Tatizo la Wakirsto wa Tanzania uwa wanaona wanawafanyia hisani Waislam.
Kuanzia sasa hivi tuangalie idara zote za serikali, wizara mashirika ya umma tuwe na ratio kati ya Waislam na Wakirsto.
Yaani sehemu Waislam wakipata ajira ndiyo udini lakini wizara zote na mashirika ya umma kujaa wafanyakazi Wakirsto ni sawa
Hii nchi tunapoelekea siyo kuzuri Waislam nao wakianza kutoa madai yao wanavyo kosa ajira serikalini sijui itakuaje.
Teh teh teh!Tulia dawa iingie....
HAPA KAZI TU!!!!
Waache wagalatia wafurahie awamu yao maana mliwatesa sana....
Bade keshafungasha unajua nani anafwata?.....
Hahahahahahah nilikua nawachora tu mlipokuwa mkiimba hapakaziTu!!!
walaahi naapa sijawahi kuona mtumishi mkristo Nssf, walikuja wadada ofisini kwangu, mmoja alikuwa naitwa Fatma na mwingine nani sijui, tena ni Kama mtu na dada take, waarabu chotara hivi. Mabest zangu wote waliopata kazi huko ni waislam, mmoja anaitwa m...
anafuta mwenge lini?Kwenye jambo ambalo rais kanifurahisha ni kufuta mapambio ya Noel kwenye ofisi za serikali.
HapaKazi Tu.
Wengi humu watabisha kuhusu asemalo mtoa mada lakini sisi ambao tumepita ktk korido za nssf tunamuunga mkono kua pale kuna tatizo tena kubwaa. Jaribu kwenda pale makao makuu utapata picha ya akisemacho mtoa mada,yaani ni akina Salim..Hamis na ni ushungi na ma hina tuu ndo tele palee. Si kwamba wanafanya kazi vibaya hapana ni kawaida tuu lakini kibaya ni dhana ya ubaguzi wa dini ktk kupata fursa pale. Kwa kweli watu niwajuao ktk kazi pale 90% Muslims. Labda ni macho yangu ya ki binadamu yaliona vibaya na nikawa biased ktk udini japo mimi syo mdini na ninaamini ktk usawa wa binadamu. Niko tayari kukosolewa kwa hoja ktk hilo suala la hapo nssf
NSSF kuna udini wa hatari sana sana..... Yaani hapafai, udini wa wazi wazi... Magufuli tusaidie tafadhali
Teh teh teh!
Sasa hivi mapambo ya X-Mass marufuku kwenye ofisi za serikali.
Hapakazitu.
Nakuchora kwa mbali bado unazungusha mikono unasubiri mabadiliko?
Naona umejisalimisha CCM umemtosa Lowassa hata mwezi bado.

Nyie watu akili zenu huwa zinaishia kula nguruwe na bia tu. Sasa hilo zoezi lisiishie hapo, liende PPF, PSPF, LAPF, SSRA, TPA, EWURA, SUMATRA, BOT, TRA, TBS, TIRDO, TFDA, GEPF, TPDF, TPA, nkwalaahi naapa sijawahi kuona mtumishi mkristo Nssf, walikuja wadada ofisini kwangu, mmoja alikuwa naitwa Fatma na mwingine nani sijui, tena ni Kama mtu na dada take, waarabu chotara hivi. Mabest zangu wote waliopata kazi huko ni waislam, mmoja anaitwa m...
Mkuu hii ndo Management ya nssf labda tungeanzia hapa kwa kuangalia namba ya Muslims na Christians.
mkuu,hili suala la dini ni zito,ni vyema ungetoa mifano halisi ya ushahidi wako ili tabia hizi zichukuliwr hatua ,sio lazima utaje majina ya watu,lakini tumia hata herifu za majina ya watu kuelezea huo unyanyasaji,la sivyo wewe ndiye utaonekana ni mdini
Wengi humu watabisha kuhusu asemalo mtoa mada lakini sisi ambao tumepita ktk korido za nssf tunamuunga mkono kua pale kuna tatizo tena kubwaa. Jaribu kwenda pale makao makuu utapata picha ya akisemacho mtoa mada,yaani ni akina Salim..Hamis na ni ushungi na ma hina tuu ndo tele palee. Si kwamba wanafanya kazi vibaya hapana ni kawaida tuu lakini kibaya ni dhana ya ubaguzi wa dini ktk kupata fursa pale. Kwa kweli watu niwajuao ktk kazi pale 90% Muslims. Labda ni macho yangu ya ki binadamu yaliona vibaya na nikawa biased ktk udini japo mimi syo mdini na ninaamini ktk usawa wa binadamu. Niko tayari kukosolewa kwa hoja ktk hilo suala la hapo nssf
Mh Rais naomba nilete yangu malalamiko maana najua hili utalisikia,katika huu utawala ni wakuwasikiliza wanyonge sisi watumishi wa NSSF tunabaguliwa sana hasa wale ambao si waislam wengi wamefukuzwa kazi kwa sababu za udini tunaomba ofisi yako uingilie kati hili tatizo NSSF nishirika la umma lakini utadhani ni shirika la BAKWATA hii inatia simanzi katika hili taifa lisilo kuwa na udini!.Mungu Ibariki Tanzania Mungu Mbariki Rais Magufuli kwani yupo katika mapambano makali yanayohitaji maombi ya taifa.
Naona wana kwaya watupu wagalatia hapa hawawezi kusema chochote wao kazi kupambana na Dr. Dau tu.Na hii hapa ya PPF
Management of the fund comprises of the Director General who is the Chief Executive Officer and eight directors as follows:
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]![]()
William Erio - Director General
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]![]()
Mr. Steven Alfred
Director of Planning and
Investments
[/TD]
[TD]![]()
Mr. Robert Mtendamema
Director of Information
Systems
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]![]()
Mr. Martin Mmari
Director of Finance
[/TD]
[TD]![]()
Ms. Vupe Ligate
Director of Legal Services
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]![]()
Mr. Hosea Kashimba
Director of Internal
Audit
[/TD]
[TD]![]()
Mr. Julius K Mganga
Director of Human Capital
Management & Administration
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]![]()
Ms. Assumpta Maina Mallya
Director of Operations
[/TD]
[TD]![]()
Ms. Uphoo Swai
Director of Risk Management
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]