NMB job several position wameanza kutuma email

NMB job several position wameanza kutuma email

kwani wakati wa kuaply si uliweka email hiyo hiyo watakujibia,maana ulivyo aply walikutumia email ya confirmation so email yako wanayo
 
mhhh hizi ajira hizi mbona pasua kichwa hivi mara email ya kutoendelea na wewe kwa hiyo wale wasiopata email ndo wamepita mchujo wa kwanza au ndo tueleweje wadau?
 
haya mambo yanachekesha pi. yani imekua vice versa kwaiyo ambao hawajatumiwa ndo wanapressure isifike yan daah
mkuu hatuelewi mpaka sasa kipi kinachoendelea mzee baba moja haikai mbili haikai kila muda unachungulia email kuona kama wamekutumia au laah............................................................................
 
kwani wakati wa kuaply si uliweka email hiyo hiyo watakujibia,maana ulivyo aply walikutumia email ya confirmation so email yako wanayo
lkn mashirika ya kimataifa huwaga wanatumia sana huu mtindo wa kuwataarifu waombaji kama usipofanikiwa kuitwa hii kwetu kwa NMB ndo imekuwa mara ya kwanza kutokea kibongo bongo kwa maono yangu.
 
mkuu hatuelewi mpaka sasa kipi kinachoendelea mzee baba moja haikai mbili haikai kila muda unachungulia email kuona kama wamekutumia au laah............................................................................
kila la kheri Man.
 
Hakyamungu ninachoshukuru uzoefu wangu wa kushabikia Arsenal ndiyo unanifanya niwe na moyo mgumu la sivyo presha ingeshanimaliza. Sasa naona email kutoka NMB najua ndiyo swala limeeleweka kumbe mambo ni arijojo
Yaani mkuu imebidi nicheke kama mazuri
 
NMB ni zaidi uijuavyo.

Undugulization mwanzo mwisho.

Wenzenu wanafanya oral interview Jumatatu wengine mnapewa mkono wa kwa heri.
 
Naogopa kufungua app ya email..! So far sijaona notification yoyote kwa email
tupo wengi mkuu... ikiingia tu notification naogopa hadi kushika simu nahisi isije ikawa email..... dah. bora hili zoezi liishe maana ambao hatujapata email tumeshikwa na homa ya tumbo ghafla bora hata waliopata email wamesha move on.🙆
 
Back
Top Bottom