Jituoriginal
JF-Expert Member
- Feb 8, 2010
- 350
- 31
Nashukuru,nimepata mchumba ,kupitia JF, niliweka tangazo kama one month iliyopita, kuna member mmoja akanipa sister yake,tumeelewana taratibu nyingine zinaendelea. Nilipata maombi mengi .
duh kumbe inalipa eeeeh?ngoja na mm niweke tangazo fasta
Ubarikiwe ila tu usije ukamuanzishia thread mara ohoo hajui sijui kufanya nini
Thubutu, nitakung'oa meno tuone utampata nani
kumbe huwa mnapata eeh??...good to hear this..:teeth:
ah ah ah u knw wat?i love u mo,kumbe una wivu eeeeh?am sore bby sitatangaza jimbo lako.
haya fanya fanya mfunge ndo halafu urudi kutafuta infii
duh kumbe inalipa eeeeh?ngoja na mm niweke tangazo fasta
I will b the 1st ku2ma maombi!!!
if you DO me I GONNA FABRICATE YOU!......If you do me...i do you!!:
mmmmhh hii hujapata tu maana kila thread ya namna hii naonaga jina lako sana..
ina maana hawajakuchagua mpaka sasa?? na maombi yote yale??
duuuuhhh Pole sana mtu wangu lol