No orchid for Ms. Wema Sepetu

No orchid for Ms. Wema Sepetu

Kwahiyo wewe unaona kuikampenia ccm ni justification ya kula au kuuza ngada??? Na una maanisha ni afadhari angefanikisha Lowasa aingie madarakani kwasababu asingeisoma namba Na angeendelea kuuza Na kutumia ngada??
Huu upinzani ni hovyo kabisa!!
Ona hovyo huyu
 
Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.

Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.

Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.

Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not in touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
Ufalme ukifitinika hauna budi kuanguka.
 
Sidney Sheldon na Nick Carter
yap Nick Carter umenikumbusha mbali.nimesahau kitabu ila jamaa mzuri story za upelelezi kuna quotation nilirukuu npaka leo inasema'only foolish are too sure with what they are doing but wise men are always in doubt' ulivyotaja CHASE nimeconclude kwanini upo smart kwenye mijadala yako.hongera Mshanar jr
 
Katika hili LA Mihadarati kama watanzania, bila kujali itikadi zetu kwa pamoja tuungane.

Wanaoharibika ni watoto wetu na taifa LA kesho linaangamia

Wema kushiriki kwenye kampaini ya uchaguzi hailalishi yeye kuuza au kutumia madawa. Tuache vyombo vya usalama vifanye kazi na kama hausiki ataachiwa na kuwa huru

Rais, Mkuu wa Mkoa na wote walioko nyuma ya Mapambano haya wasirudi nyuma
 
Hata ulichoandika hakina maana. Tunajua kila kitu kwa upinzani wetu ni kubaya. Tunatete wezi hata wauza unga kwa sasa.

Ni aibu kwa maendeleo yetu na ya taifa.

Huwezi andika kuwa wakosaji wawe wa upande mmoja tu. Wote tufuate sheria na tutakuwa huru.
Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.

Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.

Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.

Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not in touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
 
Hata ulichoandika hakina maana. Tunajua kila kitu kwa upinzani wetu ni kubaya. Tunatete wezi hata wauza unga kwa sasa.

Ni aibu kwa maendeleo yetu na ya taifa.

Huwezi andika kuwa wakosaji wawe wa upande mmoja tu. Wote tufuate sheria na tutakuwa huru.
mkuu soma uelewe! ukikurupuka hivyo kuwahi kuku wa ufipa kinondoni hutaeleweka.
 
yap Nick Carter umenikumbusha mbali.nimesahau kitabu ila jamaa mzuri story za upelelezi kuna quotation nilirukuu npaka leo inasema'only foolish are too sure with what they are doing but wise men are always in doubt' ulivyotaja CHASE nimeconclude kwanini upo smart kwenye mijadala yako.hongera Mshanar jr
msome Nick kwenye Slave Mind acha kabisa ile maneno
 
Eti kisa kapigia kampeni ccm tena ndo aachiwe afanye anavotaka? mbona wapinzani nyie wanafiki lakini?
 
Thegame unataka kutwambia walikuwa hawajui kama ni dealer wakati huo? Kule ni chaka mpk viongozi wao pia ni dealers
Kipindi kile sio kipindi hichi unajuaje labda kwenye hii biashara alikuwa pamoja na baadhi ya wanene pamoja na familia zao?
 
Afungwe tu kama ni muuza unga,Mimi ni ukawa lakini kama wauza unga wanakamatwa na kufungwa ni heri maana taifa linaangamia.
Tusije kusema oh wanalumumba wenzake wanamuacha anaozea jela mara vile.
Kila mtu mwenye akili timamu anapenda mabadiliko na Maendeleo ya taifa letu.
Wauza unga wakiachwa tuna lalamika,wakikamatwa tuna lalamika.Tusiwe taifa la kulalamika kwa kila jambo
 
Hawa walikuwanga pande zote ndo maana wale wenzie 2 bongo movies ,kwanza walivaa gwandaa, ilafika hatua ,yani mi nkashangaa wanakujanga kuvaa kijani na kwenye kampeni wapoo, time will tell
 
Walionielewa wame LIKE Hii post vyakutosha.ila wewe kwakuwa uliokotwa jalalani.ndio maana umeshindwa kuelewa hoja yangu.rudia comment zangu.utaelewa nilichomaanisha.ok imbecile?

Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.
Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.

Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.

Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not in touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.

Sipotezi muda kumuelewesha chizi, umechemka umepewa za uso, meza tema shauri zako

hakuna rocket science kwenye andiko lako, walio like kama wewe!!

soma tena red highlighted.....inauma eeh! mnasahau kuna GT hapa

ha ha
 
Kwani ukawa ingekuwa mahakamani ndo wangehurumiwa?
 
Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.

Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.

Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.

Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not in touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
Mtoa hoja umeshindwa kutokuweka siasa kwenye hoja yako na ndio maana watu wanakupa majibu ya kisiasa pia.
Maneno Kama Lumumba, mabadiliko, kampeni Kama usingeyaweka katika hoja yako hoja yako ingejibiwa kiweledi Sana.
Makonda aliwaita central kuzungumza nao hao watuhumiwa, jambo ambalo hujatuweka wazi ni je Wema alienda na mwanasheria wake na mwanasheria wake akafukuzwa wakati wema akihojiwa au ilikuaje.
Pia ni chama kilitakiwa kumpa Wema mwanasheria au alitakiwa kwenda nae aliitwa na hakukamatwa na lengo la kuitwa liliwekwa wazi.

Pia hili suala la kuhojiwa linatokana na taarifa zilizopo mtaani Kwa watumiaji na wauzaji unaweza kumuona mtu anaetumia unga na anaemuuzia ukamfahamu ila unaweza usimjue anaewatuma kufanya biashara hiyo na ilikumjua unaweza kuwahoji hao wanaoonekana.
Inawezekana Hakuna ushahidi na ushahidi haujapatikana, Ila unga bado unauzwa mtaani kuhojiana na washukiwa na kuwataka kuacha Tabia hiyo mara Moja sio dhambi.

Unga upo mtaani na unauzwa hilo sote tunakubaliana. Kama polisi wameonekana kushirikiana na wahalifu utazuia vipi?
Hatua aliyochukua RC Naona ni ngumu Sana na nimaamuzi magumu Ila tija yake kwa taifa nikubwa.
 
Wauza Ngada mtajitahidi Sana kuhakikisha hii vita haifanikiwi iwe kwenye mitandao na popote pale lakini Watakaowaunga mkono no wenzenu tu.
Mtajitahidi kujinasibisha na upande flani Wa vyama vya siasa n. K Ila Ipo Siku tutawakataa na mtawekwa Wazi
 
Acha njaa yako. Waliokutuma kuwa wana CCM wasishitakiwe walikwambia nani wakosaji???

Tumechoka sikia Mbowe kakwepa kodi, Mbowe kauza chama, Lema katukana wakubwa!!!!

Wote tuisome namba.

Back
Top Bottom