NMB job several position wameanza kutuma email

NMB job several position wameanza kutuma email

tupo wengi mkuu... ikiingia tu notification naogopa hadi kushika simu nahisi isije ikawa email..... dah. bora hili zoezi liishe maana ambao hatujapata email tumeshikwa na homa ya tumbo ghafla bora hata waliopata email wamesha move on.🙆
Sasa boss unatishika kwa lipi hasa?, mbona ni jambo la kawaida tu, kutumiwa email tu unakuwa muoga je ungekuwa kwenye mahojiano ungekuwa na hali gani!?.
 
Sasa boss unatishika kwa lipi hasa?, mbona ni jambo la kawaida tu, kutumiwa email tu unakuwa muoga je ungekuwa kwenye mahojiano ungekuwa na hali gani!?.
nilikua na hofu mwanzoni lakini sahizi watume or wasitume kwangu sawa, nimesha amua kumove on kabla hata ya kupata hiyo email yao maana sijui nitapata lini, tusije tukawa tunasubiri meli airport🚶🚶
 
Ila NMB wana approach ya kuleta presha

Kwahiyo hadi leo waliofanikiwa hawajajulishwa?
 
Sina uhakika ila kama wameanza kuzituma email tangu wiki iliyopita nahisi walitakiwa wawe wamemaliza
wanatuma email alhamis, ijumaa na jumamosi katika wiki... bado hawajamaliza kutuma email.
 
wanatuma email alhamis, ijumaa na jumamosi katika wiki... bado hawajamaliza kutuma email.
ni kweli hili zoezi ni endelevu aisee wasiopata email hawatakiwi kuwa na presha muda ndo muamuzi.
 
Hahaha hii thread inachekesha. Mi naona walibadili gear angani walivoona waombaji ni wengi...yaani wakaona wachukue wale wenye upper second GPA.
 
Hahaha hii thread inachekesha. Mi naona walibadili gear angani walivoona waombaji ni wengi...yaani wakaona wachukue wale wenye upper second GPA.
wengine tuna upper hatujapata email na wapo wenye upper ninao wajua wamepata email, wengine wana lower hawajapata email
 
Back
Top Bottom