No matter how sweet it is......

Mrudishe jaman
Don't let her go... take her back
 
Enzi hizo nasoma,
Nilimpenda binti flani wa kifaransa,
Alkua anapenda Sana clubs na Bata.
Hakuwai kunipiga mzinga hata siku Moja
IIle kua tu nae lazima pesa nyng initoke

maana mkiwa pamoja atalipia afu atataka next round umnunulie yeye vile vile ili kushare cost, wkt mm bajeti yangu ilkua ya kuunga unga.

Nikawa namkwepa mpk tukaachana kusudi kisa sikuweza kuafford chochote zaidi ya kudrain pocket money yangu kwa spidi kias kwmb hata nikiishiwa nakosa hata Cha kujieleza kwa wazazi.

Tumekuja kukutana Dubai keshaolewa,
Kwny kawasiliana ili tukumbushie nikamchana ukweli nilimkwepa kusudi kwasababu ya uchumi, akanilaumu Sana. nami nikagundua kumbe nilifanya Jambo la kifala Sana.

POOR COMMUNICATION
 
Mrudishe jaman
Don't let her go... take her back

Ni ngumu kwa Sababu nilimuambia ili nione kama ataendelea kuwa mimi. ila kuna siku alinitafuta wakati huo marioo katoa wimbo wa dear ex. akaniambia mambo ex wangu .
as long as namjua a to z ya kuwa ni anamkubali sana Marioo na ni shabiki yake mkubwa so sikutaka tumia akili ya cuba kujua anamaanisha nini.
afu kipindi hiko kiuchumi a wala b haikai.

nilimjibu please sitaki onewa huruma mimi.
 
Mcheki msapraizi na zawadi ata siku yake ya kuzaliwa. Kwani anajua umepata ajira?
mkuu hajui kwa kweli hata nikiwa nae kimahusiano sijawahi kuwa muwazi nilitaka anijue mdogomdogo. yaani asinikubali haraka.
Hata wakati namuambia aniache kisa siko vzr kimaisha nilimuambia ya kuwa hujui background yangu na pia sijawahi kukuambia mengi kunihusu. so please Naomi naomba uniache maana naona hali ikiwa hii nitazidi pata stress au kuumia mbeleni
 
Hayo mapenzi yenu vijana bhana 🀣🀣🀣🀣
 
Katika mazingira kama hayo ndio unajua mtu ametumia akili kuliko Hisia.

Mimi kuna wadada wengi huwa nawaacha kwa faida yao.
 
Ukiona mtu anakuchapa kwa hilo tukio jua tayari kashapata sehemu nyingine ( greener pastures) ya kuhemea.

Hii tabia Mara nyingi inaendekezwa na wanawake.
Kuna mtu huko nje kashapigwa kibuti na NakadoriπŸ˜‚
Niliachagwa na pisi yangu ya kiarabu na kihindi mwaka fulani mpaka leo nikiwazaga na kutathmini sijui nilikosea wapi... ilikuwa ghafla ghafla tu... siku hiyo naamka zangu asubuhi mapema hakuna "Goodmorning" za kimahaba kama nilivyozoea... mtoto namcheki saa 1 (moja) asubuhi naona yuko low nikajua mood tu au visa vyao wanawake kama tunavowajua... mzee mzima nikawa zangu romantic as-ussual, ghafla mtoto ananiambia kuna kitu nataka kukwambia ila ukitoka ofisini leo... nikajua anataka pesa au nimpeleke somewhere.


Nikajiandaa mzee mzima nikaingia kwenye majukumu ya kujenga uchumi binafsi na wa taifa kwa ujumla ila niko roho juu aniambie shida ni nini maana sio kawaida yake alikuwa kinyonge sana! Kwenye mids ya saa 3 (tatu) asubuhi nambembeleza aniambie kama kuna tatizo Anatuma message "I don't want this relationship".... Sababu nini ananijibu kaamua tu. Aisee nilichoka πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ


Ndo tabia yao hawa kututosa wakishapigwa mistari kwingine alafu wanakuja na Drama hapa. Mpaka kesho pisi yangu haitoki mawazoni πŸ˜‚πŸ‘πŸΎ
 
Pole sana!
 
Ndio umekuja stuka sahii.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Tunawabamizaaa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…