Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,137
- 866,329
- Thread starter
- #101
19K views · 14K reactions | #viralvideochallenge #videotrendg #simplelook | Joho Hassan
#viralvideochallenge #videotrendg #simplelook
Ashajichokea zake, kama alizitafuna sana enzi hizo sasa hivi acha amalizie tu uzee kuliko kushusha sukari 😆Mzee ndo atazidi kuvurugwa kabisa, mishipa itapeleka damu sehemu mbali mbali kwa kasi isiyo ya kawaida.
Hahaha unataka kuniletea vyakula au? Kwanza nimesikia kuna bajeti imetengwa pembeni mniandike jina langu tafadhali😎Anyway!, njoo kwanza inbox, ili tuone namna ya kupanga mikakati juu ya janga hili la Eli Nino. 😊😋.
Huyu ana triplets huko tumboni au?😳
Ashajichokea zake, kama alizitafuna sana enzi hizo sasa hivi acha amalizie tu uzee kuliko kushusha sukari 😆
Hahaha unataka kuniletea vyakula au? Kwanza nimesikia kuna bajeti imetengwa pembeni mniandike jina langu tafadhali😎
![]()
3.3K reactions · 54 shares | Nyimbo ya furaha kwa wanasimba #NguvuMoja #simbasportsclub #msenegaltv | Ahmadi Athumani Mtami
Nyimbo ya furaha kwa wanasimba #NguvuMoja #simbasportsclub #msenegaltvwww.facebook.com
Hiyo sasa AI!
Nayo!
Kwa mchezo wa sarakasi ama acrobatic, jambo hilo linawezekana.
Mkuu usitumie hasira, mtu kukerwa na picha zako mbili tatu haimaanishi kuwa maudhui yako yote yanamkera. Mfano mimi ningekuwa naignore mtu kwa picha moja Mshana Jr ningeshamweka huko kitambo maana kuna picha huwa anaweka hadi unasema hivi huyu mtu anawaza nini? Unakereka ila kwa vile kuna mambo mengine ya msingi huwa anapost hutaki kuyakosaUnaweza kuni ignore kwani umetumwa kuangalia ?
Simple weka kwenye ignore list, kama mie hapa nakutupia kwenye ignore list