Notification

So rukhusa ku2ma maombi???au na wewe upo buked kama Pearl 2cje 2katoana Dental wakti sahiv nisharecover!!

hahahahahahah lol
umenichekesha sina hamu..
tabasamu taamu hivyo..
mmmmhhh wasiokupenda sijui wanaaangaliaga nini..
hahahhahahaahah lol
 
So rukhusa ku2ma maombi???au na wewe upo buked kama Pearl 2cje 2katoana Dental wakti sahiv nisharecover!!

hahahah lol mi ntakwambia yangu nikiona thread yako ya kutafuta hahahah lol.
mmmhhh lakini hayo meno yako mmhhh yaninitia matatani ..
nimeyapenda ile mbaya...
yaninikumbusha ya mume wangu wa kwanza Shreek hhahahahah lol
 
Nashukuru,nimepata mchumba ,kupitia JF, niliweka tangazo kama one month iliyopita, kuna member mmoja akanipa sister yake,tumeelewana taratibu nyingine zinaendelea. Nilipata maombi mengi .
Tunashukuru sana jituoriginal kwa kuwa shemeji yetu

Naomba nikushauri kwamba mtunze huyo uliyempata kwani mara nyingi watu wa kupigiwa krosi badae huja na malalamiko lukuki kwenye public.

Nakupongeza sana pia kwa kupata mchumba ndani ya mwezi mmoja, ni tukio la aina yake na iaonyesha nyingi mapenzi yenu yalivyopamba mot kama vodafasta... twaomba pia mkiweza mpate watoto fastafasta na hata kama inawezekana mimba ishike ndani ya miezi mitatu na mtoto mzae ndani ya mwaka mmoja

Hiyo ndio ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi
 
Dental inatoa raha wakti wa mambo fulani ndo inawatia matatani mabinti wengi so sishangai sana kwa hilo.
Jamani hadi nianzishe thread ya maombi??si hata kwa PM???

hahahah lol mi ntakwambia yangu nikiona thread yako ya kutafuta hahahah lol.
mmmhhh lakini hayo meno yako mmhhh yaninitia matatani ..
nimeyapenda ile mbaya...
yaninikumbusha ya mume wangu wa kwanza Shreek hhahahahah lol
 
KWA KWELI,NAMSHUKURU MDAU NA WADAU WOTE WA JF,WALIOWASILIANA NA MIMI KWA UPANDE MMOJA HAIKUWA KAZI NDOGO ,LAKINI KUPATA MCHUMBA UNAYEMTAKA NA SIFA ANAZO NINAZOHITAJI. BARUA YA POSA IMEPOKELEWA .MAMBO MAZURI WADAU'VIPIMO SAFI'MAENDELEO YA HARUSI NITAWAJULISHA.NADHANI ITAKUWA VAlENTINE DAY 2011 .
 
Dental inatoa raha wakti wa mambo fulani ndo inawatia matatani mabinti wengi so sishangai sana kwa hilo.
Jamani hadi nianzishe thread ya maombi??si hata kwa PM???

hahahah lol mme wangu wa kwanza ilikuwa PM
wa pili nata thread hahah lol
 
KWA KWELI,NAMSHUKURU MDAU NA WADAU WOTE WA JF,WALIOWASILIANA NA MIMI KWA UPANDE MMOJA HAIKUWA KAZI NDOGO ,LAKINI KUPATA MCHUMBA UNAYEMTAKA NA SIFA ANAZO NINAZOHITAJI. BARUA YA POSA IMEPOKELEWA .MAMBO MAZURI WADAU'VIPIMO SAFI'MAENDELEO YA HARUSI NITAWAJULISHA.NADHANI ITAKUWA VAlENTINE DAY 2011 .

hongera saana...
 
Back
Top Bottom