notice-public bar

notice-public bar

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
9,019
Reaction score
9,581
download16.jpg jamaa kanitumia kwenye email, si vibaya tukashare.
 
hahahaaaaaaaaaaaaa shule muhim sana, lkn kingereza ni witp
 
nimependa hiyo, not open because it is closed
 
Nimerudiwa kama mara 5 nilhis ngel yangu mbovu. Utandawaz unakuja na mambo yake, n lazma kutumia kizungu.
 
inawezekana hii baa ipo plot namba 1 ikulu tangazo aliandika PL(Luhanjo) aka edit SR(rweyemamu) kwa ajili ya mwezi mtukufu wa ramadhan .Na ndiomaana wanatotoa maamuzi ya ajabuajabu kwa ukosefu wa vitamini ALCOHOL mwezi ukiisha mambo yanaweza kwenda vizuri wataanzakutoa maamuzi under alcohol influence.
 
Back
Top Bottom