Kps chad
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 539
- 820
Mchafuko wa lugha Lumumba tayari bado kuondoka wawiliwawili kila hao na lugha ifananayo........
......lete nyundo unaleta karai lete mawe unaleta maji...Mshukuruni Mungu kwa kila.jambo
Mchafuko wa lugha Lumumba tayari bado kuondoka wawiliwawili kila hao na lugha ifananayo........
......lete nyundo unaleta karai lete mawe unaleta maji...Mshukuruni Mungu kwa kila.jambo
Mimi nilishasema Mara nyingi kwamba CCM itatawala mpaka ichoke hakuna chama mbadala. Wapinzani TZ ni wa hovyo hakuna mfano. Kwa sasa wala hatujui wanasimamia kipi ni unafiki tu.Kwahiyo wewe unaona kuikampenia ccm ni justification ya kula au kuuza ngada??? Na una maanisha ni afadhari angefanikisha Lowasa aingie madarakani kwasababu asingeisoma namba Na angeendelea kuuza Na kutumia ngada??
Huu upinzani ni hovyo kabisa!!
Nadhani maana yake ni kuwa, Wema hawezi kuwa super dealer kwa kuanza biashara hiyo 2016 baada ya Uchaguzi kupita ila atakuwa ni wa siku nyingi. Jee mamlaka iliyompa yeye na wenzake kuzunguka kumkampenia Mama Samia haikulijua hilo?hii post sijaielewa mantiki yake ina maana wema angekuwa upinzani ni ruksa kula ngada au kuuza?
mnaudhoofisha upinzani kwa post kama hizi kama mhalifu ana haki ya kushughukiwa chama hakifichi maovu ya mtu.
Nadhani maana yake ni kuwa, Wema hawezi kuwa super dealer kwa kuanza biashara hiyo 2016 baada ya Uchaguzi kupita ila atakuwa ni wa siku nyingi. Jee mamlaka iliyompa yeye na wenzake kuzunguka kumkampenia Mama Samia haikulijua hilo?
Ni sawa na kumtumia shetani katika mambo ya wokovu halafu baada ya kufanikiwa umtose. Walipaswa wajitambue kuwa uovu wao ccm bado haikuwa inawalinda bali nayo ni ovu na ikifanikiwa haiwahitaji tena.
Ona hata Ruge na Clouds media yake! Naye atajua ccm nayo ni shetani kama yeye alivyo
siwezi kuamini kuwa hujamuelewa mleta uzi anyway akili ni nywele.......Ni lini Wema Sepetu alikuwa takataka chadema? Kwa maana umeongelea usaliti, sasa usaliti wa Wema Sepetu uko wapi?
Akili ndogo soma post vzr ueleweNapita mkuu
Kwahiyo wewe unaona kuikampenia ccm ni justification ya kula au kuuza ngada??? Na una maanisha ni afadhari angefanikisha Lowasa aingie madarakani kwasababu asingeisoma namba Na angeendelea kuuza Na kutumia ngada??
Huu upinzani ni hovyo kabisa!!
sio kila aliyesoma hii post kaelewa.inategemeana na shule yako.pole.We jamaa mbona unajaza upupu humu? Kwahiyo kama mtu anatuhuma asiguswe kwa sababu alipiga kampeni. What a load of crap!. Tatizo ni lile lile, mnawalazimisha watu wawapende. Lazima kila mtu awe upande wako?
Hayo mabadiliko yakuletwa na akina Kingunge baki nayo wewe.
Nyumbu hawa hawajielewi hata kidogo yaaniKwahiyo wewe unaona kuikampenia ccm ni justification ya kula au kuuza ngada??? Na una maanisha ni afadhari angefanikisha Lowasa aingie madarakani kwasababu asingeisoma namba Na angeendelea kuuza Na kutumia ngada??
Huu upinzani ni hovyo kabisa!!
laana kubwa ni kusoma na kutokuelewa! sijui shauri ya kizungu nilichoweka humo! imbecileWee una laana na ukoo wako wote ulitaka abebwe kwa sababu alifanya kampeni mpuuzi sana siasa ni imani na tuhuma za madawa hazina chama kenge wewe
wanatumika kama toilet paper.hawana permanent friends.Nadhani maana yake ni kuwa, Wema hawezi kuwa super dealer kwa kuanza biashara hiyo 2016 baada ya Uchaguzi kupita ila atakuwa ni wa siku nyingi. Jee mamlaka iliyompa yeye na wenzake kuzunguka kumkampenia Mama Samia haikulijua hilo?
Ni sawa na kumtumia shetani katika mambo ya wokovu halafu baada ya kufanikiwa umtose. Walipaswa wajitambue kuwa uovu wao ccm bado haikuwa inawalinda bali nayo ni ovu na ikifanikiwa haiwahitaji tena.
Ona hata Ruge na Clouds media yake! Naye atajua ccm nayo ni shetani kama yeye alivyo
umeingia chaka.wapinzani wanahusika vepe? mtu akitaka mabadiliko ya utawala wa kuheshimu sheria ni mpinzani? ccm haiwezi kuwa mpinzani? mbona DAR/ARUSHA tiyari ni chama cha upinzani hiyo ccm?Mimi nilishasema Mara nyingi kwamba CCM itatawala mpaka ichoke hakuna chama mbadala. Wapinzani TZ ni wa hovyo hakuna mfano. Kwa sasa wala hatujui wanasimamia kipi ni unafiki tu.
Nyanzara unajua ni mtu aliyezaliwa kipindi cha njaa na ana njaa siku zote.unalishwa ccm?Mimi nilishasema Mara nyingi kwamba CCM itatawala mpaka ichoke hakuna chama mbadala. Wapinzani TZ ni wa hovyo hakuna mfano. Kwa sasa wala hatujui wanasimamia kipi ni unafiki tu.
ujuha ni kusoma mada na kutoielewa.mada hapa ni kuheshimu utawala wa sheria.unatoka povu tu bila kujua sheria za kumkamata mtu kwa ushahidi wa kusikia.unaona sawa? au wema alipeleka mwenyewe ushahidi wa kumfunga?Chadema kwa ulaghai... Sasa CCM inahusikaje na maisha binafsi ya wanachama wake... Vichwa vyenu vinatumika kufugia nywele tu.. Ni Ujuha uliopitiliza.. Chama gani kinajihusisha na maisha binafsi ya mwanachama.. Hiyo Chadema tu, haikumuwekea wakili, Mbowe katika kesi yake na NHC.. Mbowe alitafuta wakili mwenyewe...
Chadema ulaghai ndio nyumba yao.. Je WEMA angekua mwanachama wa Chadema, Chama kingemuwekea wakili, je unajua hatari ya mtu akikutwa na HATIA.. Athari kwa Chama, bahaluli wewe