NMB job several position wameanza kutuma email

Hakyamungu ninachoshukuru uzoefu wangu wa kushabikia Arsenal ndiyo unanifanya niwe na moyo mgumu la sivyo presha ingeshanimaliza. Sasa naona email kutoka NMB najua ndiyo swala limeeleweka kumbe mambo ni arijojo
 
uliomba kanda gani mkuu.... dah, pole sana nakumbuka ulinisaidia sana wakati wa kuaply. jaribu kuomba hizo za direct sales kabla leo haijaisha maana leo ndo deadline. hata mimi nime omba hizo
 
Niliombea kanda ya Lindi. Vipi uliomba kanda gani chief? Umefanikiwa?
 
Mkuu ina maana wameishaanza kuita wa kwenda Written?

Ni kwa kanda zoote au ni baadhi
nafaham wa central zone aliyepata email,na wa northen zone pia so wameanza kutuma kwa zones zote
 
t
Kwa maelezo ya wenzetu hapa inaonyesha kutopata email ni kufanikiwa. Nakutakia kila la heri chief.
ok. tuombe mungu mkuu, isije ikawa muendelezo wengine wakatumiwa leo🙆😿 maana kwenye maelezo yenu naona wengine wamepata juz wengine jana
 
Ok hii angalau itawasaidia wale waliomba.. ss kulikuwa na shida email zao zinawafikia watu kama spam.. so na hizo zinafika as a spam msg au kawaida??
 
t
ok. tuombe mungu mkuu, isije ikawa muendelezo wengine wakatumiwa leo🙆😿 maana kwenye maelezo yenu naona wengine wamepata juz wengine jana
mimi sijapata hiyo email mpaka muda huu ndo tuseme wameshamaliza kutuma email? watu matumbo joto hatari hahahahahah tulizoea email za kuitwa sasa leo unatumiwa email ya kutoitwa hizi ajira zina mambo aisee
 
Back
Top Bottom