Wengi humu watabisha kuhusu asemalo mtoa mada lakini sisi ambao tumepita ktk korido za nssf tunamuunga mkono kua pale kuna tatizo tena kubwaa. Jaribu kwenda pale makao makuu utapata picha ya akisemacho mtoa mada,yaani ni akina Salim..Hamis na ni ushungi na ma hina tuu ndo tele palee. Si kwamba wanafanya kazi vibaya hapana ni kawaida tuu lakini kibaya ni dhana ya ubaguzi wa dini ktk kupata fursa pale. Kwa kweli watu niwajuao ktk kazi pale 90% Muslims. Labda ni macho yangu ya ki binadamu yaliona vibaya na nikawa biased ktk udini japo mimi syo mdini na ninaamini ktk usawa wa binadamu. Niko tayari kukosolewa kwa hoja ktk hilo suala la hapo nssf