NMB job several position wameanza kutuma email

Mi niliomba Central zone , lakini iyo mail bado haijanifikia sa sijui bado ipo njiani , yani leo hii watu tunaomba email zisifke hhhh
 
Kila mtu akkenda kulima nani atakuwa mnunuzi?
wewe tumekuchagua uje ulime ,soko la mazao ya kilimo halina ukomo ,uwezo wa kuajiri unaukomo mkuu hiviunajua ukilima matango ekari 1 kwa wewe mwenyewe kusimamia sio kwa simu unauhakika wa kupata faida ya mil 6 baada ya mwezi na nusu tuu mtaji ukiwa hauzidi 1 mil mkuu maana yake mkulima mmoja wa matango ekari moja anamshahara mkubwa kulkiko maafisa watatu wa NMB tena masupervisor ,my dear hard way the only way
 
Hebu subiri kwanza chief.

Kuna ardhi inaranda randa.

Kwahiyo nahitaji nini na nini katika hiki kilimo?

Naomba dosier ya gharama na soko.

NMB ni zaidi uijuavyo.

Undugulization mwanzo mwisho.

Wenzenu wanafanya oral interview Jumatatu wengine mnapewa mkono wa kwa heri.
acha kukatisha tamaa mkuu
Yaani we cha kufanya mshahara wa kwanza nitumie hata elfu kumi.
mimi nikipata tu.... mshahara wa kwanza nitaomba nikutafute... dah nikikumbuka ulivyonisaidia hadi kupata hile confirmation email, haikua kazi rahisi, i hope na wewe unakumbuka mkuu.... endelea na moyo huo huo one day yes.
 
Yeyote kutoka southern zone aliyepata email ajulishe hapa... maana nina ndugu hapa roho haikai kabisaa..
 
acha kukatisha tamaa mkuu
mimi nikipata tu.... mshahara wa kwanza nitaomba nikutafute... dah nikikumbuka ulivyonisaidia hadi kupata hile confirmation email, haikua kazi rahisi, i hope na wewe unakumbuka mkuu.... endelea na moyo huo huo one day yes.
Hahaha ilitokea tu kwamba I know a thing or two. Nina uhakika yeyote angefanya nilichofanya, tafadhali usihisi una deni kwangu.
 
Hebu subiri kwanza chief.

Kuna ardhi inaranda randa.

Kwahiyo nahitaji nini na nini katika hiki kilimo?

Naomba dosier ya gharama na soko.
Hakuna inayoranda randa ni unakodi being haizidi 70 kwa ekari morogoro inamaeneo mengi ishu ni usilime kwa simu naenda kalime ukishirikiana na wanakijiji wenzako hamia ni mwezi na nusu hutakaa uapply vikazi vya kuamshana SAA kumi. na mbili
 
Dah sikumbuki kama nilipata hiyo confirmation email..
acha kukatisha tamaa mkuu
mimi nikipata tu.... mshahara wa kwanza nitaomba nikutafute... dah nikikumbuka ulivyonisaidia hadi kupata hile confirmation email, haikua kazi rahisi, i hope na wewe unakumbuka mkuu.... endelea na moyo huo huo one day yes.
 
Hakuna inayoranda randa ni unakodi being haizidi 70 kwa ekari morogoro inamaeneo mengi ishu ni usilime kwa simu naenda kalime ukishirikiana na wanakijiji wenzako hamia ni mwezi na nusu hutakaa uapply vikazi vya kuamshana SAA kumi. na mbili
Ooh nilivyosema inaranda randa nilimaanisha ni ipo tu haina kazi.

Naomba Nielekeze;

mbegu bora ni ipi. Naipata wapi.

Gharama.

Soko.

Na la msingi, sehemu yenye ukame kidogo yanaota?
 
Back
Top Bottom