NMB job several position wameanza kutuma email

Mwenyewe nimekatwa mida kama saa 6 hivi nimetumiwa Email, Highland Zones hiyo. Nadhani hilo zoezi la Emails bado linaendelea
 
Mwenyewe nimekatwa mida kama saa 6 hivi nimetumiwa Email, Highland Zones hiyo. Nadhani hilo zoezi la Emails bado linaendelea
Mbona waliopata nao wajitokeze basi.. maana kila kakosa.. yaan mtu kapiga BAF, BCOM lkn anakosa ss hapo vigezo ni nn wakati walihitaji hata wasiowazoefu...??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom