Ingia kwenye email yako uangalie hiyo confirmation kama ilikuja, cheki kwenye spam pia.Dah sikumbuki kama nilipata hiyo confirmation email..
Ingia kwenye email yako uangalie hiyo confirmation kama ilikuja, cheki kwenye spam pia.Dah sikumbuki kama nilipata hiyo confirmation email..
angalia kwenye inbox au spam.... ulikua ukishafanya application na kusubmit ilikua inakuja email kama hii 👇👇 kwenye email yako uliyotumia kulogin..Dah sikumbuki kama nilipata hiyo confirmation email..
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 haya mambo yanahuzunisha lakini unisamehe kwakucheka mkuu.Dah sikumbuki kama nilipata hiyo confirmation email..
acha kukatisha tamaa mkuu
Mi nimemwachia Mungu tu 😀😀😀😀
Me mwenyewe lake zone sijatumiwa,nadhani tusubiriOky
Mkuu, any information abt Lake zone
Samahani Mkuu, mi nimesahau User na password niliyotumia kulog in!angalia kwenye inbox au spam.... ulikua ukishafanya application na kusubmit ilikua inakuja email kama hiikwenye email yako uliyotumia kulogin..
Poa Mkuu ukipata nijulisheMe mwenyewe lake zone sijatumiwa,nadhani tusubiri
user name ni ile email yako ya kawaida ambayo walikutumia confirmation email baada ya kusubmit maombi yako na ndio hiyo hiyo watayo tumia kukujibu... ungekua umesahau password atleast ingekua rahisi kukusaidia. subiri wadau waje waliobobea hayo mambo watakusaidia.Samahani Mkuu, mi nimesahau User na password niliyotumia kulog in!
Unaweza kua na msaada katika hilo
Mkuu mimi niliapply ila sikupata hiyo confirmation email. Na nilijibiwa kabisa your application is succesfull submited lakini email ya confirmation sikupata. Sidhani kama maombi yangu yalifika ingawa sijatumiwa bado hizo email. Ila najiweka kwenye kundi la wakosaji maana taarifa za kupata confirmation email ndio nimezikuta huku.angalia kwenye inbox au spam.... ulikua ukishafanya application na kusubmit ilikua inakuja email kama hiikwenye email yako uliyotumia kulogin..
Same scenario as mineMkuu mimi niliapply ila sikupata hiyo confirmation email. Na nilijibiwa kabisa your application is succesfull submited lakini email ya confirmation sikupata. Sidhani kama maombi yangu yalifika ingawa sijatumiwa bado hizo email. Ila najiweka kwenye kundi la wakosaji maana taarifa za kupata confirmation email ndio nimezikuta huku.



failer to get confirmation email means maombi yako hayaja wafikia though ukienda kwenye submitted application maombi unayakuta , wengi waliokuwa wanatumia yahoo walikua hawapati confirmation email hadi utumie gmail hata mimi niliangaika sana kupata hiyo confirmation email almost 3days suffered coz i used yahoo mail to login nikaja kuuliza humu jamvini kama naaply lakini email yao sipati, mkuu mmoja anaitwa Castr akaniambia nibadilishe email nitumie gmail km nilitumia yahoo, baada ya kubadilisha na kutumia gmail nikapata hiyo confirmation email.... kwenye web yao ukisoma wameelekeza hivi👇👇Mkuu mimi niliapply ila sikupata hiyo confirmation email. Na nilijibiwa kabisa your application is succesfull submited lakini email ya confirmation sikupata. Sidhani kama maombi yangu yalifika ingawa sijatumiwa bado hizo email. Ila najiweka kwenye kundi la wakosaji maana taarifa za kupata confirmation email ndio nimezikuta huku.
mkuu soma hapa itakusaidia... wameelekeza kwenye web yao unaweza ukaenda kusoma kule zaidiSamahani Mkuu, mi nimesahau User na password niliyotumia kulog in!
Unaweza kua na msaada katika hilo
Dah Shukrani saana Mkuu. Ngoja nijaribumkuu soma hapa itakusaidia... wameelekeza kwenye web yao unaweza ukaenda kusoma kule zaidi
failer to get confirmation email means maombi yako hayaja wafikia though ukienda kwenye submitted application maombi unayakuta , wengi waliokuwa wanatumia yahoo walikua hawapati confirmation email hadi utumie gmail hata mimi niliangaika sana kupata hiyo confirmation email almost 3days suffered coz i used yahoo mail to login nikaja kuuliza humu jamvini kama naaply lakini email yao sipati, mkuu mmoja anaitwa Castr akaniambia nibadilishe email nitumie gmail km nilitumia yahoo, baada ya kubadilisha na kutumia gmail nikapata hiyo confirmation email.... kwenye web yao ukisoma wameelekeza hivi👇👇
sijapata mkuu labda tusubiri hadi ijumaa.Mkuu hujapata update yoyote.. basi nitumiwe tu iyo email nijue moja jamani
sijapata mkuu labda tusubiri hadi ijumaa.
hahaahhahaaa wengine tumesha pouwa tunawaza mishe zingine nowTujue moja tu kama wenzetu walivyojua maana hizi shauku zitatuua sasa
Ndo ivyo jamani.. mambo ya kila siku unachungulia email ipo au haipo , unakagua mpk kwenye spam hola ..hahaahhahaaa wengine tumesha pouwa tunawaza mishe zingine now
bora yenu.... wengine ndio bado tunaendelea kuchungulia email😁hahaahhahaaa wengine tumesha pouwa tunawaza mishe zingine now
Hatari tupu hadi password tunasahau, au imeingia emailSamahani Mkuu, mi nimesahau User na password niliyotumia kulog in!
Unaweza kua na msaada katika hilo


