basi mwanye kamzungukaItakuwa labda aliziandika kwenye kikaratasi akakunja na kadi,si unajua wazee ambao umri umeenda niwasahaulifu..
Ona sasa wamekomba kapensheni kote
Kama amekufa je?Ungefuata taratibu zao. Benki zote anayetakiwa kutoa taarifa ni mhusika mwenyewe ndio wanafunga
Wakamuibia, wakamuacha atafute simu, akatoa taarifa nyumbani, wakahakikisha kila kitu kiko sawa, wakaanza kumpiga akapoteza fahamu!!! Haingii akilini.Kwa mnaosema angeenda mwenyewe, lets say muhusika kapigwa hadi kupoteza fahamu, je asubiriwe hadi azinduke? Na huo muda wakutafuta Loss Report wezi watakuwa wanakusubiri?!
Kuna Sheria halafu kuna Hekima na Busara.
Kuna sheria na taratibu kila mahali. Lakini kuna akili ya kazi (kujiongeza).
Hii ndio ilikuwa rahisi maana mtu wa call centre hawezi kuhakiki kuwa wewe ndie mwenye akaunti as long as taarifa muhimu unazoUngepiga call center, mimi nishawahi kuzuia kadi mara mbili.
Moja crdb na nyingine nmb.
Wanachofanya ni kadi inakua blocked ila kuna maswali machache watauliza kabla ya kublock kad
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli lakini kuna exceptions under certain circumstances.
Kwa mfano kama hapo kulikuwa na circumstance gani ya kufanya watu wa benki wapindishe sheria?Ni kweli lakini kuna exceptions under certain circumstances.
Anyway hapa hata sijui nimtetee nani!
Poleni sana. Kosa la kwanza alilofanya ni kuweka password sehemu moja na kadi. Hili ni kosa kubwa na wakati mtu anapewa kadi huwa anaambiwa kabisa ikariri password ili hata ukipoteza kadi isiangukie kwenye mikono ya wahalifu. Kingine ni kwamba kuna namba ya simu ambayo mtu hupiga anapopoteza kadi ili ifunguwe. Yeye hakuwa na hii namba? Wakati unapewa kadi ni lazima hii namba inakuwepo kwenye zile karatasi. Pia kwenye website ya benki husika ni lazima kuna namba ya mawasilino iwapo kuna emergecy. Hiyo namba ndiyo alitakiwa aiweke kwenye simu na siyo password. Hata hivyo NMB Tanzania walifanya uzembe kwani wangeweza kusaidia kwa kutoa maelekezo ya simu huyo ndugu yako atakayopiga. NMB Tanzania mnaweza kuelezeaje haya malalamiko ya mteja wenu?Nywila ilikuwa kwenye simu.
Kuna mazingira mwenye akaunti hawezi toa taarifa... mfano, akifanyiwa jambo hilo huku yupo eneo lisilo na tawi lao inakuwaje..???Ungefuata taratibu zao. Benki zote anayetakiwa kutoa taarifa ni mhusika mwenyewe ndio wanafunga
Njia rahisi na haraka ni kupiga simu. Hii imewekwa kwa sababu njia nyingine zinatumia muda mrefu. Imagine umepoteza kadi usiku na bank zikiwa zimeshafungwa! Utaweza kwenda? eMail itasaidia? Ile namba inafanya kazi masaa 24/7. Huyu mtu wa benki alitakiwa amwongoze kwa kumpa hiyo namba na amwambie cha kufanya.Huo sio utaratibu mkuu usilazimishe alitakiwa aende mwenyewe tena mara tu baada ya kuibiwa na kama haitoshi hata kama mngemsaidia kwa kuazima simu na kupiga huduma kwa wateja wangemuuliza maswali mawili matatu kama namba ya akaunti na detail zingine kama namba ya simu na wangeizuia kwa muda ila wangemwambia afike ofisini pia.
Pia kupitia kwenye simu janja aka smartphone kuna option ya kuandika email kwenda NMB bank hivyo kupitia email address yake ambayo ameiandika wakati anafungua akaunti angeweza kutuma email kwa kutumia simu yako alafu angewapandia hewani.