No orchid for Ms. Wema Sepetu

No orchid for Ms. Wema Sepetu

hii post sijaielewa mantiki yake ina maana wema angekuwa upinzani ni ruksa kula ngada au kuuza?

mnaudhoofisha upinzani kwa post kama hizi kama mhalifu ana haki ya kushughukiwa chama hakifichi maovu ya mtu.
pole.inaonyesha ufahamu wako umeishia hapo mawazo yako yalipogota.ungesoma comment zangu zote ungenielewa.jifunze kusoma na kuelewa.
 
umeingia chaka.wapinzani wanahusika vepe? mtu akitaka mabadiliko ya utawala wa kuheshimu sheria ni mpinzani? ccm haiwezi kuwa mpinzani? mbona DAR/ARUSHA tiyari ni chama cha upinzani hiyo ccm?
Kama una ndoto za upinzani kutwaa nchi tz pole sana . Kwa kizazi hiki cyo rahisi labda baada ya miaka hamsini. Take from me.
 
Kama una ndoto za upinzani kutwaa nchi tz pole sana . Kwa kizazi hiki cyo rahisi labda baada ya miaka hamsini. Take from me.
mkuu mimi itawale ccm/ukawa hawaniletei chakula mezani.nimeongelea utawala wa sheria.haki za mtuhumiwa.sio nani yuko madarakani.soma uzuri mwishoni unielewe.
 
wee ndio pongo kweli unaefikiri kizungu ndio kilakitu nyama wewe
kwa povu hilo ndio maana hujaielewa mada.acha walioelewa wadadavue.wee kale ngada mtaani kwenu.angalia usikamatwe/usitajwe
 
pole.inaonyesha ufahamu wako umeishia hapo mawazo yako yalipogota.ungesoma comment zangu zote ungenielewa.jifunze kusoma na kuelewa.

Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.

Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not in touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.

HIYO NI POST YAKO

SASA WEWE UNAFAHAMU KAMA WEMA ALIOMBA MWANASHERIA AKAKATALIWA?

TUWEKEE HAPA KAMA WEMA KALALAMIKA ILA TUSIINGIE CHAKA.
 
Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.

Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.

Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.

Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not in touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
Hapa ndio napata picha sahihi kuwa kuipenda FISIEM ni utaahira. Sababu kama TID, WEMA na wengineos mlionyakwa ni makada wakubwa wa FISIEM waliopigika kumnadi SIZONJE ashike hatam.
Matokeo yake ule utaahira ndo unakuponza leo umelala CHUMBA KIREFU kutoka NI mpaka udhaminiwe.
Haya tuambieni walionyakwa kuna kada wa UKAWA hapo?
we c unaifurahia bas subirini tu.
 
hivi unaelewa ulichoandika unataka mtu akisapoti ccm kama ana tuhuma atetewe halafu mnajiita wapinzani
 
Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.

Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not in touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.

HIYO NI POST YAKO

SASA WEWE UNAFAHAMU KAMA WEMA ALIOMBA MWANASHERIA AKAKATALIWA?

TUWEKEE HAPA KAMA WEMA KALALAMIKA ILA TUSIINGIE CHAKA.
mkuu upo Tanzania au marekani? hujui Rais Tz akisema inakuwa ni sheria? siku ya sheria unajua alisema nini juu ya mawakili? kuna wakili anataka awekwe ndani na makonda?
 
Hivi kuhojiwa mpaka ulale rokapu huwezi kwenda nakurudi ukawa unahijiwa suala la kutia sheria bila shuruti limekosa maana
 
Daaah kama misingi ya vya siasa ni kulindana basi tuna safari ndefu sana.
Yaani kuna watu sasa hizi kazi yao ni kuwatetea wanaotuhumiwa.
Binadamu, hasa watanzania lipi jema kwetu wakiachwa utasikia wanaachwa na ipo siku kwa upinzani watakuja kumtetea mbunge yule wa CCM anayehusishwa na madawa nasema ipo siku tu ikitokea akikamatwa.
 
hivi unaelewa ulichoandika unataka mtu akisapoti ccm kama ana tuhuma atetewe halafu mnajiita wapinzani
wewe ndio umekurupuka baada ya kusoma juujuu.maswala ya ccm vepe hapo? naongelea rule of law. Wema is innocent until proven by the court. she don't deserve media stunt that we are seeing.
 
Je watakaokutwa hawana hatia nani atawalipa mda wao hili suala limekaa kisiasa zaidi na watu kujitaftia umaarufu
 
Huwa napata ukakasi sana na hoja za namna hii, ina maana Chadema wangeingia madarakani wangelipa fadhila kwa wauza/watumia ngada waliowapigia kura kwa kuwaacha free waendelee na ishu zao? Yaani mnauchafua upinzani bila hata kujijua, haya Madam akitoka selo atajiunga huko kwenu maana mshazoea kupokea vilivyooza
 
Kwahiyo wewe unaona kuikampenia ccm ni justification ya kula au kuuza ngada??? Na una maanisha ni afadhari angefanikisha Lowasa aingie madarakani kwasababu asingeisoma namba Na angeendelea kuuza Na kutumia ngada??
Huu upinzani ni hovyo kabisa!!
Wema alikuuzia ganda lini? maccm ni ya ajabu sana kwanini mnajigeuza mahakama?
 
wewe ndio umekurupuka baada ya kusoma juujuu.maswala ya ccm vepe hapo? naongelea rule of law. Wema is innocent until proven by the court. she don't deserve media stunt that we are seeing.
mpaka sasa hakuna aliyemtuhumu wema ndio maana kaitwa kuhojiwa ili ukweli upatikane pia alikuwa na haki ya kwenda na mwanasheria wake na ndio maana mpaka sasa yupo uraiani
 
Daaah kama misingi ya vya siasa ni kulindana basi tuna safari ndefu sana.
Yaani kuna watu sasa hizi kazi yao ni kuwatetea wanaotuhumiwa.
Binadamu, hasa watanzania lipi jema kwetu wakiachwa utasikia wanaachwa na ipo siku kwa upinzani watakuja kumtetea mbunge yule wa CCM anayehusishwa na madawa nasema ipo siku tu ikitokea akikamatwa.
Kwanini mnapenda kupotosha mada makusudi? Mnafikiri hiki mnachokifanya ni kwa hasara isiyowahusu? Bila shaka hata Wema alipokuwa akisikia watu wakipiga kelele dhidi ya kusiginwa kwa katiba na utawala wa sheria, alikuwa akiwa kebehi!
 
Back
Top Bottom