NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Status
Not open for further replies.
Huu UDINI mnaouzungumzia ndugu zangu ni wa aina gani!? Mr Dau amefanya nini kuashiria huo UDINI wake!? Wafanyakazi mnalazimishwa kuswali Swala 5 kazini? Toeni ufafanuzi ili tujue tunawasaidia vipi ndugu zetu. Otherwise itaonekana Kama ni Majungu na chuki binafsi.
 
Piga kazi wewe acha udini. Taja japo mtu 1 aliefukuzwa kwa kutoswali.
 
Mnaanza kutoa shindikizo ili kila shirika kubwa awekwe mkristo. Rais ni mtu wa wote msianzishe udini nyie mletao hoja.
 
Huu UDINI mnaouzungumzia ndugu zangu ni wa aina gani!? Mr Dau amefanya nini kuashiria huo UDINI wake!? Wafanyakazi mnalazimishwa kuswali Swala 5 kazini? Toeni ufafanuzi ili tujue tunawasaidia vipi ndugu zetu. Otherwise itaonekana Kama ni Majungu na chuki binafsi.
Mkuu kwakuwa serikali ina idara za usalama watajua ni nini tunaongelea kama unajitoa fahamu kutojua tunacho ongelea maana hata kama ujui kusoma basi picha uoni???basi kwakuwa kasema kila mtumishi wa serikali ataeleza mali zake kazipataje tusubiri hata gorofa la mkurugenzi ataulizwa pia hapa kazi tu! Maana interview wanaulizwa majina ya kiislam leo unajifanya ujui???
 
Fanyeni kazi acheni uzembe juhudi znambakisha mtu kazini.... fanya uchunguzi utajua kwann ulfukuzwa kazi hupaswi kumuacha adui ajue udhaifu wako hivyo ukifanya kazi utabaki kazini ikichezea kazi utasepeshwa Waislamu pigeni kazi Inshaallah mungu atawasimamia
 
Ufanye makosa makusudi kwa kisingizio cha dini yako?Acha ujinga ww.Fanya kazi kwa bidii...
 
Pole sana ila mimi nilihisi unataka kusema kuwa ...wenye hela zao huko (wafanyakazi) waweze kukopeshwa kwa riba ndogo kama ya asilimia tatu (3%).
Iwenje mtu anahela huko labda Millioni 10, halafu anaomba mkopa wa milioni mbili (2M) kwa ajili ya kulipia watoto Ada au hata kumalizia Ujenzi; Anakataliwa na kuambiwa AINGIE MTAANI AKATAFUTE WATU wajiunge kikundi kama saccos ndio apewe na kurudisha kwa riba ya zaidi ya 10%, huo sio ukatili na wizi wa mchana!!!
Nini kina kwepwa wakati tayari mfanyakazi anadhama ya hela yake ambayo asipo rudisha mnaikata???
 
UKAWA naona wote mumeungana sasa kumtetea mkristo ili nchi ionekane mnaijulia kuongoza na lengo ni kuwashusha Waislam waonekane hawafai kushika nyadhifa kubwa serikalini. JK alijua kuwakomesha kweli na ndio maana mkamchukia sasa munaungana vyama mmeweka pembeni kisa tu mgala sawa mi yangu macho
 
Mkuu,hili suala la dini ni zito,ni vyema ungetoa mifano halisi ya ushahidi wako ili tabia hizi zichukuliwr hatua ,sio lazima utaje majina ya watu,lakini tumia hata herifu za majina ya watu kuelezea huo unyanyasaji,la sivyo wewe ndiye utaonekana ni mdini
 
Kaeni macho na huyu kiiza;ni mtu wa hatari sana kwa usalama wa nchi hii
 
Huu UDINI mnaouzungumzia ndugu zangu ni wa aina gani!? Mr Dau amefanya nini kuashiria huo UDINI wake!? Wafanyakazi mnalazimishwa kuswali Swala 5 kazini? Toeni ufafanuzi ili tujue tunawasaidia vipi ndugu zetu. Otherwise itaonekana Kama ni Majungu na chuki binafsi.

Mkuu si chuki binafsi mimi ni mdau mkubwa wa NSSF pale kuna shida kubwa sana bil ushabiki wowote NSSF ni tofauti na mashirika ya umma ya kawaida wana udini mkubwa sana wa hadharani
 
Wengi humu watabisha kuhusu asemalo mtoa mada lakini sisi ambao tumepita ktk korido za nssf tunamuunga mkono kua pale kuna tatizo tena kubwaa. Jaribu kwenda pale makao makuu utapata picha ya akisemacho mtoa mada,yaani ni akina Salim..Hamis na ni ushungi na ma hina tuu ndo tele palee. Si kwamba wanafanya kazi vibaya hapana ni kawaida tuu lakini kibaya ni dhana ya ubaguzi wa dini ktk kupata fursa pale. Kwa kweli watu niwajuao ktk kazi pale 90% Muslims. Labda ni macho yangu ya ki binadamu yaliona vibaya na nikawa biased ktk udini japo mimi syo mdini na ninaamini ktk usawa wa binadamu. Niko tayari kukosolewa kwa hoja ktk hilo suala la hapo nssf
 
Sasa hivi UKAWA mtaanza kumgeuka Maalim Seif kumuona nae hafai kupewa nchi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom