu !
Tatizo siyo Muislamu kuongoza kinachozungimziwa hapa ni udini favoured
Ramadhani Dau yuko kwenye target subiri triger ikiminywa utaona anavyosambaratishwa, hata alivyokuwa NECTA ujinga wake ni huohuo
juzi juzi alipo kuwa dodoma siku ya ufunguzi wa bunge la 11,niliona akihojiwa live kwenye TV.
hakika jamaa udini umemshika,maana kimuonekano alikuwa too rough.minywele na midevu kama mganga wa kienyeji.huwezi amini kama aliyekuwa anahojiwa ni mkurugenzi wa shirika kubwa la umma tz.
Ramadhani Dau yuko kwenye target subiri triger ikiminywa utaona anavyosambaratishwa, hata alivyokuwa NECTA ujinga wake ni huohuo
Sema kinachofanyika ni kuwa, waislamu wengi enzi zile walikalia madrasa, hivyo wakajikuta sehemu nyingi hawawezi kuajiliwa kwa sababu ya elimu, kiasi kwamba waliotangulia kusoma sasa wakipata nafasi wanajaribu kuwajaza kwenye nafasi ili kufidia gap. Tofauti na kipindi cha wakristo, waliaajili kwa kiwango cha sifa, bila kuangalia dini. Ingawa hao waislamu unakuta wana sifa, sema ndiyo bias inakuwepo. Mfano Asad aliajili hao waislamu wa muonekano pale udsm, watu walisema kuwa ni mdini, ila sasa hao jamaa wanazo sifa sasa utafanyeje? Nadhani ifikie pahala pawe tu na usawa ktk ajira, yaani uwekwe mfumo ambao hauangalii jina wala sura.
waislam wakipata nafasi ktk idara za Umma inakuwa nongwa,naona wanatufanya daraja la pili.Bongo bana bana!na CRDB mbona wamejaa wakiristo lakini watu hawahoji?tuache udini tujenge nchi yetu.
Na hii hapa ya PPF
Management of the fund comprises of the Director General who is the Chief Executive Officer and eight directors as follows:
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]![]()
William Erio - Director General
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]![]()
Mr. Steven Alfred
Director of Planning and
Investments
[/TD]
[TD]![]()
Mr. Robert Mtendamema
Director of Information
Systems
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]![]()
Mr. Martin Mmari
Director of Finance
[/TD]
[TD]![]()
Ms. Vupe Ligate
Director of Legal Services
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]![]()
Mr. Hosea Kashimba
Director of Internal
Audit
[/TD]
[TD]![]()
Mr. Julius K Mganga
Director of Human Capital
Management & Administration
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]![]()
Ms. Assumpta Maina Mallya
Director of Operations
[/TD]
[TD]![]()
Ms. Uphoo Swai
Director of Risk Management
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
sasa Kama wamekidhi vigezo na nyie hamkidhi vigezo tufanyeje?!
Teh teh teh!
Sasa hivi mapambo ya X-Mass marufuku kwenye ofisi za serikali.
Hapakazitu.
Nakuchora kwa mbali bado unazungusha mikono unasubiri mabadiliko?
Naona umejisalimisha CCM umemtosa Lowassa hata mwezi bado.
sasa Kama wamekidhi vigezo na nyie hamkidhi vigezo tufanyeje?!
FaizaFoxyUsianzishe vita ambayo hujajipanga ! Hizi mara huwakimbiza watu na moderator wanatupa mataulo ulingoni fact zikianza kushushwa humu. Kuna idara nyingine za serikali ni parokia kabisaa na nyingine ni vigango. Wakiletwa akina Tamesa, CRDB and the like. utanuna ! Yule Kimeo wa CRDB anagawa mpaka pesa za benki kanisani mbali ya ajira. Mohamed Said Mahmood Mti Mkavu expastor njooni na ile list. faizafox
Hizo nizako tu hamna cha udini hapa ni utanzania tu ni haina nafasi shule yako basi
Angalia huyu punguani anaropoka tu mkikaa kwenye vijiwe vyenu vya mapuya mnadanganyana tu lini Dr.Dau alikuwa NECTA.Ramadhani Dau yuko kwenye target subiri triger ikiminywa utaona anavyosambaratishwa, hata alivyokuwa NECTA ujinga wake ni huohuo