Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 743
Hivi, ile jana wakati tunajadili kitu muhimu kama hiki, kuna mtu mmoja anaitwa Mkandara, alikuja akatoa kaushauri kuwa hii mada haifai, hivi haifai kweli? We need to discuss this matter kusema ukweli, kwa sababu you know it is not done by only one person, and it is not done one day.
Inafanyika karibia kila wiki ikiongozwa na watu tofauti, should Christian radios also start it? Is that what we need here in TZ? Kama hapa JF ni mahali pa kurekebisha jamii, kwa nini mambo ya hatari kama haya tunayafumbia macho? Kwa nini mtu mmoja tu ambaye pengine ndiye anayeongoza na kusapoti iyo mijadala ya kusambaza sumu ya uadui anakuja na kusema tuache mada na wewe admin unaiweka kwenye closed topics?
Kama kitu kinawatachi watu wa dini fulani, mnatakiwa mkiache tu kijadiliwe, hata kama kinawatachi wakristo wanatakiwa wajadiliwe manake hata wao wanazo radio. What we need to do here is to correct our jamii, ili tusije tukajikuta tumeingia pabaya.
Sasa, the topic is closed, je meseji kwa wahusika au viongozi wa selikali imefika? Tunalea ugonjwa? Think about this please, na naomba watu wajadili hii mada.
Kwanini radio KHERI ya waislam inahubiri mambo ya kuchochea chuki dhidi ya wakristo? Why? Kwa nini mtu anaishi hapa hapa TZ na anaongea kauli kama"Wakristo wakiona waislam tumeanzisha vita, lazima tutawashinda tu manake wao hawana historia ya kutushinda sisi waislam vita" halatu watu tunaona kitu cha kawaida tu.
Au hatujajifunza toka kwa nchi zingine? NA HII SIO MARA MOJA, IMETOKEA MARA NYINGI SANA, HII RADIO WATU WENGI WAMEILALAMIKIA. kama tunaiona inafanya vyema tu, basi, na wakristo nao waanze?