Huamini unaweza kuachwa hata kama unatoa huduma na kila kitu?! Kama alipendwa na Mjukuu wa Azam au kikwete je?! Kwann apoteze muda na hohehae?! Au kama ni wewe upigwe sound na kigogo au mtoto wa kigogo utapoteza muda kuendelea na uliyenae sasa?! Kwa nyie wanawake wa sasa?! π
π
π