No orchid for Ms. Wema Sepetu

No orchid for Ms. Wema Sepetu

Wewe bure kabisa sijapata kuona maishani,unamaanisha awe na kinga kwa vile ali campaign ili mpate cha kusema kwa vile alishiriki kuhamasisha?sikia wewe mgalatia kama mmeishiwa sera mnazitafuta za kipuuzi usije kuanzisha uzi wa ajabu,hata awe babake ni mkuu wa kaya awajibishwe,na pia tuwe makini na chuki maaana tunaweza kutajwa watu wasio na hatia kwa mambo ya ugonvi wa mapenzi!
?
upo nje ya mada.soma vizuri comment zangu utaelewa ninachomaanisha.pole
 
Kwahiyo wewe unaona kuikampenia ccm ni justification ya kula au kuuza ngada??? ...
Kiongozi; chama dola kina kila aina ya uwezo including masuala ya kiusalama na kiupelelezi. Hoja ya msingi hapa sio "aachwe kwa kuwa aliikampenia ccm" bali hoja ni "ni kwanini ccm ilikampeniwa na watu waina hiyo?". Huwezi kunishawishi eti "chama hakikufahamu" au kwamba "waliuanza mchezo huo baada ya uchaguzi".
 
Nafikiri tunapoteza dira na mantiki ya upinzani. Na hali inakoelekea upinzani unakuwa nikama ukinzani. Kutekeleza jambo jema siku zote kwa muungwana hakuangalii eti jana ulifanya nini. Hivi si ndio hawa wapinzani wanaopendekeza kiongozi akifanya baya apelekwe kwenye vyombo vya sheria? Sasa leo hii CCM wanatekeleza yale yaliyokuwa yanapigiwa kelele na wananchi na wengine wakiwa na bendera ya upinzani lakini leo wanageuka kuona pia sio jambo zuri.
Tujifunze kufikiri na tunakotoka na ndio maana maisha yaliwekewa vipindi (PAST,PRESENT & FUTURE) kila kipindi kinabeba ishira na mantiki ya kipindi kingine.
CCM watakapokosea basi waelekezwe kwa lengo la kuijenga nchi kwa sababu nao ni binaadamu lakini wanapofanya mema basi wanhitaji pongezi kwa kuwa nao ni binaadamu nahuhitaji motivations.
Ahsante
Mr Ipwiri
 
Nishida kweli kila kitu kupinga!! sielewi dhana ya upinzani hapa au ni kuongea sanaaa mambo ya msingi lazima tuwe kitu kimoja tumelia kwa muda mrefu kuhusu madawa ya kulevya na athari zake ngoja wafike mwisho ili tubaini ukweli mayowe haya yatafifisha jitihada njema za kupambana na janga hili.
Umenikumbusha mh EL wakati wa kampeni jijijni mbeya eti akifika tu ikulu first thing anamtoa jela yule mharibu wa toto!!.
 
KAMA anauza sembe haijalishi yupo chama gani nadhani,,muhalifu anabaki kuwa muhalifu
Nakubaliana na wewe sana tu! Hoja ni "ilikuwaje chama kika kampeniwa na watu/genge la aina hiyo"? Hakikujua? Au huo mchezo waliuanza baada ya uchaguzi? Which is which?
 
.....
.....vumilia hiki kiputa hakitaki hasira
Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeee nimecheka ile mbayaaaaaaaa nakushukuru sana mkuu umejibu kama Lipumba alivyomjibu Hamadi KWAMBA mchezo wa siasa hautaki hasira na kweli naona Hamadi anajikomba tena kwa Lipumba eti yuko tayari kwa mazungumzo ila wewe ni hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Ndani ya Chama chetu kuna wasafi na wachafu
Wengine wapo chamani kupitishia uchafu wao,hao lazima walaaniwe na kufikuzwa kabisa
 
Siungi mkono hoja, nakataa kabisaaa! Ningewashangaa sana CCM kuwaogopa makada wauza sembe, ingekua ni upuuzi wa hali ya juu.
Ni sahihi kabisa Wema Sepetu kushukiwa na kitiwa ndani kwani hakuna aliye juu ya sheria. Kwani yeye wakati anaenda polisi hakujua umuhimu wa mwanasheria? Kwani alikamatwa au aliitwa? Kama aliitw si alikua na muda wa kuwasiliana na mwanasheria?
 
Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.

Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.

Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.

Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not in touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
Shikamoo J.H. Chase ....No orchids for miss Elliot
 
Kwahiyo wewe unaona kuikampenia ccm ni justification ya kula au kuuza ngada??? Na una maanisha ni afadhari angefanikisha Lowasa aingie madarakani kwasababu asingeisoma namba Na angeendelea kuuza Na kutumia ngada??
Huu upinzani ni hovyo kabisa!!
Hivi inamaana amekamatwa na madawa au anatuhumiwa kwa sababu mmetoa macho ya ukomoaji
 
Ooh nimechanganya thanx
nilisoma karibia sabini vitabu vya huyu ndugu enzi za Mwalimu.ni mwandishi pekee ambaye aliweza kukonga moyo wangu.nikikianza leo kinaisha siku hiyohiyo.simply he is the best of all time.
 
nilisoma karibia sabini vitabu vya huyu ndugu enzi za Mwalimu.ni mwandishi pekee ambaye aliweza kukonga moyo wangu.nikikianza leo kinaisha siku hiyohiyo.simply he is the best of all time.
Mimi nimepiga 80 pamoja na ubaguzi wake kwa weusi aliniteka nikashindwa kabisa kusoma novel nyingine
 
Mimi nimepiga 80 pamoja na ubaguzi wake kwa weusi aliniteka nikashindwa kabisa kusoma novel nyingine
mini tatizo ulikuwa upatikanaji.ningeweza kufuta zote.mimi nilikuwa nasoma na author wengine kama HALORD ROBINSON,Robert ludrum,Perry mason,SIDNEY SHELDON etc
 
Back
Top Bottom