BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.
Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.
Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.
Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not in touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.