Njooni tumpongeze Mohammed Hussein Zimbwe 'Tshabalala' kwa kufunga ndoa

Kafunga ndoa na Bibi Harusi.
Maisha ya mapenzi ni fumbo.

Ni kweli kaoa Bibi yake, yaani mama mzaa mama.

Ni kama Raisi wa Ufaransa, kamwoa Bibi yake, yaani kikongwe.

Maisha pia ni fumbo pia.
Tumsamehe tu Shabalala
nimecheka mpaka watoto wangu wamenishangaa Sana
 
Huyo mkewe ni mzuri bila make up.Kamaliza IFM 2009.Tunamfahamu vizuri.kundi lake la discusion alikuwa na mtoto wa bakhresa.vyovyote iwavyo atakuwa na pesa ndefu ya kumfanya asiangaike na mpira wa kurogana kibongo bongo.
Bongo wachezaji wanapigana misumari mpaka kipaji kinakufa.
Duh asee 2009 mimi na uzee wangu bado nilikuwa sekondari o'level sasa huyu kama ndio alikuwa anamaliza chuo si bibi kabisa.

Zimbwe katuangusha wana Simba.
 
Huyo mkewe ni mzuri bila make up.Kamaliza IFM 2009.Tunamfahamu vizuri.kundi lake la discusion alikuwa na mtoto wa bakhresa.vyovyote iwavyo atakuwa na pesa ndefu ya kumfanya asiangaike na mpira wa kurogana kibongo bongo.
Bongo wachezaji wanapigana misumari mpaka kipaji kinakufa.
Mtu amalize ifm 2009 lazima awe na umri zaidi ya miaka 32
 
Huyo mkewe ni mzuri bila make up.Kamaliza IFM 2009.Tunamfahamu vizuri.kundi lake la discusion alikuwa na mtoto wa bakhresa.vyovyote iwavyo atakuwa na pesa ndefu ya kumfanya asiangaike na mpira wa kurogana kibongo bongo.
Bongo wachezaji wanapigana misumari mpaka kipaji kinakufa.
Mkuu unatuaminisha kuwa mtoto wa Bakhresa kasoma IFM? Unatuaminisha hivo kabisa mbona naona ngumu hii kutokea
 
Na wewe ulioa mzee kama huyo wa Tshabalala??
hamna kalikua kadogo sana alafu kakawa kapokapo kajijini alafu ni kaka leta mjini washikaji walikua wana nicheka sana itabidi niwe nakafungia ndani tuu nakaachia hela za kukatosha
 
hamna kalikua kadogo sana alafu kakawa kapokapo kajijini alafu ni kaka leta mjini washikaji walikua wana nicheka sana itabidi niwe nakafungia ndani tuu nakaachia hela za kukatosha
Wewe ndiyo ulifaidi Sana aisee. Badala ya kuoa haya yanayolalamikia kibamia kumbe k ishatumika Sana na kuwa kama mfuko wa rambo ukaamua kwenda kuchukua mali mpya. Safi Sana.

Hao walikuwa wanajifanyisha tu kukucheka lkn kiukweli walikuwa wanakuonea wivu.
 
Wabongo heshimuni wake za watu. Mleta uzi pia ni MNAZI ; na hili ndiyo lengo lako.

Kwenye maisha always behave, maneno yako hakikisha yanawajenga wengine Na Sio kuwa shusha. Unapokosoa na kukashifu kilichoumbwa na yule unayemuita Mungu wako, ni automagically unamtukana huyo mungu wako.

Wabongo tujifunzeni sana kuwa na MATURITY Na tuelewe baadhi ya mambo ni suala binafsi . Hakuna mtu mmbaya hapa duniani wala hakuna mtu Mzuri ,

Acheni Upumbavu kujadili wake za watu on social media. She is beautiful and cute .... nikimtizama , ninaona ukamilifu wa Mungu.

All the best Shabalala
 
Back
Top Bottom