No control over Religious radio stations over hate speeches | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

No control over Religious radio stations over hate speeches

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ubungoubungo, Sep 27, 2008.

 1. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2008
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hivi, ile jana wakati tunajadili kitu muhimu kama hiki, kuna mtu mmoja anaitwa Mkandara, alikuja akatoa kaushauri kuwa hii mada haifai, hivi haifai kweli? We need to discuss this matter kusema ukweli, kwa sababu you know it is not done by only one person, and it is not done one day.

  Inafanyika karibia kila wiki ikiongozwa na watu tofauti, should Christian radios also start it? Is that what we need here in TZ? Kama hapa JF ni mahali pa kurekebisha jamii, kwa nini mambo ya hatari kama haya tunayafumbia macho? Kwa nini mtu mmoja tu ambaye pengine ndiye anayeongoza na kusapoti iyo mijadala ya kusambaza sumu ya uadui anakuja na kusema tuache mada na wewe admin unaiweka kwenye closed topics?

  Kama kitu kinawatachi watu wa dini fulani, mnatakiwa mkiache tu kijadiliwe, hata kama kinawatachi wakristo wanatakiwa wajadiliwe manake hata wao wanazo radio. What we need to do here is to correct our jamii, ili tusije tukajikuta tumeingia pabaya.

  Sasa, the topic is closed, je meseji kwa wahusika au viongozi wa selikali imefika? Tunalea ugonjwa? Think about this please, na naomba watu wajadili hii mada.

  Kwanini radio KHERI ya waislam inahubiri mambo ya kuchochea chuki dhidi ya wakristo? Why? Kwa nini mtu anaishi hapa hapa TZ na anaongea kauli kama"Wakristo wakiona waislam tumeanzisha vita, lazima tutawashinda tu manake wao hawana historia ya kutushinda sisi waislam vita" halatu watu tunaona kitu cha kawaida tu.

  Au hatujajifunza toka kwa nchi zingine? NA HII SIO MARA MOJA, IMETOKEA MARA NYINGI SANA, HII RADIO WATU WENGI WAMEILALAMIKIA. kama tunaiona inafanya vyema tu, basi, na wakristo nao waanze?
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Sep 27, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ubungo ubungo mimi sijui kama kuna chombo chochote ambacho masaa 24 kinasimamia matangazo ya radio zetu za nyumbani najua tu pale town nkuruma kuna jamaa fulani wanafuatilia televisheni zote zinazorusha mtangazo tanzania na zile za kimataifa kwa masaa 24 na kutoa taarifa kwa vyombo vingine hiyo radio na nyingi hazifuatiliwi ndio maana wanaweza kusema chochote wanachotaka na wasifanywe kitu
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  Sep 27, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Alhamisi wakati naenda mjini nilikuwa nasikiliza radio clouds msikilizaji mmoja akauliza --- hivi chuo cha mafisadi kiko wapi ? Bwana hando akasema chuo kiko pale ukivuka bahari alikuwa ana maanisha kagamboni , baadaye kidogo katika maongezi likaibuka sakata lingine kuhusu zanzibar bwana huyu huyu akaja kusema yeye haitambui zanzibar yeye sio mtanzania ni mtanganyika huo ndio msimamo wake

  fikiria mtoto mdogo anasikiliza
   
 4. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2008
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  bora hata hiyo ya mafisadi kwasababu mtoto atakua akiwa anauchukia ufisadi. lakini ile ya kucreate chuki dhidi ya dini ingine, mtoto atakua kama vile wale watoto wa palestina wanaofundishwa toka akiwa ananyonya kuwa waislarael in nguruwe na wanatakiwa kuuawa. hivyo akikua anakuja kuafanyia kweli. sisi hatuko huko wala hatuna uadui huo. tunatakiwa tuishi kama secular country not religious.
   
 5. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #5
  Sep 27, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kama uhuru wenyewe wa habari ndio huu basi , njia tunayoelekea sio hii hata kidogo , tunataka kujenga jamii zinazoheshimika na kuheshimu jamii za wenzao na kuvumiliana tunataka kuona watangazaji wasiokuwa na upande wowote wa chama au dini wakati wa kuwasilisha mada na makala zao zingine kama wao ni wanachama wa chama Fulani au dini Fulani basi waweke wazi tujue misimamo yao ndio hiyo na hiyo ni misimamo vya vituo vyao na wahariri wa vyombo hivyo wamekubali hivyo
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Sep 27, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  hili ni jambo muhimu sana kufikiria; Je radio zote na TV zinatakiwa kisheria kuretain matangazo yao hewani na kuyahifadhi kwa muda gani for regulators?
   
 7. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #7
  Sep 27, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Inatakiwa iwe hivyo naamini tv nyingi zinahifadhi matangazo na chochote wanachofanya kwa ajili ya mambo ya kodi na kadhalika lazima wawe na database maalumu kwa ajili ya shuguli zao zote za kiofisi - ila sijui kama wanapo apply for licence ya kurusha matangazo yao huwa wanapewa masharti kadhaa moja wao ni kuwa na backup ya vitu vyote wanavyorushwa au kufanya kwa ajili ya ummah -- au kama wao hawafanyi naamini taasisi ya mawasiliano itakuwa na njia zaidi ya kuweza kutrack matangazo na mambo kama hayo

  kama hawana hawawezi wanaweza kusema tutawasaidia kufanya shuguli hiyo bure
   
 8. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #8
  Sep 27, 2008
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  TO BE HONESTY BAADHI YA WAISLAMU NI TROUBLESOME, WANA INFERIORITY COMPLEX, LOW-SELF ESTEEM, UGOMVI NA KILA AINA YA MATATIZO DUNIA HII.

  MBAYA HATA WALE WALIOELIMIKA WANAFUATA MKUMBO HUOHUO...

  WKRISTO HAWAAN MUDA WA KUPIGA KELELE NA NDIO MAANA SIKU ZOTE WAKO MBELE KWA KILA KITU ISIPOKUWA UJINGA.

  KIKWETE AMEWANUNUA KIRAHISI NA AMEWEKA WAISLAMU KAMA KINGA YAKE YA YEYE KUSHINDWA KUONGOZA. mara kadhi--OIC , wamenunuliwa kirahisi kwa kuitwa wao maskini hivyo wajiunge na OIC, kuthibitisha ujinga wao...wanang'ang'ania kuingia OIC!!!

  NADHANI IMEFIKA MUDA WA KUWAAMSHA MBELE YA RAIS WAO!

  WABEROYA
   
 9. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #9
  Sep 27, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Tatizo hapa sio waisilamu tatizo ni jamii nzima kwa sababu hapo inawezekana kuna radio za kikristo pia zinafanya mtindo huo wa kukashifu na kufanya mengine ila sisi hatujui au pengine hakuna mwisilamu aliyekuja kulalamika hapa

  tukubali hilo ni tatizo la jamii nzima ya watanzania sio waisilamu na matatizo yoyote yaliyokuwa katika jamii ni ya jamii nzima umasikini ni wa watanzania wote sio waisilamu peke yao kwahiyo tusitake kufanya mada hii ni ya kidini tuanze kuchafuliana heshima na maadili ya jukwaa
   
 10. M

  Mkandara Verified User

  #10
  Sep 27, 2008
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  UbungoUbungo,
  Mkuu kila ninapoandika kitu nakuomba ukisome vizuri kwa makini upate kunielewa vizuri..
  Nilisema ile mada haifai uwanja huu kwa sababu nyingi na za maana kwani mada yenyewe ilikuwa ikizungumzia kitendo cha Sheikh mmoja kuzungumzia maswala ya chuki na kadhalika ukaijengea msingi hoja nzimakuzungumzia waislaam ni watu wanaotaka kueneza chuki..Jambo ambalo sio kweli na nikakupa mfano wa redio ambazo huleta watu wakatukana Uislaam kuwa ni dini ya mashetani..ni ujinga kuhukumu wakristu wote kwa sababu ya mtu mmoja. He, only him must be held responsible.
  Haya yote ni mawazo ya mtu mmoja ama kikundi fulani ambacho tunaweza kuki hold responsible lakini sio kuanzisha mada inayoonyesha wazi umejifungia ktk sanduku gani... hutaki kuona nje ya hapo..
  Ukichunguza kwa makini zipo redio nyingi sana zimesajiliwa kama redio za dini lakini redio hizi hizi huingilia hata maswala ya siasa nchini na pengine kuhukumu watu, viongozi kutokana na majina yao ya dini tofauti..

  Tofauti na redio hizo tunataka kijiwe hiki kiwe na mada zinazozungumzia WATANZANIA na matatizo yetu bila kuwa bias.. Kesho Mwanakijiji anaweza kabisa kumhoji Mtikila na akatoa maoni yake machafu kuhusiana na Uislaaam au Akamhoji Sheikh naye akatoa maoni yake machafu dhidi ya Ukristu, sasa huwezi kumhukumu Mwanakijiji kwa nini ametuletea kipindi kama hicho kwa sababu tu yeye ni muumini wa dini gani..Yes inawezekana anajaribu kueneza propaganda chafu na tumshtakie kwa hilo..
  Kuna upande wa pili wa shilingi ambao unaweza kabisa kusomeka kwamba Mwanakijiji amefaya hivyo kuonyesha kwetu kwamba wapo watu wenye chuki na udini pamoja na kwamba hoja ya msingi ilikuwa OIC ama mahakama ya kadhi. Ni moja ya sifa ya waandishi kuweza kuibua watu kama hawa na kutuachia sisi wasikilizaji kupima na kuchukua mkondo upi. Watu kama hawa wapo sio ktk dini pekee wapo hata ktk Makabila na pengine hata tofuti kat ya Matajiri na maskini.
  Matusi yamekuwa ni kama vile moja ya mila ya Mdanganyika kutokana na Umaskini wa akili na mali hivyo badala ya kupandikiza chuki baina ya waumini ni bora sana kusikiliza kisha unapima na kuchambua pumba topka ktk mchele. Hata Ahmadinajad na matusi yake bado hupewa nafasi kuongea ktk vyombo vya habari Marekani, kwasababu wanakuwa na mwanga zaidi jinsi mtu huyu anavyofikiria, ujinga anaojaribu kuutangaza kama upo...

  Nitarudia tena kusema tatizo la Udini Tanzania lipo na linatakiwa kuwa addressed kama UDINI lakini usichukue mfano wa mtu mmoja tu Muislaam kuonyesha kwamba Udini nchini unatengenezwa na Waislaam kwa sababu ya tukio moja ulolisikia ktk redio wakati sisi wengine tumekwisha sikia zaidi ya mara moja tena toka viongozi wa juu wa dini zote mbili...
  Kweli kabisa serikali inatakiwa kuchunguza redio kama hizi, viongozi kama hawa na hasa pale zinapoendesha mafundisho yenye kujenga chuki baina yetu lakini huwezi kuyahukumu mafundisho pia ...
  Kwa mfano kiongozi wa dini fulani anaweza kusema hakuna dini ya kweli isipokuwa dhehebu fulani! huwezi kwenda peponi bila kufuata blaa blaa blaa!..na wengine wote ni mashetani, wamepotea na kadhalika..

  Haya ni matusi makubwa kwa madhehebu mengine ktk lugha ya dini kwa sababu kila dini na dhehebu linafikiria kwamba wao ndio wenye kufuata faradhi za Mwenyezi Mungu..Hivyo kwa mwenye kuelemika atayachukua maelezo hayo na kuyapima kisha unatazama imani ya dini yako na pengine mapungufu yanayozungumziwa kabla hutachukua bunduki na kuanza ku shoot!..Haya ni mafundisho yanayotutenganisha sote ktk imani.. Utengano ambao unakubalika na kupokelewa ktk kila jamii kiimani..Yapo ya kupuuuzwa kwa sababu ni ujinga, hawafahamu dini yako na kadhalika maana dini ni somo - kitabu, sio watu na wafuasi wake kwa majina.
  Mtu akikuita wewe ****** hali usenge wenyewe huna hakuna sababu ya kuhamaki isipokuwa kama kweli wewe ni ****** na uijaribu kuifdanya siri maelezo kama hayo a usenge yatakutoa roho...

  Hizo redio waache wajifurahishe, ni msingi wa maskini kwa sababu nimewahi kuzisikiliza sana ni ujinga mtupu..Mkuu ebu fikiria kitu kimoja, hivi kweli tunaweza kupigana ati kwa sababu mtu kasema - Yesu sio mtoto wa Mungu! au Muhammad ni tapeli! tunatoka mishipa na kutamani kuuana, tunashindwa kuelewa somo zima ni neno la MUNGU ndilo litakalo kupeleka peponi. Kuamini tu kuwa Yesu ni mtoto wa Mungu ama Muhammad ni msafi kiasi gani ama ukaribu wake kwa Mungu wakati tunashindwa kuamini na kufuata mafundisho yaliyopo ktk Biblia ama Kuran yanayokutaka unyenyekevu na utiifu kwa Mola aliyetuumba ni kuto pay attention to goals ambazo vitabu hivi vimekusudia ktk kutuelimisha.
  Binafsi nilikwisha sema (kulngana na imani yangu) kwamba dini ni elimu, haijalishi kuwa Yesu alikuwa nani au Muhammad alikuwa nani isipokuwa ujumbe waliotufundisha..Ridhwan ni mtoto wa Kiwete...so what? -niamini zaidi kitabu chake kuhusiana na maisha ya Kikwete kwa sababu tu ni mtoto wa Kiwete au hoja ni ujumbe gani anaotupua kuhusiana na Kiwete!..Je ni lazima uwe mtoto wa Kikwete ndio unaweza kujua vizuri makusudio ya Kikwete kwa raia wake!..To me, It doesn't matter kama ni mlevi, tapeli au kipara - hoja ni kile kilichoandika kinahusiana vipi na matakwa ya Mungu na kama kinajenga jamii yetu na kutufanya kuwa viumbe bora zaidi!.. Period..
  Tusitoane roho kwa imani jamani hakuna hata mmoja wetu anayefahamu, sote tunaamini elimu hii ya Uungu kwa kusoma vitabu...na ni muhimu tuvichukulie vitabu hivyo kama njia ya kutupa elimu zaidi badala ya dini kuwa ni sisi waumini wajinga walioingia bila elimu.
   
 11. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkuu naona wewe unabifu na waislam maana kwenye kabila letu mwanamke akisikia mwanamke mwnzie amebweka hatakiwi kuadithia na yeye kubweka kwani anakuwa sawasawa na yeye amebweka, kwahiyo jinsi hiyo hapo juu naona na wewe ni sawa na huyo sheikh uliyemsema.

  mwendawazimu akikunyanganya nguo zako ukamkimbiza wewe ndo utaonekana kama mwendawazimu, kulikuwa na lugha nzuri za kutumia badala ya kutukana kama ulivyotukana hapo juu.

  kuna gazeti linaitwa tumaini letu kama hujawahi kuliona kwa kutukana waislam linaongoza perhaps unaitaji kufanya research kidogo kabla ya kuanza kutukana, unashusha status yako na JF nzima kwa kuwa na chuki na watu unaokaa nao kila siku.
   
 12. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2008
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mh! Jambo ni rahisi sana. Tumwandikie mkurugenzi wa Tume ya mawasiliano Tanzania, yeye anayo mamlaka ya kutosha na haki ya kukagua hayo matangazo. Binafsi sijawahi kuisikiliza, ila kama ni hivyo, there is a big problem!
   
 13. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,437
  Likes Received: 1,019
  Trophy Points: 280
  Acheni woga wa kujitisha wenyewe kama radio moja na mtu mmoja hautoshi kuhusisha waislamu wote kama radio ni tasisi inayojitegemea, inaweza shitaki au kushitakiwa.

  Pia unaweza kusikiliza radio nyingine na ukaeleweka hakuna haja ya kueneza hisia zako dhidi ya waislamu kwa sababu umesikia mtu mmoja anaongea hivi. Wabongo bado sana na tutaendelea kupoteza muda kujadili vitu visivyo na tija mpaka lini? Kama mtangazaji anapinga dini yako huna sababu ya kuwa na bifu hizo dini na hata hao wasisi walipingwa hata kusulubiwa lakini dini zipo na zimesimama, ondoa shaka ya kujipa kadhia bila sababu ya msingi.

  Open up you mind tazama mbele hii nchi bado haijafika inakotakiwa kwenda na wewe na mimi ndio tunaotakiwa kuipeleka mbele, usijikwaze kwa kusikia mtu kasema hivi, basi JK angekuwa kashakula kona manake kila kukicha watu wanaye tu!

