NANDERA
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,024
- 2,486
Thanks so much bra for yo time u spent on writting all of these, i really appreciate yo concern.
Kwanza umenijuza mambo mengi mim na wengine kama mim.
As you advised kufanya maamuzi haraka kabla sijachelewa zaidi, je ni maamuzi gani hasa nifanye bila kumuumiza ama kuumiza any part involved mana mwanza mim nlichukulia ni swala dgo, nasikitika kusema hii inanitokea mara ya pili sasa, kweli wanaume tuwe makini sna,
mwanzo nlihisi labda ngeikabili hali hasa aliponidanganya kuwa kamaliza form 4, ila haikuwa kweli,
Kwa ushauri wako ambao ntaujumuisha kwenye upi hasa nifate ungeshauri lipi ama njia gani itumike na kama akijiua mim nko upande upi kwenye swala hili kisheria?
Kumbe hii ni mara ya pili??? Ulikulia kwenye maisha yanayofanana na haya? Suluhisho ni kumuacha lakini kuna haja ya wewe kujiangalia upya. Kwa nini unafanya kitu hicho hicho? Halafu unapoomba uambiwe namna ya kuchukua uamuzi bila ya kuumiza upande wowote unakosea. Maumivu lazima yawepo kwenu nyote na hasa kwa huyo dada. We fanya tu mpango wa kuhama na ujue huyo dada ana tatizo kubwa sana la kisaikolojia. Hana matumaini kabisaaaa zaidi yako. We pia unalo kubwa ila si la hatari kama la mwenzio. Hata umsomeshe vipi na kumfungulia biashara uhusiano wenu haufai kuendelea. Muache mtoto wa watu. Ukiweza kumtafutia mshauri amsaidie fanya hivyo.