No reforms no Election Vs Oktoba Tunatiki✔️

No reforms no Election Vs Oktoba Tunatiki✔️

Habari za jumapili;

Zingatia; Kura ni za siri, hazitakuwa public. Haitajulikana umepigia upande UPI.
Pia hautakuwa na na nafasi ya kubadilisha Kura yako baada ya kupiga. Hivyo Fanya uchaguzi sahihi

Kuna mgongano wa makundi mawili;
Wapo wanaosema Bila mabadiliko ya tume hakuna Uchaguzi Vs wale wanaoona mambo yapo sawa hivyo watashiriki uchaguzi.

Kila kundi Lina haki ya kimtazamo kuamini kile linachoamini.
Hivyo yeyote asichukuliwe mbaya kwa kuchagua upande.
Mtu huchagua upande aliopo kutokana na Uelewa wake, mtazamo wake, Maslahi yake.

Wapo wenye maslahi katoka HAKI na wapo wenye Maslahi katika dhulma.

Ingawaje Haki haimzuii mtu kuchagua dhulma ingawaje MTU akiamua kuchagua dhulma kwa haki yake anatakiwa pia asikatae mavuno ya dhulma yake.

Haya twende Kazi
Hii michezo wanacheza watoto. Sitacheza.
 
vijana woote mwelekeo ni#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
IMG-20250607-WA0005.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
vijana woote mwelekeo ni#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom