msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Huyu Dau sijui kama ataponea awamu ya tano
Habari wadau, hawa jamaa sikuwahi kuwaomba wala kuingia nao mkataba wakati wa kujaza mikataba ya ajira, na badala yake nikajaza mfuko nilioupenda mie, cha ajabu nakujakukuta nakatwa nssf badala ya mfuko niliotarajia tena Mara mbili yake, msaada wadau nimeshaandika barua kwenda kwa mwajiri wangu lakini naona mchakato wa kusitishwa wizi huu unaendelea jee nifanyeje, na makato yangu na cha juu changu nakipateje,Wadau,
Kama tunavyofahamu Tanzania ni nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini fulani japokuwa wanaoutuongoza wana dini.
Kwangu mimi naona ni jambo jema endapo hatutaangalia dini zetu ili tupate au kutoa huduma mbalimbali za kijamii. Ni hivi majuzi mfuko wa jamii ya watanzania wote NSSF imetangaza nafasi lukuki za kazi lakini zimo tuhuma ambazo zinatolewa na watu wanaodai ni wafanyakazi na wenginesio wafanyakazi kuwa NSSF kuna udini eti kama hauna 'sigda' haupati kazi au kama wewe si Abubakari au Hamisi haupati kazi.
Tuhuma hizi ni mbaya na kubwa kwa mfuko unaoitwa wa jamii. Eti ili wakuajiri si kwamba umefaulu interview bali kwa majina na dini yako. Ni jambo linalohitaji ufafanuzi na ushahidi wa kutosha aidha kukubali au kukataa kuwa kuna udini au hakuna maana litaleta mpasuko kwa taifa.
Moto wa dini ni rahisi kuuanzisha na kuuchochea lakini ni ngumu kuumaliza. Kesho tutaskia na PPF kuna 'UDINI' Keshokutwa tutaskia mahakamani kuna udini na mwisho itakuwa ni jeshi na ikulu kuna udini huku mamlaka zikiwa kimya.
Mlizoea kuaonea kila siku waislam kama kule tra huezi kukuta muislam ni vimini tu ukivaa hijabu hupati kazi
kama mnataka data halisi mtafuteni mkristu mmoja tu atawapa hizo data.nssf ni wadini kupitiliza,hii kitu anayotengeneza jk na dai itawagharimu hapo baadae
waislam wakipata nafasi ktk idara za Umma inakuwa nongwa,naona wanatufanya daraja la pili.Bongo bana bana!na CRDB mbona wamejaa wakiristo lakini watu hawahoji?tuache udini tujenge nchi yetu.
crdb sii ya serikali
Hata waliofanya field pale wanasema the same things,unakuta department nzima mkristo Mmoja au hakuna HATa
Mh Rais naomba nilete yangu malalamiko maana najua hili utalisikia,katika huu utawala ni wakuwasikiliza wanyonge sisi watumishi wa NSSF tunabaguliwa sana hasa wale ambao si waislam wengi wamefukuzwa kazi kwa sababu za udini tunaomba ofisi yako uingilie kati hili tatizo NSSF nishirika la umma lakini utadhani ni shirika la BAKWATA hii inatia simanzi katika hili taifa lisilo kuwa na udini!.Mungu Ibariki Tanzania Mungu Mbariki Rais Magufuli kwani yupo katika mapambano makali yanayohitaji maombi ya taifa.