NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Status
Not open for further replies.
yaani hawa viumbe sijui wamewekewa nini kwenye ubongo au tatizo ni matumizi ya nguruwe?kuna siku tutaanza kudai 50/50ndio mtajisaidia vizur,kwa ufupi tu fuatilia mikopo ya chuo kama wewe sio francis,peter,john umeumia,twende necta sasa ni ushuzi,hebu rudi tra,bandari,tanesco,linganisha idadi ya muslim na nyie,halafu chukua list ya mafisadi wakubwa nchi hii,ukimaliza niambie niendelee.
 
ingawa baadhi ya comment na thread za "Gentamycine" ni za kipumbavu ila huwa naheshimu sana baadhi ya mambo anayopost na ku comment, huyu GENTAMYCINE aliwahi kuleta thread hapa ya udini hapo nssf watu wakampinga na wengine kumtukana, ila kubali kataa gentamycine aliongea ukweli kabisa.
Kwa faida ya JF udini nini? Tufahamishe.
 
Hilo liko dhahiri. NSSF inaendeshwa kwa misingi y adini. Tulishaliona na tukaishia kunong'ona tu kwamba lazima hapo kuwa udini wa kutisha. Sasa afadhil wamesema wahusika. Kama vile bandarini kulivyojaa unyakyusa.
 
Huo udini ni wa namna gani?

Je, kulikuwa na wakristo wangapi lini na sasa wako wangapi?

Ni nini kinachokuonyesha wakristo wanabaguliwa sababu ya dini yao?

Hebu jibu hayo maswali hapo juu tupate mwanga wa hayo madai yako.
Dini ni sumu, ni ya kuweka mbali na mshikamano wa kitaifa.
 
Hilo liko dhahiri. NSSF inaendeshwa kwa misingi y adini. Tulishaliona na tukaishia kunong'ona tu kwamba lazima hapo kuwa udini wa kutisha. Sasa afadhil wamesema wahusika. Kama vile bandarini kulivyojaa unyakyusa.

juzi mkikuja kulia kuhusu bakhresa kuajiri waislam wengi hahahaha hadi sekta binafsi mnavamia tukawauliza vipi kuhusu mengi,crdb,na ofisi za wachaga mkakimbia leo mmekuja na hili tena
 
Ndiyo maana Dr.Magufuli kapiga marufuku mapambo ya Xmas ofisi za serikali, ofisi zote wizara mmezigeuza kama vigango vya kanisa.
 
Hizi chokochoko za udini hazifai na tunatakiwa kuziogopa kama ukoma!Dau amekua mkurugenzi wa NSSF kwa muda mrefu sana na tuhuma hizi zimekua zinatolew mara kwa mara je vyombo vinavyohusika hususan usalama wa taifa hawaoni?ukianza kuangalia taasisi moja moja mambo kama haya yapo na imani moja ni waathirika zaidi!tufanye kaz tuache majungu
 
Kuna Siku Nilieleza Humu Huo Udhaifu Wa NSSF Hasa Kwa Kiongozi Wake Mkuu Kwa Tabia Yake Ya Kuendekeza UDINI Nikaeleweka Vibaya Sasa Leo Mkuu Huyu Amelileta Hivyo Bishieni Na Hili Tena. Dau ACHA UDINI Unawakwaza Watu Mno Hapo Hivi HUJISHTUKII Tu?
Huyu Dau si ndie aliekagua ujenzi Wa daraja la Kigamboni akiwa amevaa kanzu na baraghashia Kama anatoka makka huyu?!
 
Nendeni na RITA mkachunguze,hii nchi ulipo weka yako...mbona kuna ofisi zinawakristo wengi na watu hawahoji na niza serikali,muislamu kupata ajira katika ofisi bosi muislam tayar kuna udini!!!???
 
Wengi humu watabisha kuhusu asemalo mtoa mada lakini sisi ambao tumepita ktk korido za nssf tunamuunga mkono kua pale kuna tatizo tena kubwaa. Jaribu kwenda pale makao makuu utapata picha ya akisemacho mtoa mada,yaani ni akina Salim..Hamis na ni ushungi na ma hina tuu ndo tele palee. Si kwamba wanafanya kazi vibaya hapana ni kawaida tuu lakini kibaya ni dhana ya ubaguzi wa dini ktk kupata fursa pale. Kwa kweli watu niwajuao ktk kazi pale 90% Muslims. Labda ni macho yangu ya ki binadamu yaliona vibaya na nikawa biased ktk udini japo mimi syo mdini na ninaamini ktk usawa wa binadamu. Niko tayari kukosolewa kwa hoja ktk hilo suala la hapo nssf
walaahi naapa sijawahi kuona mtumishi mkristo Nssf, walikuja wadada ofisini kwangu, mmoja alikuwa naitwa Fatma na mwingine nani sijui, tena ni Kama mtu na dada take, waarabu chotara hivi. Mabest zangu wote waliopata kazi huko ni waislam, mmoja anaitwa m...
 
Huyu Dau si ndie aliekagua ujenzi Wa daraja la Kigamboni akiwa amevaa kanzu na baraghashia Kama anatoka makka huyu?!


Kuna shida gani akivaa kanzu? Vazi linahusiana vipi na utendaji wa mtu!

Hebu turudi kwenye mada za msingi tuone jinsi ya kulisaidia taifa pamoja na kuupa msukumo huu utawala mpya.

Nina wasiwasi na mleta mada, ameanzisha hii ili kuondoa watu kwenye mada za "speed" ya utendaji wa Magufuli.
 
Hamna kuzugazuga,pale kuna udini kabisa ata wakifanya survey waislam wamewaacha wakisto mbali kwa uwingi,kazi za dau,najua inauma lakini ni ukweli
 
Mimi sina la kuchangia kwasasa,nasubiri kwahamu baraza la mawaziri
 
Hamna kuzugazuga,pale kuna udini kabisa ata wakifanya survey waislam wamewaacha wakisto mbali kwa uwingi,kazi za dau,najua inauma lakini ni ukweli

inauma kwako,sisi tunaumia kwann ofisi nyingi mmejaa nyie mapoyoyo,mkiguswa kunako tigo mnaweweseka
 
Mh Rais naomba nilete yangu malalamiko maana najua hili utalisikia,katika huu utawala ni wakuwasikiliza wanyonge sisi watumishi wa NSSF tunabaguliwa sana hasa wale ambao si waislam wengi wamefukuzwa kazi kwa sababu za udini tunaomba ofisi yako uingilie kati hili tatizo NSSF nishirika la umma lakini utadhani ni shirika la BAKWATA hii inatia simanzi katika hili taifa lisilo kuwa na udini!.Mungu Ibariki Tanzania Mungu Mbariki Rais Magufuli kwani yupo katika mapambano makali yanayohitaji maombi ya taifa.
Mkuu hii ndo Management ya nssf labda tungeanzia hapa kwa kuangalia namba ya Muslims na Christians.
 

Attachments

  • Screenshot_2015-11-27-23-07-39.png
    Screenshot_2015-11-27-23-07-39.png
    135.5 KB · Views: 326
Inaonyesha ni namna gani Mr Dau mlikuwa hammpendi kwasababu ya dini yake.
Ukitaka kuona unachotaka kuona lazima utakiona, ukiamua kutoa tafsiri ya mambo kwa vile unataka lazima iwe na Tafsiri unayotaka wewe, ukisema kijani ni blue hata ukiambiwa ukweli huwezi kuelewa.
Tujifunze kuwaza nje ya dini zetu na chuki zetu, kwani ni hatari kuanzia vichwani kwetu jamani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom