Not everything AI

Not everything AI

Mkuu usitumie hasira, mtu kukerwa na picha zako mbili tatu haimaanishi kuwa maudhui yako yote yanamkera. Mfano mimi ningekuwa naignore mtu kwa picha moja Mshana Jr ningeshamweka huko kitambo
00cf7bd3-8328-4353-a5e9-14c147d6a4eb.jpeg
 
Mkuu usitumie hasira, mtu kukerwa na picha zako mbili tatu haimaanishi kuwa maudhui yako yote yanamkera. Mfano mimi ningekuwa naignore mtu kwa picha moja Mshana Jr ningeshamweka huko kitambo maana kuna picha huwa anaweka hadi unasema hivi huyu mtu anawaza nini? Unakereka ila kwa vile kuna mambo mengine ya msingi huwa anapost hutaki kuyakosa
 
🤭🤭 Unatumia kinywaji gani nikuagizie hapo mkuu na kama inakupendeza njoo hapa ujipatie kitu saafi na hii hali ya hewaa.. Ukweli sipendi argument ndio maana nime muambia anitupie kwenye karakana lake huko mie nimeishamtupia kwenye kanyampasira sina time ya kujibizana na mtu walahio
 
Mafindo findo ni vinyama vya raundi ambavyo mtu huzaliwa navyo mara nyingi kwenye kifua na usoni na hii husababishwa na kujamiana wakati wa ujauzito. Yanafanana na vidoti ila menyewe ni makubwa
Hmm ila imani zinawapoteza hizo zinaitwa sundosundo, watu wanatiana freshy kabisa mimba zote wala sio sababu! ndio yaleyale nimetemewa mate na nyoka🚮
 
Back
Top Bottom