yakowazi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 1,771
- 627
kama kweli vileIpo siku tutakuja kusema tatizo la nguvu za kiume chanzo ni ccm
kama kweli vileIpo siku tutakuja kusema tatizo la nguvu za kiume chanzo ni ccm
Umesems vema bro.Kwahiyo wewe unaona kuikampenia ccm ni justification ya kula au kuuza ngada??? Na una maanisha ni afadhari angefanikisha Lowasa aingie madarakani kwasababu asingeisoma namba Na angeendelea kuuza Na kutumia ngada??
Huu upinzani ni hovyo kabisa!!
Ruge?????.jaman acheni kujisemeaaa semeaamimi siipendi ccm ila kwa hili naunga mkono hoja ,hata kama watasema makonda anatafuta kiki poa tu!jk kakaa na majina miaka kumi,makonda kwenye hili hongera ,japo majina mengine hatujayaona,jux,diamond,nando,idi azzan,ruge,,millard,
You can bet...!In Tanzania??
Chukua Jembe ukalime mboga mboga.hivi kati ya lumumba na Ufipa nani anatetea wahalifu? Kila siku mnaambiwa agenda ambayo ingewafikisha ikulu mlishaikanyaga baada ya kukaribisha mamvi. Mmekusanya waviziaji wa matukio tena ya kihalifu na kuanza advocacy. Eti njaa, Cjui nini Kamepanda.. Fanya kazi we mama.Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.
Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.
Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.
Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not in touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.
Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.
Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.
Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not in touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.

Na wengine wamepewa hadi siku tatu ndipo waripoti polisi, hivi kama kweli wanahusika hawawezi kutumia muda huo kuharibu ushahidi?Pale hamna kesi,wao walitakiwa kuwawekea mtego na kuwakamata na ushahidi,sasa unamwambia mtu aje polisi,si hata kama kweli anauza madawa,utakuwa umempa mda wa kufanya sanitation,
na hakuna mahakama inafunga mtu kwa hearsay
hutaki au?ngwea angekwepo nae angekuwa polisi na angesema ukweli! ruge ni bosi waoRuge?????.jaman acheni kujisemeaaa semeaa
(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.