  Wabongo wengi wamepinda na kila mtu ananamna yake ya keulezea anachokiona yeye sahihi hata kama kinawakwaza wengine, waacheni waeleze hisia zao kama unaona hazina mpango usisikilize kuliko kuanza kupika majungu yasiyo na maana.
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo kama mtu anavunja sheria na kutukana deen za watu aachiwe tu? Hayo maendeleo uanyoyazungumzia ni maendeleo gani pasi na amani?

  Hapana, watu wapuuzi kama hawa lazima tukomae nao na ikibidi tuzae nao tena pacha.
   
 15. M

  Mandago JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2008
  Joined: Feb 8, 2008
  Messages: 238
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Acha porojo bwana wee nani amekuambia kuwa watoto wa palestina wanafundishwa toka wakiwa wananyonya kuwa waislarael ni nguruwe na wanatakiwa kuuawa, kwanza haiwezekani kumfundisha mtoto anao nyonya hayo unayo yasema pia wapalestina hawachinji (hawali) ngurue kwa hiyo hawaui ngurue kama ungeniambia kuwa wanafundishwa kuwa waislarael ni mbuzi na wanatakiwa kuuawa labda ningekuamini!
   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Oct 5, 2008
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Sawa kaka hilo ni kabila lenu, siyo langu. Kila mtu akileta mila na desturi za kabila na dini yake, ndiyo inafikia kusema nikijiripua naenda peponi.

  Kwa kifupi sina bifu na waislamu ni dada na wajomba zangu.Ila penye ukweli sitaogopa kujishushia hadhi kama usemavyo. Kma kusema ukweli ni kujishushia hadhi basi naomba niwe hivyo.Sijatoa tusi lolote.

  Nimeuliza kwa nini, miaka mingi imepita dini pekee ambayo inaonekana kila wakati inaonewa, iko kisharishari, ni waislamu.Sikuandika ile meseji kijinga wala sikukurupuka.

  Lugha laini laini kwenye maswala ya amani na ufisadi yameshapitwa na wakati Tanzania. go back yo your history nchi hii imekuwa kwenye hatari za kivita vya kidini na mara zote waislamu ni source

  .Na kama kusema hivi ni kuishushia hadi JF, naomba JF itupe nafasi wajinga kama mimi. niliyoeleza kwenye comment ya pale juu, inabaki vile vile.Wewe sema usemavyo.Ukweli ndio huo.

  Mabosi wa hiyo redio wangeomba msamaha kama mtu huyo mmoja alikosea! believe they will not do that

  tumewachoka! wasumbufu nyie, yaani mnakuwa kama mwiba...

  waberoya
   
 17. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Mkuu Waberoya Maneno yako ni makali na hatari mno...Kwa msimamo huo naona unaeneza chuki kuliko kutafuta njia mwafaka ya kutatua Tatizo. Sina sababu yoyote ya kuamini maneno yako kuhusu hiyo redio "kheri",lakini kama huyo Muhubiri ametamka maneno hayo,ni vyema uyachukulie kuwa ni maneno ya huyo muislamu mmoja na sio msimamo wa Waislamu wote.Hapo juu kuna mwanachama mmoja (Msongoru) ametoa mawazo mazuri,Kama kweli umesikia maneno hayo,andika malalamiko yako kwa tume ya mawasiliano.Taja jina la hiyo redio,tarehe na siku ya hayo maneno ya uchochezi...ni wazi kabisa Tume itawasiliana na hao wamiliki wa hiyo redio,na hatua za kisheria zitachukulia pale inapobidi!!!!!

  Tujitahidi kuepuka malumbano yanayobeza na kutukana Imani za wengine...vinginevyo tutakuwa tunachochea moto ambao utasababisha mapigano na umwagaji wa damu.....Tuwe kitu kimoja kwa Utanzania wetu bila kujali Makabila, Imani za Dini,Itikadi za vyama au rangi ya Ngozi.

  Mkuu Waberoya nikiwa kama Muislamu nachukulia kauli yako kwa uzito wake...ingekuwa vyema kama ungepunguza Jazba na kuomba radhi...SIO KWELI, narudia tena kuwa SIO KWELI kwamba Waislamu ni watu wa vurugu kama unavyotaka tuamini.Nipo wazi kukosolewa!!
   
