Notification

Jituoriginal

JF-Expert Member
Feb 8, 2010
350
31
Nashukuru,nimepata mchumba ,kupitia JF, niliweka tangazo kama one month iliyopita, kuna member mmoja akanipa sister yake,tumeelewana taratibu nyingine zinaendelea. Nilipata maombi mengi .
 
Ubarikiwe ila tu usije ukamuanzishia thread mara ohoo hajui sijui kufanya nini
 
kumbe huwa mnapata eeh??...good to hear this..:teeth:
 
gud
if its real kp t real2
mwombe mungu akupe menu ya kuendana na uyo mwandani wako mpya.
mungu awabariki
 
Haya fanya fanya mfunge ndo halafu urudi kutafuta infii
 
mmhh hongera sana..
kila lakheri..

mimi na taka mihogo tu na chachandu kama siku kubwa iko karibu .
mmmhhhhh nimeona nikwambie tu mapema..

Mwezi Mungu awaongezee baraka zake..
 
Duh!!cjawahi ku2ma maombi cjui wanaogopa hii SURA NZURI???

mmmmhh hii hujapata tu maana kila thread ya namna hii naonaga jina lako sana..
ina maana hawajakuchagua mpaka sasa?? na maombi yote yale??
duuuuhhh Pole sana mtu wangu lol
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom