Hivi wabongo hakuna wanao weza nafasi hizi?
Mkuu NMB ina wanahisa wa nje wanaoshikilia hisa nyingi. Hivyo sio ajabu kwa CEO kuletwa na wao kulinda masilahi yao.
BANK YA NMB inatarajia kuwa chini ya CEO mpya ambaye anaitwa Mark Wiessing
, ambaye kabla ya kuja NMB alikuwa managing director wa ZANACO BANK, Bank ya biashara huko zambia, Mark wiessing anarajiwa kuanza kazi tarehe 15/11/2010.
CEO aliyemaliza mkataba wake bwana BEN CHRISTEEANE, anatarajiwa kurudi kwao UHOLANZI, baada ya kumkabizi kazi bwana Mark Wiessing.
Wabongo hatuwezi kuongoza katika hizi nafasi si unajua udhaifu wetu kwenye kuchakachua tu
angalia taasisi ndogo za serikali tu zinatushinda
sio hao ma-ceo wanaozibadilisha hizo benki, bali ni serikali na wadaou wengine kwa ujumla........... fikiria kwa mfano benki ambayo mishahara yote ya wafanyakazi wa serikali inapitia humo kwa nini isipate faida?......... total wage bill kila mwezi ni sh. hapi? na kwa mwaka kuna miezi mingapi?.............. na proportion ani ya mishahara huwa saved na ngapi uwa immadietely withdrawn........... hiyo inayokuwa saved inaihakikishia benki liquidity ya kiasi gani?............. so sera yenyewe ya serikali ni catalyst tosha ya steady growth kwa NMB............. but hongera ma-ceo ............. at least mmeonyesha kitu amabacho wansiasa wetu hawakuamini kuwa kipo................
Wabongo hatuwezi kuongoza katika hizi nafasi si unajua udhaifu wetu kwenye kuchakachua tu
angalia taasisi ndogo za serikali tu zinatushinda
wapo wabongo wenye uwezo lakini ni wachache sana tena sana, unajua wabongo wengi tunafanya kazi bila ya kuweka malengo na mipango ya kushika nafasi kubwa kama hizo, nafasi kama CEO wa benki ya NMB ni position kubwa sana na mtu kupata nafasi kama hiyo unatakiwa uwe una historia nzuri ya utendaji kazi wenye mafanikio ya kuridhisha kwenye taasisi zinazofanana na NMB. Sio kama hawapo wabongo wenye uwezo wapo watu kama kina Kimei, wakurugenzi mbalimbali wa BOT, na baadhi ya watu walioshika nafasi kama hizo ktk mabenki binafsi nchini.Hivi wabongo hakuna wanao weza nafasi hizi?
Hivi wabongo hakuna wanao weza nafasi hizi?