 18. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2008
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na yote uliyoyaandika isipokuwa hili. Mauaji ya Rwanda yalichangiwa kwa kiasi kikubwa na redio ya wahutu iliyokuwa ikieneza chuki dhidi ya watutsi.

  Hapana, Mkuu. Hatutakiwi kuwa na uvumilivu wa aina yeyote kwa yeyote yule anayeeneza chuki dhidi ya walio tofauti na dini yake, walio kabila asilolikubali, jinsia asiyoipenda, rangi ya ngozi asiyoipenda n.k. Mtu huyu akemewe bila kuangalia anatoka dini gani. Na inakuwa vizuri zaidi kama wale wa dini yake wakimkemea wazi na kusema kuwa yeye si mwakilishi wao.

  Watu kama Waberoya hawanizungumzii mimi. Si mwakilishi wangu. Sikubaliani na hayo aliyoyasema. Hatuwezi kuhukumu dini au jamii kutokana na vitendo vya wachache. Kikwete hakuchaguliwa na waislamu peke yao. Mbona wakristu kibao wamo katika utawala wake? kwa mtazamo huo basi na sisi wakristu tunastahili kubebeshwa mabaya yote yaliyotokea chini ya Nyerere R.I.P na Mkapa. Hao si walikuwa marais wetu? Unakotaka kutupeleka si kwema.

  Pamoja na wastaarabu na waungwana kama wewe kuona kuwa huo ni ujinga, kuna kikundi kikubwa tu ambao maneno kama hayo wanayatambua kama ukweli.

  Tukifanya mzaha, tutakuja juta.
   
 19. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #19
  Oct 6, 2008
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Ubungoubungo, umesema kitu ambacho hata mimi kinanishangaza na ni kero sana. Mbali na hiyo radio, ukipita Kariakoo usiku utasikia kanda zinazohubiri upotoshaji dhidi ya Ukristo: zinasema Yesu alikuwa Muislamu na hakuwa Mkristo na Ukristo siyo dini ila ni kitu tu kilichoanzishwa na Paulo ambaye hakuwa kati ya mitume wa Yesu.

  Na unakuta hao wahubiri wanapoteza muda mwingi wakiukosoa Ukristo hata kushindwa kuwahubiria waumini kuhusu Korani. Na wamekariri vifungu fulani fulani kwenye Biblia wanavyovitumia ili kuukosoa Ukristo.

  Lakini si hata Wakristo wakitaka watakariri vifungu fulani fulani kwenye Korani ili waukosoe Uislamu? Ila Ukristo unafundisha kutofanya hivyo kwani siyo kitu cha heri au baraka.

  Sijui kama hao wahubiri huwa ni wahubiri kweli au huwa tu wanahubiri wanayoyafikiria akilini mwao? Binafsi, naamini mtu anayeanza kuhubiri kuhusu dini za wengine siyo mhubiri ila ni mchonganishi kama unavyosema.

  Mhubiri ni yule anayehubiri kuhusu Mungu na mahubiri yake yanamfanya mtu aache njia mbaya ya dhambi na kutenda mema na kama hana dhambi basi anaguswa kuwa mwema zaidi. Mahubiri yoyote lazima yahusu kumpenda Mungu na watu.

  Lakini anayekwenda nje ya hayo na kuwasema wengine huwa ni mtu - kwanza, mwenye uelewa mdogo wa imani na dini yake na pili elimu yake ni duni. Hivi kweli mtu mwenye akili atawezaje kuacha kuhubiri Mungu na kuingiza mambo mengine ya dini za wengine? Ina maana dini yake haijui? Si walau angehubiri kuhusu dini yake hiyo?

  Ila kwangu mimi huwa nafikiri watu kama hao huwa wameishiwa na wanajitahidi ku'survive' kwa kuwaponda wengine: hiilo ndilo wanalolijua tu maana nyoka huuma afikiapo!
   
 20. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #20
  Oct 6, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hivi wale wahubiri wa Biblia Ni Jibu, wapo wapi siku hizi...? Maana nao Mmmh!
   
Loading...